Jamani hii nyimbo inanikumbusha mbali, mimi naipenda sana hii nyimbo ,Mungu tukumbushe tulipo toka tafadhari yaani najisikia raha nimekumbuka nchi yangu Tanzania yangu keko yetu hebu tukumbukane hapa.
Napenda hapo Tx anapomalizia kuimba 'Maberaaaaa...' halafu unafuata mpini (solo guitar) la mkongwe mwenyewe- mzee Said Mabera....huu wimbo waitwa TUMA -utunzi wake Tx Moshi William (rip) Safu yote ya uimbaji HAIPO TENA DUNIANI... (RIP), TX, Momba, Joseph Maina, Gurumo na 'masharubu' -Suleiman Mbwembwe..
Nyimbo zilikuwa na ujumbe wa kufundisha jamii kitu, laiti vijana wa sasa wakijifunza kwa hawa magwili, watakumbukwa na tuwaenzi kwa vipaji vyao vya kutumia ala/vyombo halisi inapendeza.
Pumzika kwa amani mzee wa solo mabela
Anko roma Mungu aendelee kukupa umri mrefu,mana dah wengi wemeenda😭😭 jamn anko moshi😭😭 na wengine wengi
unanikumbusha mbali sana....
Zamani watu walikuwa wanaweka miadi KWA maneno tu nawatekeleza sio sikuhizi wat u mnachati kabisaa nanuli Una tum a unaishia kuchinjiwa baharini
Mbaya sanaaaa
Hahaaaaaaa
Hiyo ilikuwa mwaka ghani
Mwaka gani? siyo ghani
Hv romaria mng'ande Yuko wap cku hiz jamaniii,maana kundi lote hilo aliyehai ni yy tuu.
Yupo dar es salaam ila nasikia sasa ni mgonjwa wa miguu nilipata taarifa zake mwezi uliopita
Kila alhamisi wanapiga kisuma mwembe yanga
Daaah yakulee dhahabu Allah wafanyiee wepesi wote waliotanguliaa mbelee YA hakii NA nasii tuliobakiaa Allah karimaa
Moja kati ya nyimbo nzuri kabisa inayokonga nafsi yangu kwa miaka mingi sasa.... Nawaombea mpumzike kwa amani magwiji hawa
Mungu awapumuzishe nahali pema peponi wazee wetu hawa kwakweli.tunawakumbukasaanatu, kwanyimbozaohizi,zenyemaneno mazito kweli.
Jamani hii nyimbo inanikumbusha mbali, mimi naipenda sana hii nyimbo ,Mungu tukumbushe tulipo toka tafadhari yaani najisikia raha nimekumbuka nchi yangu Tanzania yangu keko yetu hebu tukumbukane hapa.
Ache waruke ruke mziki huhap
Duu nakumbuka nyumban ilonga kilosa morogoro ,nikiwa na uncle hamisi kimwagu,na baba Mzee seif ally masantura hotel ,mungu amsamehe mzazi wangu.
Burudan zetu zaman tulikuwa tunafaid kweli😂
Hii ndio nyinbo zenye maadili
Uwimbo naupendaga sana sauti imetulia sana mungu awapumzishi kwaamani amina
Nakumbuka miaka hiyo nikiwa mdogo pale keko polisi mkija kupiga mziki tunasikilizia kwa nje watoto haturuhusiwi kuingia😭😭🙏🙏
Pole 😂😂
Kingwendu alikua modo kabisa
Napenda hapo Tx anapomalizia kuimba 'Maberaaaaa...' halafu unafuata mpini (solo guitar) la mkongwe mwenyewe- mzee Said Mabera....huu wimbo waitwa TUMA -utunzi wake Tx Moshi William (rip)
Safu yote ya uimbaji HAIPO TENA DUNIANI... (RIP), TX, Momba, Joseph Maina, Gurumo na 'masharubu' -Suleiman Mbwembwe..
Maina naye katutoka?
Pichuu yupo na Zahoro?
Hamna kuchuja iyo mpaka mwisho wa dunia
Waliitendea haki tathnia ya mziki ktk kuelimisha uma na kuburudisha kwa ujumla !nawakubali sana hwa jamaa.let them Rip.
Msondo namba wani
Enzi hizo round about ya Uhuru na Msimbazi kabla haijavunjwa!!!
Wameivunja hii roundabout niliondoka nyumbani miaka mingi
Hizo suruali tumezivaa sana miaka ya 1975 zinaitwa bugaluu pamoja na pekos 😂😂 enzo za raha hizo. Endelea kupumzika kwa amani mzee mwaruka. 07.11.24.
kweli brother kingwendu umetokambali sana haubahatishi hongera cna nimekukubali kuu
Noma xana
Kama itatokea tena msondo kama hii iliyo nitesa maishani kwangu mungu awaondolee hadhabu ya kabri
Enz izo vipanya city center daah maisha yanaenda kas
Hahahahhahahaha acha tu yaniii
Asanteni sana,baadhi tutawakumbuka daima,mungu awapumzishe,nyinyi mbele sisi nyuma😢
Nawakumbuka sanaaa Mashujaa wa Msondo Ngoma pumzikeni kwa Amani
Watanzania cc niwatu waajabu sana hawa watu ndio wengelikua matajiri ila tuliwatupa saivi tunaona mchangowao dah
Industry inabadilika, by then muziki haukuwa na pesa kama sasa
Enzi hizo vitu safi
Mungu awapumzishe kwa amani
Msondo yetu raha hakika music ulipigwa humu bhna
Kweli kaburi ni tajiri, wengi wao wamesha lala usingiz wa mauti na sauti zao nzuri namna hii
This was Real Music .. instruments unazisikia na Saut za Dhahabu
Burudani nzuri ni mziki nzuri km huu,RIP TX moshi..
Pole sana kingwendu ayo machozi duu😂😂😂😂
😂😂😂
🤣🤣🤣 hatar
Nyimbo zilikuwa na ujumbe wa kufundisha jamii kitu, laiti vijana wa sasa wakijifunza kwa hawa magwili, watakumbukwa na tuwaenzi kwa vipaji vyao vya kutumia ala/vyombo halisi inapendeza.
Miziki ya zamani haikifu mtu kusikiliza Ina ujumbe wenyekueleweka
Sauti adimu kuzipata🥰🥰
hizi nyimbo kila zinakua mpya je familia zao zinapata kitu japokua wenyew wametangulia mbele ya haki
Jamani nakumbuka mbali🔥😍
Wazee wetu hongereni sana
Simchezo mgos msondo baba lao
Mziki mzr beat nzri uimbaji mzr mashaili mazuri
Inna lillah waina illayh rajioon punzika kwa amani said mabera
Wee kwani mabela kafa?
MSONDO NGOMA MUSIC BAND 🔥 🔥
Uhuru na msimbazi junction enzi hizo
Ngoma hizi tamuu zina ujumbe mzuri
tumetoka mbali Sana kwenye nyimbo zenye ujumbe unao ishi
Hivi hawa watoto walifanikiwa kuendelea na masomo kweli
Hawa jamaa ctaacha kuwasikiliza hata nikizeeka
Wanaujumbe mtamu sana
Msondo raha... msondo starehe ... msondo maziwa❤❤❤❤❤❤
Dah? Wahenga tuli enjoy sana enzi zetu walah
Nakumbuka Sana sitasahau
Si
Wazee wetu hawa wameweza kufanya tasnia ya muziki ikue kwa ujumla hongereni sana mmeelimisha jamii vyakutosha
Mungu hapunguzie hazabu yakabuli
Kingwengu jamani
Pumzika kwa amani Brother Momba.
May 2022, great sounds 🎺
Nyimbo za zamani jamani ndio nyimbo.nyimbo za siku hizi hazina maadili matusi matupu
Dah walikuwa vijana
I really love this song
2022 who is here from minnesota to Kenya 🇰🇪Uganda our neighbor
Alaa niko ndani
Kingwendu noma sanaa
Rizim ilitulia sana
2021 tena
Jamani wee kigwendu hivyo unayo angalia kwenye hizo kona kwa makini nimebaki nikicheka si rahisi kumwona mtu hapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Waoo Dah TX moshi
Na iv katoto vinavyo cheza bado vipo hai au vimekuw wazee
My best band forever
Mola awajaalie pumziko jema mlale kwa amani,na awape kaul thabit
2021 sahv hakuna kutuma na yakutolea
Tutawakumbuka Daima
Old is gold
Jamniiii gwendulile
🔥🔥🔥🔥🥰🥰
2020 June and am here for it at 0158
Swa
Ila Tx alikua ana sauti bana. 🌶
Akunakingine Tuma
Ezihizo.nikamazimetoka.leo
Apo Kingwendu anasema heluu heluuu
Old is good
Samahani hinyimbo ni yamwakagani
Zilipendwa raha sana
Hahaaa 2001 hiyoo
Tuma
Daima ninawakumbuka
💯💯💯👍🙏🙏
Azawi
Babu alipiga solo hatar
Sun 17 May 2020..Love🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Pore sana
Timeless classic 👍🏽
Cxg
Jetrudamahang
Ya kale ni dhahabu
Msondo.tuma wachaaaaa
👋👋👋👋👋👋👋
Kingwendulile😂😂😂
Sio mchezo
2001
2022🇹🇿
2020 online
2022
Mbona Namwona Kama Yumo Kingwendu😆😆😆
Hasina
Hasina
Mnsnikosha
xaf