Mashaallah x2. Jazzakah-la kheri innshaallah kwa mawaidha yko.Kwa kweli mwenye kumtegemea Allah hatoaibika kamwe!.Kisa chenye mafunzo mazitoo na mazingatio kwa wenye Imani.Allah kuzidishie elimu uzidi kutufaidisha na sisi innshaallah.
Masha Allah Sheik...Niko Kenya Mombasa maeneo ya Likoni...Allah Akulinde Akupe nguvu katika Kutuelimisha Insha Allah Kesho Akhera Tuwe pamoja na Mtume wetu Muhammad phbuh...Ameen
Mashallah Shekh hiv mm nilikua ninasumbuliwa na ndoto za kuwa niko kwa mganga anachinja kuku mweusi hii ndoto inajirudia sana. Naomba kujua shekh Allah atakulipa in shaa Allah 🙏
Huyo ni sheitwani anataka ukufuru ndugu yangu usiende kwa mganga ndugu yangu simama na swala za usiku mlilie allah hata mm nina mitihani hiyo ndugu yangu tuzid kumuomba allah subra
A salam alaykum vipi hali shekhe mimi nana sumbuliwa na watoto wangu hawasikii na kila mtoto ana matatizo yake wa kwanza hali chakula chote zaidi ya soda na wapili anamabaka meusi mwili mzima na watatu
Hakuña lounge muuovuu kama Shetani ameandikwa Kwa Bibilia Isaiah 54:16 aliuumbwa kama muharibifu. Mungu atuepushe na ritnacza uwongo wake anayetumia kutudanganya Duniani Read revelation 127-11, Revelation 13:14, tukaetukitubu dhambi Kwa kuoshwa na damunya Yesu Krist au Isaa Bin Mariam 🙌🙌😇😇😇😇🙏🙏🙏
Asalam alaykum habari zenu sheikh mardhiya ukiwa umeambatana pamoja na watwamama nawasalimia nakuwapa hongera kwa kazi yenu yakijitolea katika njia ya Allah (sw) kwakweli mawaiza yenu ni mazuri na niyenye kuzikosoa nafsi zetu zilizo jaa mavumbi na uchafu ulio kisiri Mungu awape maisha marefu yenye baraka tele duniani na akhera
Mimi nina matatizo yamenikabili kiupande wangu nimehangaika sehemu nyingi sana kwa mashehe waganga ila bado ndio kwanza naona nuksi zinaongezeka nahaya yote mashaka mwanzo yalianza na ndoto ambazo naziota huwa naweza kuota ndoto kama ambavyo akiota ndivyo kuja kutokea ila
Masha Allah Shehk Mardhiya ... Umejaaliwa na kipaji Cha Elmu ya juu sana .... Allah akupe umri mrefu wa kheri uzid kutupea mazuri
Sheikh wetu Mardhiya tunakupenda sana mungu akupe umri mrefu uzidi kutusaidia 🙏♥️
Mashaallah x2. Jazzakah-la kheri innshaallah kwa mawaidha yko.Kwa kweli mwenye kumtegemea Allah hatoaibika kamwe!.Kisa chenye mafunzo mazitoo na mazingatio kwa wenye Imani.Allah kuzidishie elimu uzidi kutufaidisha na sisi innshaallah.
Masha Allah Sheik...Niko Kenya Mombasa maeneo ya Likoni...Allah Akulinde Akupe nguvu katika Kutuelimisha Insha Allah Kesho Akhera Tuwe pamoja na Mtume wetu Muhammad phbuh...Ameen
Jazakallahu kheri
Allah akuhifadhi sheikh salum mardhiyya na akupe umri umrefu uzidi kutusaidia Amin Amin Amin ya rabil alamina
Maashaallaah mungu akuzidishie elimu na baraka nyngi ktk kaz zako akuepushie nahadad na vijicho naakupe umli mrefu wenye baraka
Mashallah Shekh hiv mm nilikua ninasumbuliwa na ndoto za kuwa niko kwa mganga anachinja kuku mweusi hii ndoto inajirudia sana. Naomba kujua shekh Allah atakulipa in shaa Allah 🙏
Mashaallah
Huyo ni sheitwani anataka ukufuru ndugu yangu usiende kwa mganga ndugu yangu simama na swala za usiku mlilie allah hata mm nina mitihani hiyo ndugu yangu tuzid kumuomba allah subra
@@khadijahilal3016 asante ndugu yangu ktk iman Allah akuzidishie
Ameen kwa sote ndugu yangu
Shekh wetu tunakupata na Elimu inatufikia kupitia TV yetu Zinjibar TV MashaAllah Mubashara mambo
A salam alaykum vipi hali shekhe mimi nana sumbuliwa na watoto wangu hawasikii na kila mtoto ana matatizo yake wa kwanza hali chakula chote zaidi ya soda na wapili anamabaka meusi mwili mzima na watatu
Naaam tunastafidi Vema; MaashaAllah 👏
ماشاءالله شكرا شيخ Salum صدقت صدقت صدقت
Masha Allah sheikh salum umetiririka vizuri sana katika mada inamafunzo mazuri yakuzingatia...lnsha Allah dua Makbool Ameen yarab...Ma Salam
MashaAllah dua zako ni maqbuli mashaAllah
Hakuña lounge muuovuu kama Shetani ameandikwa Kwa Bibilia Isaiah 54:16 aliuumbwa kama muharibifu. Mungu atuepushe na ritnacza uwongo wake anayetumia kutudanganya Duniani Read revelation 127-11, Revelation 13:14, tukaetukitubu dhambi Kwa kuoshwa na damunya Yesu Krist au Isaa Bin Mariam 🙌🙌😇😇😇😇🙏🙏🙏
Waalaykum salaam warahmatullah wabarakatuh Alhamdulillah shukraan sana
Sheikh.hakika.mungu.akupe.umri
Murefu.👏👏👏👏
Jazaka allahu khair
Shukran sana mungu awape mema
Asalam alaykum habari zenu sheikh mardhiya ukiwa umeambatana pamoja na watwamama nawasalimia nakuwapa hongera kwa kazi yenu yakijitolea katika njia ya Allah (sw) kwakweli mawaiza yenu ni mazuri na niyenye kuzikosoa nafsi zetu zilizo jaa mavumbi na uchafu ulio kisiri Mungu awape maisha marefu yenye baraka tele duniani na akhera
@
Yarabby mpe nguvu sheikh wetu inshaallah
Mungu atuondoleshe hasd
Amiin yarabby
Waaleykum msalam warah matullah wabarakatu
Maa shaa Allah
Mashaallah
Allah amrehemu ampanulie kabri
MASHAALLAH
Ameen yarabilalamin.
Ameen thumma amin
Mashallah
Asalam alyekum warahmtullah mtu akiwa Nairobi Anaweza pata aje msaada
Jazzakka Allahu khyern 🤲
Mashaaallah
Mashaallah mashaallah
Allahumma amiin
Mimi nina matatizo yamenikabili kiupande wangu nimehangaika sehemu nyingi sana kwa mashehe waganga ila bado ndio kwanza naona nuksi zinaongezeka nahaya yote mashaka mwanzo yalianza na ndoto ambazo naziota huwa naweza kuota ndoto kama ambavyo akiota ndivyo kuja kutokea ila
MaashaAllah
A/a naomba dua ya wtto plz
الله أكبر الله أكبر
ماشاء الله
Amiin amiin
Wewe shekhe nakukubali Sana Kuna ile dalili umenipa nimekubali asilimia Mia
Alhamdulilla
Kabisa
💯💯💯💯💯❤❤❤❤🤲🤲🤲🤲🙏
Tupe dua shehe
Nahitaji namba ya shekhe Salim
Nina kuonea gele ... unapo ichambua vizuri Qur'an ajabah Qur'an Karim..... Qur'an tukufu 🤗
Yatakiwa useme maashaallaah usiseme nakuonea ngere
Jamani tafadhalini
Asalaamu aleykum
Mbona apatikani
Simpati ustadhi kwenye whatsapp
Ma Sha Allah
Mashallah
Mashallah