Yes hata niliskia kwa message akimuuliza kama ashaafanya ile plan yakuchukua documents zote na duplicate ya ID...means huyu mama ni mmali ya huyu mzee amefata na wanataka kutoa mama Joy vile mama ken aliondolewa kwa family
Kumbe huyu alikuwa mboch wa akina Ken now I understand how this whole thing unfolded. No wonder she doesnt want the "boma" to disintergrate coz she knows she is finished totally
There questions I ask earlier 70s 80s women Guild were the real not nowadays wanafunga hata tucugwa vitaba what is going on,hadi wasichana wadogo waba matamsi mabaya.
Mbona hasijue? Huyu mwanamke sio mzuri I Heard her telling Ken kwa simu ndoa yake ikiharibika atammaliza! So hataki yake iharibike lakini ameharibu ya Mama Joy!! Samaa itisha number ya Huyo Mzee umtumie hizo links aone what kind of a woman he is married to!
Samaritan pliz fuatilia ni nn kiliua mama ken, huenda this demon ndo alimuua ndo abaki na baba ken ....that woman is wicked sasa ona ameharibu maisha ya uyu kijana ....shimo yenye babako anaingia na yy anaingia hapo 😭😭😭😭😭
Sama thanks for the good job. please update us on Mash and Carol. hawa ni watu wazima they can take care of their issues, please dont STOP doing the good work many blesses. Note take care of your self
Samaritan ujue tutakupiga na mawe ama tu reject Eastern tv usiposanitize huyu mama kisha ulete mzae huku ajue ukweli juu huyu mama anakaa as if anataka kumaliza Ken na babake kisha achukue mali yake na anaogopa huyu mama Joy because she's bright... please chimba hii story sama if you need to help them.
Wueh ! Kumbe step mom ni kifaa! Huyu ndio mnasema mzee kuliko Ken ?! Hakai. Well well ! Hii sasa imekua ngumu . Ara mkisolve theres a high possibility bado watakulana tu. She should have gotten married to Ken and not the mzee basi tondu wueh ! Anyway, sorry mama Joy. Esrth is hard
These old men who marry young girls the age of their sons, ....just know that those girls you will be sharing them with your sons, you can take that to the nearest bank
Sijui ni macho yangu mbovu 🥺🥺ama nyinyi munaona vile naona huyu mchawi anakaa young kuliko mama joy 🧐🧐🧐🧐🥴🥴yote tisa lazima baba ken ajuwe kwanini asijuwe ❓❓❓
Nikiweka wivu kando mother inlaw looks very beautifull 😍 mali safi .shida hapa alilala na kijana wake But hii story tukichimbua vizuri kwa undani lets not blame this guy kwa kuona mwangu this mama alitaka mali zote za mzee akaona njia poa ya kuzinyakua behind mzee asijue njia nikutumia kijana walale naye it was not for love hii ilikua ya kufunika kijana macho ndo qsijue anything whats going on kijana aliona malove malove tu but mama naye alikua amejua mission yake ikienda successful atatupa huyu kijana Kitambo kijana agundue mali imeenda na huyu mama ingekua too laite hangesaidia BUT who is God ❤Mungu alisema yote yanayo fanyika kwa giza yatajulikana thats way he send an angel 😇 called Eastentv to help this family 👪 Samaritan youre God send to this family ndo haya yote yamejulikana Mzee alikua kwa giza hangejua haya yote Pia huyu kijana hajui vile kukienda mpaka wakajipata na step mother wakilala naye My prayer is mama Joy to forgive her husband bcz no one is perfect we all make mistakes yetu nivile hakuna mtu amekuja kuileta on camera
How am I overthinking, she is the one who killed biological mother to ken, if she was the house help she should be in a better position to explain this
This shameless woman killed ken's mum😢😢😢😢😢.Karma naye ni nani,maovu yake yamejulikana.Utalalaje na mtu unaita bwanako na kijana wake pia😢😢😢.No wedding na babake ken anafaa ajue hii maneno
House manager looks genz type that's why Ken anaona hii size ni mzuri kwake she is young also dress code inafutia but makosa ni why Ken have sex with mother in law mama joy let your father know all this na uende jiondoe kwa hii nguri n blow the whistle 2 everybody waanike so sad.
We need Ken’s father on set , we need to know how Ken’s mother died
Kabisa tujue nini ilimua
Mama joy is has really hit the lady when she told her off she could have been behind mama Ken's death
Yes hata niliskia kwa message akimuuliza kama ashaafanya ile plan yakuchukua documents zote na duplicate ya ID...means huyu mama ni mmali ya huyu mzee amefata na wanataka kutoa mama Joy vile mama ken aliondolewa kwa family
True , huyu genz ndiye alikua behind kifo ya mama ken ,angekua stano kingerleweka but sama wetu zi
Mama joy run run run for your safety,let ken go and marry the stem mom
Kama huyu mama alikua house maid ya mama ken..anajua vile mama ken alikufa walai😢😢
👂
Agreed with u 💯
Samaritan protect mama Joy these 2 could do anything to make sure the truth is hidden 😢
I think huyu mama hata kifo ya mama Ken anaijua juu alikuwa house manager wivu ni mbaya 😢
This shameless former house maid and a women guild member sharing same man and the son, may be she killed kens mother to destroy the whole family
Ithought ni biological mum to ken
Hope ukiskia akisema Kwa phone call ATI kupata baba keen ikiwa simple
Guild ya wapi ,
Most of These maids are ever on a mission
Babake Ken will b present next on set,😂Sama never disappoints. We want vayolence.
Baba Ken ni lazima ajue immediately.
Kumbe huyu alikuwa mboch wa akina Ken now I understand how this whole thing unfolded. No wonder she doesnt want the "boma" to disintergrate coz she knows she is finished totally
Shame on her atii ni mama wa guild 😢mama joy expose her .
Kila MTU amejua
Imagine 😢
There questions I ask earlier 70s 80s women Guild were the real not nowadays wanafunga hata tucugwa vitaba what is going on,hadi wasichana wadogo waba matamsi mabaya.
Wamama wa guild mumefikiwa. Kujeni hapa mjitetee
Enyewe this woman wanted just stable life she never wanted love or anything just a agent of destruction
True😂😂😂😂
Kwani babake alioa genz akiii yawaaa the so called mum inlaw looks so young n cute.nikieka wivu kando
True
Anakaa smart
Make up nayo
Pia mm nimeshangaa tu
😂😂😂😂😂😂😂😂
Baba Kevin akuje on set we want more content
💯
Sure
.........and more problems.
Yes kwanza tunjue hizo documents niza nini
Mbona hasijue? Huyu mwanamke sio mzuri I Heard her telling Ken kwa simu ndoa yake ikiharibika atammaliza! So hataki yake iharibike lakini ameharibu ya Mama Joy!! Samaa itisha number ya Huyo Mzee umtumie hizo links aone what kind of a woman he is married to!
Kabisaa twende naloo
@@Lucy-np4vu Kabisa! Shame on her analala na Baba na mtoto mpaka ako na mimba yake!
na nikaa ako after mali ya huyo.mzeee
Kabisa shame on her
Hapo nayo ken c kidogo ananyandua hadi mchawi ndio azae mganga😅😅😅
I think this step mother had mission to separate Ken from mama Joy. She want to own everything in this family has. 👌
Achukue mali za mzae zote.
Sure she wants to take Mali ya mzae tarnishing women's guild group
Samaritan pliz fuatilia ni nn kiliua mama ken, huenda this demon ndo alimuua ndo abaki na baba ken ....that woman is wicked sasa ona ameharibu maisha ya uyu kijana ....shimo yenye babako anaingia na yy anaingia hapo 😭😭😭😭😭
Yes Samaritan go dig this story deeper huku tunazima moto na moto SANTIZER
Si uliskia kuna MAHALI Ken alisema let them solve this before another one unfolds so there is more than this, they have hidden secrets 😢😢😢
Sama thanks for the good job. please update us on Mash and Carol. hawa ni watu wazima they can take care of their issues, please dont STOP doing the good work many blesses. Note take care of your self
I second you 100 percent
Huyu ken anatumiwa na huyu mother ndio a complish mission ya Mali weew
Huyu hajui samaritan 😂😌😌
Samaritan ujue tutakupiga na mawe ama tu reject Eastern tv usiposanitize huyu mama kisha ulete mzae huku ajue ukweli juu huyu mama anakaa as if anataka kumaliza Ken na babake kisha achukue mali yake na anaogopa huyu mama Joy because she's bright... please chimba hii story sama if you need to help them.
Hawezi,Samaritan ni mugs sana .Ingekuwa ni Stano ni kitu ingine
Let baba Ken know the kind of women he is living with oluswaaa yaya😅😅😅
😅😅😅😅
It's a taboo
I knew she was a step mum,,Lazima uyu maid aliua mamaken Dio abaki na mzae achukue vitu zote za mzae😢😢😢so babaken akuje lazima tujue ukweli wote
Mama Joy juu hajawai lala na Ken itabidi aoane na baba Ken......maoni yangu😢
A good maoni😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 N kweli juu huyu shosh anapenda Ken mama Joy above on na baba Ken😂
Abomination 🤣
But Huyu Mother in law Kama anakaa hivi naona kama ni Mali Safi kwa umbali 🥴🥴😂😂😂
😢😅😂😂
😂😂
Mama wa kambo
😂😂😂
Ni stepmom
Can't blame the guy 😂😂😂
Kama kuvaa ndio hio jamani
Omg kumbe mother-in law kaschana hivi Gz, ndio ken akaona aanguke nayo 😂😂😂😂Aki nilikuwa nadhania ni shosh ,ingali sio vizuri ,kulala na mke wa babako
😂😂😂😂😂😂
This mother in love doesn't know Samaritan well ati she doesn't want mzee ajue .even the church and mzee and the whole world will be on set 😂😂
Atajua hajui.🤣 Hapa Samaritan atalete mpaka chief na wazee wa nyumba kumi"10, huku tunazimaga moto na moto SANTIZER one by one
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Huyu Malaya anataka kuua mzae
Yeah
Red flag
Sometimes it's very hard to stay with a woman in the same house without intimate that can be the cost of all this
The problem also is our fathers marrying young ladies ending up sharing with their sons, this is not only rubbish it is wicked and evil.
Marrying young wives has been there even biblically but these days, they're results of immortality!!
It's pure selfishness and disrespectful
Sama acha mzee ajue alikua anashare bibi na kijana wake. acha kujifanya mzuri Sana
Wueh ! Kumbe step mom ni kifaa! Huyu ndio mnasema mzee kuliko Ken ?! Hakai. Well well ! Hii sasa imekua ngumu . Ara mkisolve theres a high possibility bado watakulana tu. She should have gotten married to Ken and not the mzee basi tondu wueh ! Anyway, sorry mama Joy. Esrth is hard
These old men who marry young girls the age of their sons, ....just know that those girls you will be sharing them with your sons, you can take that to the nearest bank
Wah
Aki you guys mko funny , kwani huyu baba Hana simu ya kuona kwa social media
Wueh! Yellow yellow! Nguo na rangi zote ni pesa, Ken alianguka nayo.
Sijui ni macho yangu mbovu 🥺🥺ama nyinyi munaona vile naona huyu mchawi anakaa young kuliko mama joy 🧐🧐🧐🧐🥴🥴yote tisa lazima baba ken ajuwe kwanini asijuwe ❓❓❓
Unasema young na vile ako na kinyambi, mama joy jiondoe mapema hao hawawezi achana. Then jaribu usinone zaidi hapo kwa shape Kuna challenge
@@Evans-w3e Sasa nani ako na kinyambi kubwa 🤭🤭 mama joy ama mchawi
Ni mzee nikujipondoa tu
It doesn't matter
Yes very young though mama Joy ni mwili
Nikiweka wivu kando mother inlaw looks very beautifull 😍 mali safi
.shida hapa alilala na kijana wake
But hii story tukichimbua vizuri kwa undani lets not blame this guy kwa kuona mwangu this mama alitaka mali zote za mzee akaona njia poa ya kuzinyakua behind mzee asijue njia nikutumia kijana walale naye it was not for love hii ilikua ya kufunika kijana macho ndo qsijue anything whats going on kijana aliona malove malove tu but mama naye alikua amejua mission yake ikienda successful atatupa huyu kijana
Kitambo kijana agundue mali imeenda na huyu mama ingekua too laite hangesaidia
BUT who is God ❤Mungu alisema yote yanayo fanyika kwa giza yatajulikana thats way he send an angel 😇 called Eastentv to help this family 👪
Samaritan youre God send to this family ndo haya yote yamejulikana
Mzee alikua kwa giza hangejua haya yote
Pia huyu kijana hajui vile kukienda mpaka wakajipata na step mother wakilala naye
My prayer is mama Joy to forgive her husband bcz no one is perfect we all make mistakes yetu nivile hakuna mtu amekuja kuileta on camera
Hapo kwa for give my dear😢jichukue ni ww your man amelala na mamako mzazi, heri kujitoa juu watoi wakigrow hio spirit itawasumbua pia
@@adelaidemary5514 hawa the way naona mama Joy she loves this man so Much hapa naona they will forgive each other let's watch them
Spirit ya mama ken inaona hii mambo yote..mtajua hamjui
Please update us on muzungu issues
This mother inlaws is so cute and young,no wonder🤔wanakulana coz wanatoshana
Even if !its a weddings angalau aonje kidogo
This is what in American English is called HOT MESS 😂😂😂😂
Zaitaaaannn
Kimdomo bagiiii
Tabia zenye hadi ngurue hawezi kuzikula.
Kuvaa inasema yote,, achia short dresses to warembo mamaaa
Rangi ya thao OMG mimi ntajipaka makaa sasa 😢😢😢😢😢
this mama wa KEN ako guilty kabisa...
Baba Ken inafaa ajue hii manene tunamtaka studio next episode
How am I overthinking, she is the one who killed biological mother to ken, if she was the house help she should be in a better position to explain this
My instincts say the same
@@rosemaryjoseph9414 haki
Mama Joy please tell them to come back for their dowry ..and move out..
Mama joy plzz wacha kuckiza story za Samaritan don't tell ur grandfather izo story
Hapa easemtern Tv mumetucheza nimeani hizi vitu s ukweli hii ni ungo mutupu
17:25 Sama ,enda uambie mzae after kusema hutaki ifikie mzae 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
The blood of mam ken is working....
This shameless woman killed ken's mum😢😢😢😢😢.Karma naye ni nani,maovu yake yamejulikana.Utalalaje na mtu unaita bwanako na kijana wake pia😢😢😢.No wedding na babake ken anafaa ajue hii maneno
Huyo mama, ata vile anakaa kibosho inasema yote.
Mwenye alsema wamama ni warembo kulko waschana hakudanganya
Mama Joy, love is blind... please please please run for your life. Toka kwa hi family kabisa atakuja kujuta haki
Sama mzee afaa ajue kilakitu
waaah Kikuyu ladies Will never disappoint walai mara kidney pesa Jesus Christ
Sanitize her phone maybe to yeye ndio chazo cha kifo ya huyo mama
Samaritan wooooiiiii dunia inaisha fr sure
Mama Joy if you are married by ken prepare yourself for the worst...
Huyu diye aliuwa mama period?
Aki let's be careful n.a. househelps 😢😢
Alakini ata wazee wanatuhaibisha unaona Gen zii ukitarajia nini na uko na Gen zii Kwa nyumba ah ah
Eeeh huyu mama ndiye alimroga mamake Ken
Sama you have made my night 😂😂😂
Mama Ken ako sawa labda muzae hawezi job Ken saidia baba ,
Hyu mama hta kama ni umalaya....surely mtoto yake
UYu mboch Ako na WIVU JUU mali yake inmejulikana hata anataka arusi iwe cancelled aendelee na kijana..
Eti nilisikia akisema alikuwa maombi 😮😮😮? Do they know how their mother died?
Hee na pia huyo mother ni mrembo
HARUSI ISIENDELEE. Let everybody who was to come to the wedding know the reasons for the cancellation of the same.
Sama, bring Ken's father on set please.
Next when mzee amejua
Samaritan things like this don't support people getting back together instead protect their mental health and stand on the truth.
He is after content,hakuna mwenye ashawahi saidia kurudiana pamoja
Unaona anajicompare na mama joy🤔🤔🤔
House manager looks genz type that's why Ken anaona hii size ni mzuri kwake she is young also dress code inafutia but makosa ni why Ken have sex with mother in law mama joy let your father know all this na uende jiondoe kwa hii nguri n blow the whistle 2 everybody waanike so sad.
Not mother in law but step mother.
Let someone save the innocent mzee's life
Hy mama ken ni malaya mbona afanye hivyo ht km ni step mother mbona ulale na mtt wa mzee wako?
Waaa baba na mtoto wanalima mahali pamoja 🤔🤔🤔
Pia mimi uyu mamaa naeza anguka naye😂😂😂ako tu sawa
Sama ADC code zote kwa simu ya huyu step mother
Huyu mama awatawachana wanataka kuiba kilakitu wawache mzee bila chochote 😊😊😊😊
Hawa watsoana dada ends huyu si bwana huyu mama ni mchawi
Si wabadishane tu 😂ken aoe step mum naye babake aoe nama joy
Weeeeh mama rudisha nguo kwanza shame on you hata vile unakaa mbele ya kijana unamwoyesha mahali alipitia
Wewe ni mchawi kabisa,hata eakifuatilia huyu Dio Dio aliua mama ken shindwe
Mchawi hataki harusi ifanyike😂😂😂
Aki nilijuwa ti ni Kikuyu walai 😂😂😂😂😂😂huyo mwanamke ndia aliuwa mana ken walai na qwa hiyo family ako na mission weeeee dunia kuwisha
Anakaa Vero, gaidi kweli.
Hawa wako urafiki tangu awe maid na huyu ndie ana jua kifo ya mma Ken
Ulikuwa unakuliwa na ken na baba ake😢
Hii hambgeleta hapa ,bibi arusi hiyo siku tu ndiyo ungeeda kwa babayenu
Kitawaramba mama
Mama joy uliomba bwana God fearing, kupatana na ken ukaona ni mlevi na bado ukastick nae, how can you be God fearing na we ni mlevi?
Mama joy usipoonyesha mzee hizo sms tutakudharahu sana
Sama ikiwezekana simu ya huyu mother sunitize pia kuna mambo hapo,,, mzae I think alikua afanyiwe kitu mbaya mungu akatangulia
Wangekuwa Wa Nyanza watu wangekuwa wanapiga nduru uku.....sai wako quiet 😂😂😂😂
Mama Ken Mchawi Malaya.Alimuua mama Ken mzazi 😢 Mzae naye ajiandae kupotezwa😢😢😢
Buana Samaritan......next time dont allow any peron to talk in mother tongue ...juu inaboooo
Enyewe the spirit ya mama ken deceased imerudi kuanika hii maneno.
Samaritan call the dad asikie hizi vitu coz huyu mama anakana