Poleni sana kwa msiba huu mzito.pole sana mzee msuya na mama msuya kwa kuondokewa na vipenzi vyenu kwa wakati mmoja.mungu awape subira kubwa sana awatie nguvu.hakuna atae baki wote ndio njia yetu.poleni wanafamilia wote. Innalilah waina ilah rajiun.😭😭
Poleni sana kwa msiba huu mzito.pole sana mzee msuya na mama msuya kwa kuondokewa na vipenzi vyenu kwa wakati mmoja.mungu awape subira kubwa sana awatie nguvu.hakuna atae baki wote ndio njia yetu.poleni wanafamilia wote. Innalilah waina ilah rajiun.😭😭
Poleni sana Baba na Mama Msuya kwa kuondokewa na vijana wenu Mwenyezimungu awape Subra awatie nguvu!
Pole sana baba .na mama. MSUYA.mungu..awape. nguvu
Poleni sana Tena Sanaa mungu awape mioyo ya uvumilivu
Pole sana ndugu , Jamaa na marafiki
Ni hudhuni kubwa mno 😭😭😭😭Ni Mungu pekee atakaye Ibeba hii familia kwa jambo hili zito 😭😭😭😭😭
Poleni sana toka nchin Kenya jameni
Maumivu makali jmn,mungu wa mbinguni akupe faraja
Daaaaah Mungu awaongezee faraja
Poleni sana familia mungu awape nguvu katika kipindi hiki amen
Pole I sana mungu awaweke roho za malehemu mahari pema peppni
Maumivu yasiyoelezeka jamani😢😢😢
Mungu awape nguvu
Poleni sana Wana familia Kwa msiba huu mzito Mungu awatie nguvu 😢
Poleni sana familia, pole wazazi
Pole sana ila mungu ni mkubwa atakupigania
Jaman MUNGU angebaki hata mmoja😭😭😭😭😭 nalia nalia maumivu ni makaliiiiiiii
R.I.P poleni sana wafiwa 😭😭😭
Polen sana n zaid ya maumv
HII INAUMA SANA TENA SANA.. WOTE TUTAKUFA ILA KUONDOKEWA NA WATOTO 4 NI MSIBA MZITO.. WAPUMZIKE KWA AMANI..
😢😢😢
Mungu awayie nguvu
POLENI SANA FAMILIA YA WAFIWA!!
Innalillahi wainnaillaihi rajiun 🥺 😢
Polen kwa wafiwa
innalillah wainnailaihii rajihuun
Daaaa jamani pole sana
😢😢😢😢😢😢😢😢
Rip
R I P
Sasa babaa wewe unafanya nini hapo jamani nenda tuuu
Mungu awayie nguvu ndugu wa malehemu😂
Acha uchawi ndugu. Kinachokuchekesha ni nini hapa wakati habari ni yahuzuni daaaah kweli kuna watu wanga sana hapa duniani😢
Msuya ni clopa msuya wilaya mwanga au?
Msuya ni ukoo sio huyo cleopa
Mungu awatie nguvu
Mungu awayie nguvu
😢😢😢😢😢
Mungu awayie nguvu ndugu wa malehemu😂
Mungu awayie nguvu