ULIVYO KWA ULACHO na Mama Terry: Unakula matunda yaliyoiva au yaliyobakwa?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Matunda unayonunua yameiva au yamebakwa? Kwenye episode hii ya kwanza ya #UlivyoKwaUlacho, Mama Terry anakueleza umuhimu wa kula matunda yaliyoiva na kwanini ni muhimu kuhakikisha unapata matunda bora

ความคิดเห็น • 21

  • @co-architectureltd2689
    @co-architectureltd2689 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana Mama kwa somo zuri. Nimeelewa mambo mengi ambayo nilikuwa siyajui kabisa. Endelea kutuelimisha Mama yetu wala usichoke

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 ปีที่แล้ว +11

    Tutapata comment 30 kwenye hii video alaf akipostiwa hbaba na baba levo comment elfu 20 thn mnawauliza online tv why wanawahoj kina hbaba na giggymoney badala ya kuhoj mambo ya msing😅😭 watanzania tujikubal sisi ni wajinga na tunapenda mambo y kina kajala bas

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  ปีที่แล้ว

      😆😆 Na huo ndo ukweli

    • @samtelah7578
      @samtelah7578 ปีที่แล้ว +4

      Sio media za kibongo ndo za kijinga maana zna entertain upumbavu

    • @franklachman8883
      @franklachman8883 ปีที่แล้ว

      Well said..✔️

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว

      @@samtelah7578 kama ni media pekee na hao viewers? Hao ndo wanaopenda kuangalia upuuzi

    • @zuhrazuhra637
      @zuhrazuhra637 ปีที่แล้ว

      😃😃😃😃😃

  • @sharifaabdala1565
    @sharifaabdala1565 ปีที่แล้ว

    Shukran mama mungu akupe kheri umetuelewesha vizuri ALAHMDULILAH

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 ปีที่แล้ว

    Asante mm tutafanyia kazi ushauli wako

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky ปีที่แล้ว

    Asante mama T umeeleweka

  • @herbertygeofrey2724
    @herbertygeofrey2724 ปีที่แล้ว

    Safi sana mama tery umetupa madini safi

  • @khadijaabdala6876
    @khadijaabdala6876 ปีที่แล้ว

    Ahsante mama tupo pamoja

  • @SonySony-hx5yd
    @SonySony-hx5yd ปีที่แล้ว

    Barkiwa mama angu nkupenda sn

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 ปีที่แล้ว

    I miss you mama terry

  • @wemakalama6458
    @wemakalama6458 ปีที่แล้ว

    Ubariwe mama

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว

    Wengi wetu tunakula yaliobakwa na kulawitia kabisa. Tamaa za pesa tu dunia hii

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 ปีที่แล้ว

    Mama umesema kweli yaani nimejifunza mengi sana toka kwako. Sisi huku nje tunakula matunda ya kubakwa 😂 kila siku, hayana hata radha ili mradi tu!

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍