PATANISHO : NDIRANGU - MKE WANGU ALIKUWA ANASHINDA AMENIKASIRIKIA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2022
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghost
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
Ndirangu jipe shughuli, huyu babe wako wa sasa hana kazi yako
I like this lady. She is very honest. (She doesn't miss him, fare atakula akituma).
Hapo hakuna ndoa.....the lady is too childish 😏
Mercy Is not ready for marriage,she was used to being single and I think she's not the type who submits to a husband
Huyu dem asha mtoka huyu jamaa.ajipange tu hapa hakuna ndoa
Ndirangu wacha kulalia masikio Mercy hana haja nawe.
Mnapenda sana kujudge watu c Kila mtu akae vyenye anataka
Mubaba:beb mambo
Kiana:khai ugurukaga (kwani hua unachizi)
Mubaba :mko ajy
Kiana:pouwa
Mubaba:nawamiss
Kiana:pouwa
😂😂😂i die enyewe marriage nikuvumiliana
Mercy wengi ni wagumu sana.
Haki patanisho za ndoa si mchezo
Gulf well represented in the house
Am eunice from kakamega account nige penda kuogea na nyinyi tafandhali
Ghost sisi enyewe ni Dci 🤣🤣🤣🤣🤣
Kaaii ugurukagaa🤣🤣
That lady is not ready to settle.
Ndiragu should start looking for another serious wife. Mercy aneenda
Huyu ni mimba tu ilimfanya akaishi na James.Ako na kiburi na hampendi huyu jamaa.Meaning,alikuwa anamkula tu doh zake sa mimba ikafanya aolewe tu.Because hata Hana reason ya kuacha ndoa!James?Ishi ukijipanga don't put all minds on her okay?
A lady who abandons her kid(s) is not qualified to a good Mother. That's a shenzi type 😂
First
😂😂😂😂😂
Hi, redio jambo am eunice from kakamega nko na swali apa naomba munisaidie,nlitana na kijana tuka hoana vizuri wakati tupoenda kwao waka sema mm nimuzaa na kijana aka ambia wazazi wake mimi dio nili mtafute machine na bibi ygu sasa kijana akua anajiweza sasa tulikua tuki lala jini na yeye basi mimi nik pat job nika nunua vitu zanyumbani baadae baba mkwe aliaza kwenda kwanyumba yangu kaa nimetoka akaigia kwa room yangu akatoa matrixes kwa kitada yangu apo aliku Ana manisha nni redio jambo ?
Bro jipe shuguli this woman will ever keep you with stress
Unaongea aje na mtoto wa one year 8mnths
Aache kazi Juu ya mtu 😂😂😂😂😂
Huyo mtoy anaongea already
Myb anaitana baba ama mum
Bro itabidi uvumilie huyo bado mtoto ubongo
Awa Bado n wachanga awajui maana ya ndoa ,🤣🤣🤣
AD the woman should look for food
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndirangu ajue sisi wanawake tuko wengi sana, atafute mwingine. That lady is very very childish...
Hi