We ustupangie kikosi unajua nini mwache chama akae bench ule usajili wa chama ulikuwa wa kukomoana hawezi mbio za akina pacome so unataka kwenye first elven ya gamondi nani akae bench chama aanze?
Ww baba levo utakuwa umetumwa na simba utuchafulie hali ya hela sasa tukuambie ukwel tumemchukua chama si kwalengo la kuchezo yanga noo lengo nikuharibu upande wa pili siumeona wanavyoteseka kupata mbadala wa chama
Safi sana baba leve mm ninakukaubari sana.Mungu akupe maisha marefu
😅😅😅😅😅😅😂
Dah baba levo hatari
Hivohivo B manyumba umeupiga mwingi hiyo rugha nikama rugha zingine tu Mr Gamond kakuelewa vizuri tu 🤣🤣😂
Baba levo umetisha
We ustupangie kikosi unajua nini mwache chama akae bench ule usajili wa chama ulikuwa wa kukomoana hawezi mbio za akina pacome so unataka kwenye first elven ya gamondi nani akae bench chama aanze?
Ila baba level msenge kwelikweli ila raha sana broo
Kwanza chama anamweka nani bechi 😂
Ila Baba levo 😂 braza we ni dish kwel 😂
Namkubali sana mwamba
Umejitahidi kupangilia ngeli lakn usimuingilie kocha bana😂😂
😂😂😂😂😂💚🖤💛
Ww baba levo utakuwa umetumwa na simba utuchafulie hali ya hela sasa tukuambie ukwel tumemchukua chama si kwalengo la kuchezo yanga noo lengo nikuharibu upande wa pili siumeona wanavyoteseka kupata mbadala wa chama
Imenibidi nicheke kwenye kwanye dakika chache.....
Umejitahidi ila angalie usije ukanya maana unavyotumia nguvu
Acha upuuzi wewe huna talumu ya mpira wewe fanya yako tu
Holy trinity. Utatu mtakatifu.
👍
Ujumbe umefika
😂😂😂😂 Rudi shule
Acha ujinga wewe chama Bado Hana speed Bado format ya yanga haijamkaaa
😂😂😂😂