FEROOZ ALIAMSHA DUDE/ P FUNK ALITUFUKUZA/ WAZAZI WANGU/ MAJI YA SHINGO/ WAHUNI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 26

  • @metiakijoseph9913
    @metiakijoseph9913 3 ปีที่แล้ว

    Magomeni mapipa, the last time I was there I enjoyed a lot. Big up sana Ferooz my long time legend.Many greetings from Kenya. Kazi njema.

  • @hakimabdul7494
    @hakimabdul7494 3 ปีที่แล้ว +3

    Simulizi kali sana...love it

  • @jumaramadhanirajabu1938
    @jumaramadhanirajabu1938 3 ปีที่แล้ว

    Makongo moja nakumbuka sana Ferooz big up mwamba

  • @mynesvitus2679
    @mynesvitus2679 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakukubali sana ferooz msafi sana hupauki

  • @wifiroom8936
    @wifiroom8936 3 ปีที่แล้ว +3

    Mr police police police man dah uyo jamaa anafaa kuheshimiwa ila watoto wa sai hawakujui ferooz sawa 2

  • @floramnabwiru1606
    @floramnabwiru1606 3 ปีที่แล้ว +3

    Ferooz nakukubalisana mwanangu

  • @pauljackson8120
    @pauljackson8120 3 ปีที่แล้ว +1

    mimi huyo mwamba namkubali sana

  • @Chapesamedia
    @Chapesamedia 3 ปีที่แล้ว +4

    Bless bila mafanikio umevutia hela bangi na madawa sasa mnachukia watu walio kuwa na vision na mipango

    • @muddyville
      @muddyville 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwani we ukiambiwa uelezee neno "mafanikio" unaweza kuelezeaje????

  • @samesmille7701
    @samesmille7701 3 ปีที่แล้ว +6

    mwanang unamuiga millard ayo utangazaji kabisa

    • @mfalmekaitaba2425
      @mfalmekaitaba2425 3 ปีที่แล้ว +1

      Watu kufanana sauti au swaggs siyo dhambi

  • @abdulrahmanmwadini5925
    @abdulrahmanmwadini5925 3 ปีที่แล้ว +3

    Feruz bado jamii tunakumiss kwenye Bongofleva

  • @lutenganomwannyalu3366
    @lutenganomwannyalu3366 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba ferrous uko makini mnoo

  • @legawayz6093
    @legawayz6093 3 ปีที่แล้ว

    Ferooz💪

  • @radaonlinetv1922
    @radaonlinetv1922 3 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji uko vizuri ktk taxnia ya utangazaji ile uxichanganye lugha mbili kwa wakati mmoja

  • @manyangumashala466
    @manyangumashala466 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji unatangaza vizuri Sana,Ila acha kuchanganya Lugha,vingereza vingi Sana,unaboa

    • @fridasky1019
      @fridasky1019 3 ปีที่แล้ว

      Kama milard hadi fac wamefanana

  • @jumakapola419
    @jumakapola419 2 ปีที่แล้ว

    Aya kati ya daimond aliye watoa wasanii mpaka leo vinalilia tu mapenzi kila mda na uyo majani aliye mfukuza feruzi adi leo choka mbaya ata inchi Congo awamjui nani alaumiwe apo kati ya majani na daimond mda mwingine tuwe unatumia akili daimond anafanya mziki kazi majani alifanya mziki staree

  • @hatbtalveson6581
    @hatbtalveson6581 3 ปีที่แล้ว +2

    jamaa anakipaji cha kutangaza ila anaboa kuiga watangazaji wengine na kuchanganya kingereza mara kwa mara haipendezi...

  • @hoseamichaelkintu3190
    @hoseamichaelkintu3190 3 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji ananipa kichefchef

  • @yohanapetro4937
    @yohanapetro4937 3 ปีที่แล้ว +1

    Intaveu kali saf

  • @dullazero7465
    @dullazero7465 3 ปีที่แล้ว +1

    Kamanda ni bonge la nyimbo nalikubali mpaka leo

  • @senetakilaka2264
    @senetakilaka2264 3 ปีที่แล้ว +4

    Mbona unapindisha stoli nyinyi mmetorewa na mika mwamba sio p funk

  • @saidahmad6936
    @saidahmad6936 3 ปีที่แล้ว

    So so so so