KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA MORING GLORY [ THE SCHOOL 0F HEALING] 22 /01/2025

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA MORNING GLORY [THE SCHOOL 0F HEALING] 22 /01/2025
    UJUMBE WA LEO : SAA YA MUNGU KATIKA MAISHA YA MWANADAMU
    Yohana 17 : 1
    Yohana 2 : 2 - 5
    LENGO LA SOMO
    1.kukusaidia kuijua saa ya Mungu kwenye maisha yako na ishara zinazo tokea wakati saa ya Mungu inapo wadia ili kukutendea mema
    2.Kujua namna ya kushinda vita na vikwazo vinavyo tokea wakati saa ya Mungu inapo wadia kwenye maisha yako.
    SIFA NA TABIA ZA SAA YA MUNGU
    4. UNAHITAJI MAANDALIZI WAKATI UNASUBILIA SAA YA MUNGU KUKUJILIA..
    Mathayo 5 : 1 - 10
    1 Naye alipowaona makutano, alipanda mlimani; na alipokwisha kuketi, wanafunzi wake walimjia;
    2 akafumbua kinywa chake, akawafundisha, akisema,
    3 Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
    4 Heri wenye huzuni; Maana hao watafarijika.
    5 Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.
    6 Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa.
    7 Heri wenye rehema; Maana hao watapata rehema.
    8 Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu.
    9 Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu.
    10 Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
    Matendo 7 : 22 - 25
    22 Musa akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa hodari wa maneno na matendo.
    23 Umri wake ulipopata kama miaka arobaini akaazimu moyoni mwake kwenda kuwatazama ndugu zake Waisraeli.
    24 Akamwona mmoja akidhulumiwa, akamtetea, akamlipia kisasi yule aliyekuwa akionewa, akampiga huyo Mmisri.
    25 Alidhani kwamba ndugu zake watafahamu ya kuwa Mungu anawapa wokovu kwa mkono wake, lakini hawakufahamu.
    Esta 2 : 9 - 13
    9 Yule mwanamwali akampendeza, akapokea fadhili kwake; naye akampa upesi vifaa vya utakaso, pamoja na posho zake, na vijakazi saba walio haki yake, wa nyumbani mwa mfalme. Pia akamhamisha yeye na vijakazi wake akawaweka mahali pazuri katika nyumba ya wanawake.
    10 Walakini Esta hakudhihirisha kabila yake wala jamaa yake, kwa maana ndivyo alivyomwagiza Mordekai asiwadhihirishe.
    11 Na yule Mordekai akawa akitembea kila siku mbele ya ua wa nyumba ya wanawake, ili ajue hali yake Esta, na hayo yatakayompata.
    12 Basi ilipowadia zamu yake mwanamwali mmojawapo aingie kwa mfalme Ahasuero, hali akiisha kufanyiwa sawasawa na sheria ya wanawake miezi kumi na miwili; yaani, ndivyo zilivyotimia siku zao za utakaso, miezi sita kwa mafuta ya manemane, na miezi sita kwa manukato na vifaa vya utakaso wa wanawake;
    13 mwanamwali huingia hivyo kwa mfalme; kila akitakacho hupewa kwenda nacho kutoka katika nyumba ya wanawake ili kuingia katika nyumba ya mfalme.

    Mhubiri: Mwl. Ezekiel Malando
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
    Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
    Simu: +255 713 553 443
    TH-cam: Kijitonyama Lutheran church
    Barua Pepe: Kijitonyamalutheran@gmail.com

ความคิดเห็น • 14

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Asante Yesu tunabalikiwa sana kuptia mtumishi wako Amina

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante Yesu kwakuihona sku yaleo tena Amina

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amina Amina 👏🏼 👏🏼 👏🏼 👏🏼

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amina Amina

  • @happynesspallangyo9297
    @happynesspallangyo9297 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ameen

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen 🙏

  • @angelagideon1583
    @angelagideon1583 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @KelvinGodson-u9v
    @KelvinGodson-u9v 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🙏🙏

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🤲🤲🤲🤲🤲

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mahandalizi

  • @winfridawiliiam1501
    @winfridawiliiam1501 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amina

  • @neemam5042
    @neemam5042 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen