huyu mbongo hasa. bongo sio dar. dar ni zanzibar kiswahili tu utakijua, lakini kajieleza kwao. HONGERA KWA MRADI WAKO NA KUWASAIDIA WATOTO NA UMESEMA KWELI. MOLA AKUSAIDIE
I think imani is not synonymous na utu. You can be non-religious and do good because its the right thing to do. But the again she's speaks so eloquently, I really enjoyed it.
mubah ww hufai kafe mbel uaboaje..kwan vinyoz wengine wako wapi msiwajir na muwa train kuuliza maswali.mana muba naboa ..kwanza napataga kigugumiz cha ghafla why..u guys need to train hoa vijana. huu ni almost msimu wa pili cjui wa tatu still hawafanyi research yao on how they gonna ask hoe celeb qsn @mkasiTV
Flaviana matamshii.....unakosea "r" unaela "l" n such kind a things,fix that please ww ni ambassador Wa tz huko uliko afuu unapokosea kiswahili inakua haipendezi!
kuna kitu kinaitwa accent. kama alivosema kazaliwa na kukulia usukumani. wasukuma wengi wanatatizo la hizo herufi l na r. hivyo usimlaumu.siunaelewa anachokisema lakn. Mzungu mwingereza mwenyewe akiongea kingereza kwa lafudhi yake ya posh,cockney, au australian unaweza usimuelewe sababu ya matamshi yake. mfano neno kama better mtu anakata analitamka be'a. wewe unaejua better unaweza usimuelewe.ndo kama hivyo kwetu. wakurya mpaka leo kwenye l wanaweka r. hope umepata picha..
Flaviana is such a real person, this interview is on point, very smart too. shikilia hapo.
nice nimempenda flav anajua kujieleza na kujibu maswali ila anatatizo moja kwenye kutamka L some time's R kwa mfano anasema langi badala ya rangi
I just love this girl.
flavian upo real sana Ni moja kati ya watanzania wenye Vision respect sana
I love her
mubah maswali yako uwe direct Acha kuzunguka from Algeria
she is awesome am telling yo...
Salama umenivunja mbavu 😂😂😂😂 eti kufuga kucha ya mwisho Ni ubishoo wa kizamani 😂😂😂😂😂 am dead 😂😂😂
Anaishi Tanzania ama anaishi hukooo .... nakuyaongelea Tanzania
daaa huyu muba ana kihere here
She is real...... Ï love her
Waoooo
Flavy msikivu, si km miriam odemba 😱😱
Ni mwànamke anaejielewa
huyu mbongo hasa. bongo sio dar. dar ni zanzibar
kiswahili tu utakijua, lakini kajieleza kwao. HONGERA KWA MRADI WAKO NA KUWASAIDIA WATOTO NA UMESEMA KWELI.
MOLA AKUSAIDIE
hahaha! !!! muba ila some time yuko vizur.
nampendaga
i enjoyed the show flavi she is openly!yaan amenyoosha na amekuwa mkweli sana
bg up xana mwana dada Flaviana
INSPIRING
kwani muba lazima awepo anatibua
Hahahahhaa
she is so real and fresh in short superb spice lady to be handed with maximum care and focus.
Huku dubai wanaenda na begi tupu madaftar wanapata huko
I think imani is not synonymous na utu. You can be non-religious and do good because its the right thing to do. But the again she's speaks so eloquently, I really enjoyed it.
electrical injinialin
Izi ndoa ata 18 bado watoto...shule kwanza. Tuseme 23 and above
mubah ww hufai kafe mbel uaboaje..kwan vinyoz wengine wako wapi msiwajir na muwa train kuuliza maswali.mana muba naboa ..kwanza napataga kigugumiz cha ghafla why..u guys need to train hoa vijana. huu ni almost msimu wa pili cjui wa tatu still hawafanyi research yao on how they gonna ask hoe celeb qsn @mkasiTV
kila supermodol ambae yuko UK ni msukuma wasukuma oyeeeeeeeee
hio r na l ni kma lafudh cjui mn nna rafk ang mwngne uko hvo kumbdlsh ni kma kumwambia mchaga akiekulia uchagn abdl lafudh