Hiyo speech ya pongezi ilivyotolewa imetolewa kiuledi Sana Mimi nadhani huyu semaji anapaswa kuwa Kiongozi mkubwa katika nchi yetu ikiwemo nyanja ya siasa na serikali. Hongera Sana semaji langu la chama langu. HONGERA SAANA ACHA YULE "ALLY KAMWE KIDIMBWI" ARUKERUKE MTAANI HATA AFANYEJE HAKUFIKII HATA KIDOGO. 👏👏👏👏👏👏
Dah! Kiukweli wewe ni msemaji msomi na wa hali ya juu' yaan unajua ni mazingira gani na uzungumze nn kwa wakati gan? Kweli wewe ni msomi na unazingatia MUkTADHA. Ahsante sana kaka hakika unaiwakilisha clabu vema mnoo ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉.
Hakika Ahmed ni msemaji makini sana,uende mbali katika mafanikio,najivunia kuwa na msemaji Simba aina yako.Wewe si usemaji tu ni KIPAJI na hivi karibuni utachaguliwa kuwa mkuu wa wilaya
Huu ndo ubaya ubwela yani upo makini sana kama raisi wa nchi kaka love you Simba sports ♥️♥️♥️ Sema uyo jamaa yako apo nyuma mshika bango la azania mwambie aache kusinzia😂😂😂😂😂😂😂😂
yaan huy jamaa wakimtumia kwenye kampen watatoboa maana anamaneno flan hiv unadanganywa mbaka unahis ni ukweli😂😂😂 huyu jamaa anajua kucheza na akili za watu🎉🎉🎉
Simba bingwa❤
Simba nguvu moya❤❤❤❤❤
Yes semaji ukiwa unazungumza unautulivu sana
Semajiii 🌹🌹🌹🔥
🎉🎉🎉🎉🎉 semaji la caf
Simba nguvu moja I love SIMBA.❤❤❤❤❤
Ubaya ubwela 💯
Tunakupenda sana semeji letu laubaya ubwelaa❤❤❤❤❤❤❤🦁🦁🦁🦁🦁💪🏽💪🏽💯💯💯💯
Mungu wangu wa Israel 🙏🙏🙏 Semaji la CAF huna baya! Mungu ibariki Simba Mungu ibariki Africa.
Yaani wewe ni Mtanzania Mungu wako ni wa Israel 😂😂😂
Ubaya ubwela🔥
Vizuri sana.
Msimu ujao tupate VAR itazidi kunoga😂.
Wazo zuri sana 👏🏽
Good San semaje 🎉🎉🎉🎉
Hiyo speech ya pongezi ilivyotolewa imetolewa kiuledi Sana Mimi nadhani huyu semaji anapaswa kuwa Kiongozi mkubwa katika nchi yetu ikiwemo nyanja ya siasa na serikali. Hongera Sana semaji langu la chama langu. HONGERA SAANA ACHA YULE "ALLY KAMWE KIDIMBWI" ARUKERUKE MTAANI HATA AFANYEJE HAKUFIKII HATA KIDOGO. 👏👏👏👏👏👏
Semaji ni mmoja tu wengine ni wapiga debee😂😂
😂😂😂 kwa kweli
Huyu jamaa hakulupuki anaongea Kwa kituo
Goood
Simba nguvu moja
Simba ❤❤❤❤❤
Ubaya ubwela ❤❤❤❤
❤❤❤❤
Simba is a big team
🦁⚽🦁🦁🦁⚽🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Obrigado 😂
Ubaya Ubwela Hadi huku. Semaji la CAF umetisha🎉🎉🎉
🎉
Hongera sana semaji letu la kaf
God bless ssc
Semaji la ubaya ubwera 🦁
Semaji letu Yan yy kotekote anagongaa❤
UBAYA UBWELA..
🦁
SIMBA NGUVU MOJA ❤
Nakupenda bure semaji letu
Safi
❤❤❤❤
Good speech 🎉🎉🎉
🎉🎉🎉
Semaji la kafu🎉🎉🎉🎉
Ubaya ubwela
Nguvu moja👏
Simba ni ya hatari sana, hizo kelele hazitoshi
Wewe jamaaa unajua sana ,,,semaji ni MOJA tu
Good speech 🎉🎉
Huna bayaa semaji letu ubaya ubwela🎉🎉
🎉congelatulation for semaji😂😂😂😂
👏👏👏👏👏👏👏👏 hongera Semaji la taifa 🇹🇿🦁♥️♥️♥️♥️👏👏👏👏👏🙏🙏
Naipenda xan simba
❤❤❤❤❤❤
Dah! Kiukweli wewe ni msemaji msomi na wa hali ya juu' yaan unajua ni mazingira gani na uzungumze nn kwa wakati gan? Kweli wewe ni msomi na unazingatia MUkTADHA. Ahsante sana kaka hakika unaiwakilisha clabu vema mnoo ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉.
Semaji letu❤❤
Semaji la CAF baba unatupa raha
Hakika Ahmed ni msemaji makini sana,uende mbali katika mafanikio,najivunia kuwa na msemaji Simba aina yako.Wewe si usemaji tu ni KIPAJI na hivi karibuni utachaguliwa kuwa mkuu wa wilaya
Huu ndo ubaya ubwela yani upo makini sana kama raisi wa nchi kaka love you Simba sports ♥️♥️♥️
Sema uyo jamaa yako apo nyuma mshika bango la azania mwambie aache kusinzia😂😂😂😂😂😂😂😂
Semaji hapa tanzania ni mmoja tu @Ahmed Ally tu
Mtu mkubwa mwenye madini yake 💪💪💪🤲🤲💯💯 namkubali sanaaa huyu jamaaa
Semaji km semaj una mpinzani tizi wew ndio msemaji pekee unao ongea kwa fakti wengine wapiga debe tu umetulia inaongea kama vile laisi wa nnchi
Tunaomba Semaji ongea na Bishop Gwajima acheze,yy ni simba na ni mchezaji mzuri sana
Tanzania kuna SEMAJI Ahmed Ally na WAZUNGUMZAJI
yaan huy jamaa wakimtumia kwenye kampen watatoboa maana anamaneno flan hiv unadanganywa mbaka unahis ni ukweli😂😂😂 huyu jamaa anajua kucheza na akili za watu🎉🎉🎉
Fanyeni mpango wa VAR bc panoga zaidi na italeta maendeleo zaidi ya kimichezo
Ingekuwa n kamwe hapo neno la kwanza angeizungumzia simba
Utashiriki perpendicular tena!?😅
Au parallel
Moroco kufanya nn?
Mwambie ameambie GSM aache kuzamini timu 8 kwenye ligi moka
It's wasn't easy 😐
👏👏👏👏👏👏👏👏🇹🇿🦁♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪💪🙏🙏🙏
😂😂😂
Ubaya ubwela semaji ukiwa kweny ubora wako
Ubaya ubwera
Ki vp mbona yanga Kaishia Makundi katufelisha halafu leo Tanzania iwe Nafasi ya 4 kwa ubora hivi viwango ni FEKI
Sema ukwel semaj
Wew ashamed all nini baba a
Hatutaishia apa mpaka kombe lije
Matawi ya CCM
Ahmed kasongo😂😂😂😂
ila nyiee huyo dada
Ubaya ubwela group from to Dihinda turiani
Ubayaaa ubwela huna baya semaji ila swali sana
Kwakweli semaj tunalo ubay ubwela
Bhubhaya bhubwela
Bunge bonanza ni NN??
Hakuna kama semaji la CAF. Huyu ni mashine yakuongea
ubaya ubwelaaaaa
Ahmed Ali ni mtu na nusu kudadek 🫡🫡🫡
Huu semaji wa madunduka mbona hajaenda Morroco ?
,😂😂😂 alafu aliendaa Morocco kapata nn😂😂
@@AltemiusAjuna Hapo Sasa kheeee😂😂😂
Aliyeenda Moroko atabaki kuwa mpenzi mtazamaji tu.
Ubaya UBWELA
🎉
Simba nguvu 1❤❤❤
Ubaya ubwela
❤❤❤❤
Ubaya ubwela ❤❤❤❤❤
UBAYA UBWELA
Ubaya ubwera
😂😂😂😂😂
Ubaya ubwela
Ubaya ubwelaa❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
Ubaya ubwera
❤❤❤❤❤
❤❤❤
Ubaya ubwela
❤❤❤❤❤
Ubaya ubwela