ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Ahsante kwa uji mzuri lkn katika kukoroga mamyyy tumia vijiko visivyo kwaruza sufuria kwasababu tunao eka ear phone kijiko kinaumiza
Asante dear na pia nashukuru kwa ishauri
Vp mjamzito anaruhusiwa kunywa
Ndio dear unaweza tumia
Samahani iv naweza kutumia diet ya oats meals asubu mchana bna jion kama chakula changu?
Apana dear autaona matokeo
Oat ni nini na kiswahili
Vizuri nami nitajaribu
Sawa momy
Nice. Vp umepungua?
Ndio , lakini bado sijafiakia ninapotaka
ok. Nasubir kwa hamu nikuone umepunguwa. na mimi nijaribu.
Soon momy najiposte mzima mzima hapa
Mrembo mwenyewe.nimekuona dear. Thanks.
Quaker oats naomba matumizi yake
Mimi situmii maziwa yalinishinda toka nilipokua mdogo naweza kupika na maji tu
Ndio dear unaweza kutumia maji lakini sukari sio lazima
Je kwa mtoto ukitaka awe mnene inafaa dear
Apana dear, kumbuka kama hiyo inapunguza mwili ukiwa unakula kila siku
Nauliza naweza tumia ivo bila chechote ju niko na oatmeal peke inasaidia ama aje
Ndio dear but sio kila oatmeal tafuta ya health ndo nzuri
Vp unakuwa na radha ipi
Kwani uwezi pika na nazi badala ya maziwa
Unaweza but iyo nazi inatakiwa iwe low fat
Oatmeal ndo nini jamani
Kama aujuwi just google ili ujuwe zaidi