Ameen.... Nafarijika sana kuckia ujumbe wa wimbo huu kwa sababu ni wimbo unaotia moyo sana ktk maisha yang ila pia wimbo huu unanifarji ninapo muona marehem rhoda kabuche ambaye alikuwa bibi yang.......
Ni miaka 11 tangu atutoke bibi yetu Rhoda Kabuche. Leo tar 12/2/2021 sikutegemea kama ningemuona kwani nilikua tu nikitizama nyimbo TH-cam. Nimejifunza ukimtumikia Mungu bado utahubiri tu hata ukilala.
This is are..........come on, msitufanye watanzania ote tuonekane hatujui kiingereza, seek for advice sometimes when writing these words, the song is nice, am blessed a lot.
NABARIKIWA SANA NA NYIMBO HII YA AYUBU, MUNGU AWABARIKI TRIUMPH KWA UJUMBE WENU KWANI UNANIWEKA KARIBU SANA NA MUNGU WANGU LAKINI NAWEZA NIKAPATA WAPI ALBUM YENU HII
Asante yesu jaribu langu utaniwekea mlango wakutokea Amen
Thought of this song I used to love after my class 8,it's still a blessing to my soul,thank God twas brought to TH-cam
alikua mtu wa Mungu Ayubu
Nani anasikiliza 2021??nice song
wimbo huu unanitia moyo hasa ninaposongwa na majaribu Mungu awabariki
Ameen....
Nafarijika sana kuckia ujumbe wa wimbo huu kwa sababu ni wimbo unaotia moyo sana ktk maisha yang ila pia wimbo huu unanifarji ninapo muona marehem rhoda kabuche ambaye alikuwa bibi yang.......
Ni miaka 11 tangu atutoke bibi yetu Rhoda Kabuche.
Leo tar 12/2/2021 sikutegemea kama ningemuona kwani nilikua tu nikitizama nyimbo TH-cam. Nimejifunza ukimtumikia Mungu bado utahubiri tu hata ukilala.
Thanks for the wonderful message. GBU.
nzuri sana!bwana nivmwema
This is are..........come on, msitufanye watanzania ote tuonekane hatujui kiingereza, seek for advice sometimes when writing these words, the song is nice, am blessed a lot.
Video nzuri, ujumbe mzuri, waimbaji wamechangamka.
Mbarikiwe kwa ujumbe makini unaleta matumaini kwa waliovunyika mioyo
MUNGU awabaliki kwa kaz yenu nzur
many blessing amen mungu yupo
NABARIKIWA SANA NA NYIMBO HII YA AYUBU, MUNGU AWABARIKI TRIUMPH KWA UJUMBE WENU KWANI UNANIWEKA KARIBU SANA NA MUNGU WANGU LAKINI NAWEZA NIKAPATA WAPI ALBUM YENU HII
yes jaribu halitakupata kamwe isipokuwa lilillo kawaida
ĺarabens irmãos da Tanzânia. Eu sou brasileiro e me alegro muito em ouvir suas músicas em suas belas vozes. Deus seja louvado. Sou adventista.
Wow congrats nimebarikiwa
Exactly, NO Temptation can OVERWHELM u since GOD is able to make A Longlasting Wayout...Amen
Nice song be blessed the people of God
Great choir
upload more music. i like your music.GBU
this is powerful ... powerful message...praise God
agas7777 zyj
i love much This song
nice
AMEN..
amen