MDUDE CHADEMA ATEMA CHECHE NJE ya MAHAKAMA Baada ya KUACHWA HURU..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 41

  • @vellenacharz2919
    @vellenacharz2919 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante ubarikiwe Mungu, unayejibu maombi.Tujalie amani itokanayo na HAKI.

  • @annamushiaminaaa4367
    @annamushiaminaaa4367 3 ปีที่แล้ว +3

    Mmaa Suluhu wwee Mungu akulinde,.

  • @gaudenciamallya9779
    @gaudenciamallya9779 3 ปีที่แล้ว +7

    Matunda ya Mheshimiwa Mama Samia Suluhu.. (leta Suluhu Mama na Mungu aendelee kukulinda. ).

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 3 ปีที่แล้ว

    Amina kubwaaa. Mungu amsamehe...... Na aliyekubali kukuweka ndani bila kosa

  • @pendopendokimathkimath1218
    @pendopendokimathkimath1218 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani Mungu aitwe mungu na kila mmoja amshukuru mungu sana

  • @z.nalnabhani7194
    @z.nalnabhani7194 3 ปีที่แล้ว +5

    Mpongeze sana rais samia,ndiye kafanya haki isimame

  • @emmanuelsimon545
    @emmanuelsimon545 3 ปีที่แล้ว +1

    Angalia kauli bro zaid shukuru Mungu kwa ukuu wake

  • @melasdekas825
    @melasdekas825 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama Mungu akuongezee moyo mwema ili Taifa letu liinuliwe. Asante.

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 3 ปีที่แล้ว

    Mama Samia Oyeeee. Mama Mungu azidi kukubariki....

  • @benjaminmwaipungu594
    @benjaminmwaipungu594 3 ปีที่แล้ว

    Mama Samia ni mcha Mungu, analifungua Taifa kama alivyoahidi. Tanzania itang'aa kupitia utawala wa haki aliouchagua Rais wetu huyu mpendwa.

  • @iddiupepo8449
    @iddiupepo8449 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mkubwa kuliko askari

  • @twebechachamegera5925
    @twebechachamegera5925 3 ปีที่แล้ว +4

    Huu ni ushahidi tosha kuwa polisi wanawabambikia watu kesi. Sasa hili linapobainika na mahakama kama kwenye hii kesi ya Mdude, mahakama inatakiwa iwafungulie hao polisi kesi ya ubambikizaji watu kesi na wafungwe. Hili litakuwa fundisho na hawatafanya tena ujinga huo.

  • @kinanutaretoi5692
    @kinanutaretoi5692 3 ปีที่แล้ว

    Amn

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 3 ปีที่แล้ว +4

    Hamjui aluta maana yake nchi hii ina huru tayari

  • @ibrahimkanuto3514
    @ibrahimkanuto3514 3 ปีที่แล้ว

    Mdude on da house

  • @mosesdouglas7902
    @mosesdouglas7902 3 ปีที่แล้ว

    God is good

  • @twamanjatwasini4200
    @twamanjatwasini4200 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mtu bx2 amekutana namtu ana uluma lakn hizi sio shuklan haya wacha watupeleke waapo taka wao

  • @mauricempinga935
    @mauricempinga935 3 ปีที่แล้ว +1

    Happ ndio mjue kama TZ mwimili wenye mahamuzi ni mmoja tu

  • @smwansasu8605
    @smwansasu8605 3 ปีที่แล้ว +2

    HONGERA fARAJA MANGULA KWA KAZI KUBWA ULIYOIFANYA KUMTETEA KIJANA HUYO!!!

  • @rebeccasalumu8364
    @rebeccasalumu8364 3 ปีที่แล้ว

    Inaumiza

  • @charlesemmanuel9434
    @charlesemmanuel9434 3 ปีที่แล้ว +1

    Lakini MUNGU hafananishwi na chochote

  • @madetetv6576
    @madetetv6576 3 ปีที่แล้ว

    Ila hii nchi ilikuwa inaekekea wapi sijui

  • @bahatijoseph8763
    @bahatijoseph8763 3 ปีที่แล้ว

    Sugu mmemuona hapo

  • @benardmwakilasa3969
    @benardmwakilasa3969 3 ปีที่แล้ว

    Anataka tena
    Akaoge kwanza

  • @frankndabila1726
    @frankndabila1726 3 ปีที่แล้ว

    Umetoka Sasa jiangalie na matusi yako heshima kitu kidogo sana

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo mlikuwa mumelewa hamkumbuki COVID 19

    • @khadijajacob2214
      @khadijajacob2214 3 ปีที่แล้ว

      Pumbavu hawa halafu huwa wanajidai kuwa na tahadhari na Covid 19

  • @robertmgore3653
    @robertmgore3653 3 ปีที่แล้ว +1

    Kichwa maji

  • @leothardngonya2369
    @leothardngonya2369 3 ปีที่แล้ว

    Jamaa yenu yupo Kenya, Walokimbia Kwa Biashara ya madawa wameanza kurudi, na mizigo imeanza kuingia Kwa kasi kama ya ya KILWA.

  • @patrickkansonso4506
    @patrickkansonso4506 3 ปีที่แล้ว +1

    Utarudishwa tena!

  • @frankkimaro1354
    @frankkimaro1354 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU MKUBWA

    • @tonyaron85
      @tonyaron85 3 ปีที่แล้ว

      Pole xn mdude Mungu yupo

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 3 ปีที่แล้ว +1

    BORA MUNGU ULIMWANGAMIZA YULE DIKTETA ,ILI KILA MTU AWE HURU NA AMANI

    • @vitusmdegela5356
      @vitusmdegela5356 3 ปีที่แล้ว +1

      Ulaani wewe na HUKUMU Iwe juu yako.

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama hakua na hatia kweli ni sawa. Lakini nachojua nchi yoyote duniani haiwezi kuendelea kama waarifu wanafugwa na kupongezwa na kuacha huru wafanye watakavyo. Tunapoona nchi zimeendelea sio kizembe zembe mtu anafanya anavyotaka nenda china nenda uingereza nk halafu fanya upuuzi uone.

    • @frankkasha3945
      @frankkasha3945 3 ปีที่แล้ว +2

      Kama alikuwa na dawa kweli asinge kuwa huru leo

    • @robertedward8030
      @robertedward8030 3 ปีที่แล้ว +1

      Sawsa katoka,ila uwe mturivu,hayo ni maamuzi ya rais ,mshukuru

    • @bableeyzabdalla531
      @bableeyzabdalla531 3 ปีที่แล้ว

      Onesmo nikuulize kwani matatizo ya tanzania yanaletwa na nani na huyo mdude Alifanya kosa gani

    • @luciansanga5195
      @luciansanga5195 3 ปีที่แล้ว

      Huko kwote una kusema Wana tazama
      sana haki kwanza Ndio maana ndio sababu kuendelea kwao na sio Dhuruma
      wizi Wa kura na umwamba kaka

    • @mapenzi_tz1511
      @mapenzi_tz1511 3 ปีที่แล้ว

      @@luciansanga5195 kwani Dramp c Alisema kaibiwa kura, Inch gani mtu Kagombea alafu akashindwa akakubari Kashindwa? Km mdude kaachiwa niwazi kuwa Wanahalalisha upyaaaaa madawa Ya kilevya inchiihii inchi ilioza kulikuwa Na mateja wakutupwa wezi mafisadi, leo mmesahau lakini mtamkumbuka mda bado sanaaa ndio kwanza mambo yanaaanza utakapoona Ndugu yako kawa teja

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 3 ปีที่แล้ว

    Mama kasema hataki chokochoko sasa ukatupigie kelele mtaani tena