JINSI YA KUFUNGA TRANSFORMER NA CHANGE OVER SWITCH AUTOMATICALLY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 10

  • @DeejX-ihm
    @DeejX-ihm 21 วันที่ผ่านมา

    Ebu andaa video mzuri ya hii kitu natamani sana kuielewa....from kenya nmependa tutorials zako🎉🎉

  • @Abdallahmosha35
    @Abdallahmosha35 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana mwalimu kwa somo zuri Mungu atujaalie afya njema ili utupe darasa zaidi ila kuhusu kazi ya transfoma ni kuongeza au kupunguza umeme sio kuongeza pekee au kupunguza pekee ahsante.

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi ya transfoma ni kukuza na kupoza umeme (Step up and Step down). Anyway maelezo mazuri sana 💪💪

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 5 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏👏

  • @josej9888
    @josej9888 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa inahitajika kichwa kiwe kinachaji vizuri 😊

  • @SaidAbdalla-u5f
    @SaidAbdalla-u5f 3 หลายเดือนก่อน

    Asalam alaykum mm nauliza beyi ya submitter beii gani

  • @sirkomba
    @sirkomba 3 หลายเดือนก่อน

    Atonerta inachaji battery kwenye generator na izo waya za signal ndani yake ina circuit ya NO & NC

  • @MedardLuhende
    @MedardLuhende 5 หลายเดือนก่อน

    Hii breaker ya kushoto ya control panel ya transformer out yake inaenda kufanya connection Wapi... ?

    • @darasalaumeme7421
      @darasalaumeme7421  5 หลายเดือนก่อน

      @@MedardLuhende ya kushoto imepokea kutoka kwenye transformer baada ya hapo imepeleka kwenye ya kulia Kisha ya kulia ikapeleka kwenye change over