Hakika alikuwa mtu mwema sana ingawa kipindi Cha uongozi wao kidogo watanzania walikuwa na uzalendo na nchi Yao tofauti na Sasa ambapo mtu akipewa nafasi ya uongozi anaangalia namna ya kujinufahisha mwenyewe.
Ngurumo, uchambuzi huu ni funzo kwa kila kiongozi hasa viongozi wa sasa, basi na wachukue hili, " acha magugu na mpunga yamee pamoja wakati wa kupalilia magugu yataondoka". Asante kwa kutujuza mengi yaliyofichika.
Asante sn kwa uchambuzi mzuri sn.RAIS MWINYI ALIKUWA MNYENYEKEVU SN SN.KUNA JAMBO MOJA ALIFANYA SITASAHAU HATA MTANGULIZI WAKE ALISHINDWA. APUMZIKE KWA AMANI MZEE WETU.
Huyu Mzee kwa asili ya malezi na makuzi yake, ni MTU mpole,asiyependa kuwatweza wazuri ama wabaya. Mabaya aliyatolea ufafanuzi wa matokeo yake bila kumtaja MTU,na Mazuri vivyo hivyo. Babu hata kama yapo aliyoyafanya tofauti na hulka yake basi aliponzwa na wasaidizi wake tu! Kipaji chake ni hazina inayofaa kusimuliwa katika taifa. Hata wenye jukumu hilo wakihusudu kwa ubaya ama kwa uzuri hawana budi kuandaa historia yake kwa vizazi kama mtu mwema. R.I.P Mzee Ruksa....
We are all saddened at the loss of this good man, whose ideals and accomplishments we have long respected. He was a wise and valiant leader, dedicated to the preservation of democracy and the safety of his nation and the Free World.
Hakika Nimejifunza Sana Juu Ya Hii Clip Video Juu ya UPOLE,, UNYENYEKEVU,, KUTHAMINI KALAMA ZA WENGINE,, HEKIMA & BUSARA Ni Muhimu Sana kwa Jamii inayokuzunguka"
Hongera leo maaana umechamchabua halali kabisa marehem mzee wetu Leo umemaliza kila kitu.umemtendea hakiiiii.❤hongera sana.bwana media Leo umejitahid sana mashallah.Allah Amlaze malazi malazi mazuri Amin yarabiiii apumzike.naaaam machozi yetu yawe Nuru kwake huko janat firdous.
Siyo leo tu ndg. yangu, Andbert Ngurumo ni zawadi kwa Watanzania. Chambuzi zake zote husa ni mahiri sana na za haki. Wengine bundle zetu huwa zinaishia kwake, mfuatilie kuanzia leo utakuja kunishukuru.
Mwinyi alikuwa fyatu mzuri sana asiye na makeke kama wenzake. Hakuwa mchoyo na mnafiki bali rahim aliyependa kujishusha bila kujali vimbwanga vya ukubwa. Tukutane jumatano ijayo tutakapompa salamu za mwisho fyatu wetu shehe, alhaji, ustaadh, maalim Ali Sihaba Nzasa Hassan Mwinyi ambaye licha ya kuwa fyatu mwenzetu, alikuwa mwenzetu na rafiki yetu tofauti na wanene wengine wanaotuibia, kutunafiki na kupenda kujimwambafy na kutoa ahadi za uongo na upuuzi mwingine. Pamoja na kwamba alitunukiwa shahada za heshima, hakuwahi kujiita daktari wala doktari bali fyatu tu wa kawaida kama mafyatu wengine.
Naenderea na darasa, fafanua na Pare Alipofungua milango na dirisha vipi Mmbu walioingia ktk hewa Safi sasa Wamejaa ktk Taifa letu Wataangamia lini ? Maana wamepitiliza Badara ya Ruksa Awana 'Huruma na Wanavyorinyonya Taifa na kurikwangua bira huruma.ni Wala nguzi na Wahujumu Uchumi.nk.Waovu wa Taifa letu.
NA ALIKUA ANAPENDA WATANZANIO WOTE BILA KUPENDELEA KWAO ETI KWETU PAWE PAZURI KULIKO SEHEMU NYINGINE KAMA ILIVYO KWA BAADHI YA VIONGOZI KUPENDELEA MAKWAO BILA KUJUA KIFANYA HIVYO NI UBAGUZI EE MNYEEZI MUNGU TUNAMUOMBA UMUWEKE MAHALA PEMA PEPONI KIPENZI CHA WATU AL HASANI MWINYI AMEEN,
Kwa wazanzibari wapo 50/50 wapo wanaomuona uonavyo, na wapo waliokua wakimuona waonavyo. Msiri aliyejificha kuzuia haki za wazanzibari. Hata msikitini enzi hizo inahadithiwa mtu alisema hana uadilifu. Kama niamini vile, mbona mtoto wake tu kapata uraisi watu wameumizwa, na wengine kudaiwa kuuwa, kanyamaza kimnya mpaka kafa. Na madhila mengi yamewakumbwa wazanzibari 64, hata chaguzi zoooote. Yupo kimnyaaa. Allah mjuzi wa siri ya sirini. th-cam.com/video/TbPTZfX21Sw/w-d-xo.htmlsi=7FjO7EJtNDzr6r8G
Maskitiko lkn tunashukuru Mungu kwa maamuzi Yake..Kweli sass Tumuulize MZEE MAKAMBA...WAZURI NI WAPI NA WABAYA NI WEPI....Kauli yake haitasahaulika...kama.kauli aliyoitoa Hayati Magufuli kwa watu wa mkoa wa KAGERA....TAFAKARI...TUWE NA AKIBA YA MANENO..
Maelezo yako ni mazuri sana,, na hapa ndio najiuliza kwa nini Samia anapotaka ushauri kwa kikwete watu wengi hutoa kejeli ? Mioyo yetu ina udhaifu ambao hutanguliza ulakini usiofaa
MZEE MWINYI HAKUWA MLA RUSHWA NA FISADI.....BAADHI YA MAWAZIRI NA WATEULE WAKE NA NDANI YA CCM YAKE WALIKUWA WALA RUSHWA NA MAFISADI WAKUBWA WALIOSHIRIKIANA NA WAFANYABIASHARA ' KUILA' NCHI YETU.
Nikweri wewe ni muandishi Alie elimika unaitumia Kalam ya taifa kuwa Bora kwani kwa Sasa atuna waandishi tumebakiza ndio mzee na machawa wapambe vichwa I ni patupu wamebaki wewe ulimwengu Tegamb wage na wengine wachache kuliko ombwe la waandishi na watangazaji
Mbona hakuna kuokoka, Hata wanafunzi wa Yesu waliposikia habari za kuokoa hakuna walishaa mno, na wakamuuliza Yesu, Ni nani awezaye kuokoa? .........Yesu alikaza macho kuonesha msisitizo na kusema Kwa mwanadamu hilo haliwezekani, Ila kwa Mungu. ##Kwa hivyo ufanye mema tu, na kusubiri tu siku ifike ujijue wapi utawekwa, Paradiso ama kuzimu.
Powerful speech, mkosoaji wa kweli hupongeza pia, fundi wa kweli ni mbomoaji pia, adante kwa kazi njema
Moja ya Makala bora Kabisa kwa Mwaka 2024.
Hongera sana. Wewe ni mkweli. Umemchambua vizuri Mheshimiwa marehemu Ally Hassan Mwinyi
Ndg yangu Ngurumo I admire you so much nami ningekuwa na kipaji cha kuweza kufanya uchambuzi ktk Hali kama hiyo. You deserve a pat on the back❤ ❤
Thanks!
Hongera SK Media kwa uchambuzi mzuri wa mheshimiwa mzee Ally H. Mwinyi, alijaliwa hekima kama ya Suleiman kwenye Bibilia.
Hongera Sana. Umemchambua vizuri Sana.
Hakika alikuwa mtu mwema sana ingawa kipindi Cha uongozi wao kidogo watanzania walikuwa na uzalendo na nchi Yao tofauti na Sasa ambapo mtu akipewa nafasi ya uongozi anaangalia namna ya kujinufahisha mwenyewe.
Mi namshukru sana mwenyeenzi Mungu alitupa rais mwema sana mpole na mnyenyekevu,pumzika kwa amani mzee wetu,siku ya kufufuliwa uwe wa kwanza peponi
Kweli umemjua vizuri marehemu rais wetu mstaafu mwinyi apumzike kwa amani hana baya na mtu.
Ngurumo, uchambuzi huu ni funzo kwa kila kiongozi hasa viongozi wa sasa, basi na wachukue hili, " acha magugu na mpunga yamee pamoja wakati wa kupalilia magugu yataondoka". Asante kwa kutujuza mengi yaliyofichika.
Asante sn kwa uchambuzi mzuri sn.RAIS MWINYI ALIKUWA MNYENYEKEVU SN SN.KUNA JAMBO MOJA ALIFANYA SITASAHAU HATA MTANGULIZI WAKE ALISHINDWA. APUMZIKE KWA AMANI MZEE WETU.
Huyu Mzee kwa asili ya malezi na makuzi yake, ni MTU mpole,asiyependa kuwatweza wazuri ama wabaya. Mabaya aliyatolea ufafanuzi wa matokeo yake bila kumtaja MTU,na Mazuri vivyo hivyo. Babu hata kama yapo aliyoyafanya tofauti na hulka yake basi aliponzwa na wasaidizi wake tu! Kipaji chake ni hazina inayofaa kusimuliwa katika taifa. Hata wenye jukumu hilo wakihusudu kwa ubaya ama kwa uzuri hawana budi kuandaa historia yake kwa vizazi kama mtu mwema. R.I.P Mzee Ruksa....
We are all saddened at the loss of this good man, whose ideals and accomplishments we have long respected. He was a wise and valiant leader, dedicated to the preservation of democracy and the safety of his nation and the Free World.
Hakika Nimejifunza Sana Juu Ya Hii Clip Video Juu ya UPOLE,, UNYENYEKEVU,, KUTHAMINI KALAMA ZA WENGINE,, HEKIMA & BUSARA Ni Muhimu Sana kwa Jamii inayokuzunguka"
Asante kwa uchambuzi mzuri.
Asante Sana umechambuwa vizuri Sana. Haki wewe ni madishi wa habari uliye elimika, na sio kama wandishi walio fundishwa uandishi: bila kuelimika.
Hongera leo maaana umechamchabua halali kabisa marehem mzee wetu Leo umemaliza kila kitu.umemtendea hakiiiii.❤hongera sana.bwana media Leo umejitahid sana mashallah.Allah Amlaze malazi malazi mazuri Amin yarabiiii apumzike.naaaam machozi yetu yawe Nuru kwake huko janat firdous.
By by
Siyo leo tu ndg. yangu, Andbert Ngurumo ni zawadi kwa Watanzania. Chambuzi zake zote husa ni mahiri sana na za haki. Wengine bundle zetu huwa zinaishia kwake, mfuatilie kuanzia leo utakuja kunishukuru.
Mwinyi alikuwa fyatu mzuri sana asiye na makeke kama wenzake. Hakuwa mchoyo na mnafiki bali rahim aliyependa kujishusha bila kujali vimbwanga vya ukubwa. Tukutane jumatano ijayo tutakapompa salamu za mwisho fyatu wetu shehe, alhaji, ustaadh, maalim Ali Sihaba Nzasa Hassan Mwinyi ambaye licha ya kuwa fyatu mwenzetu, alikuwa mwenzetu na rafiki yetu tofauti na wanene wengine wanaotuibia, kutunafiki na kupenda kujimwambafy na kutoa ahadi za uongo na upuuzi mwingine. Pamoja na kwamba alitunukiwa shahada za heshima, hakuwahi kujiita daktari wala doktari bali fyatu tu wa kawaida kama mafyatu wengine.
University of leadership... ❤
Nakupenda mgurumo uko vizuri
RIP mzee Mwinyi. Mtu muungwana asiye na makuu wala majivuno
Mi napendaga hiyo background music 👏
Baba wa taifa,,, nyerere safi sana,, ndiyo alie muongaza marehemu rip
Huwa napenda kukusikiliza uko vizuri
Hogera kaka uko sawa
Tangu nisikie makala za Asbert Ngurumo, hii ni makala bora kuliko zote.
Apumzike kwa amani mzee wetu Ally Hassan Mwinyi
Naenderea na darasa, fafanua na Pare Alipofungua milango na dirisha vipi Mmbu walioingia ktk hewa Safi sasa Wamejaa ktk Taifa letu Wataangamia lini ? Maana wamepitiliza Badara ya Ruksa Awana 'Huruma na Wanavyorinyonya Taifa na kurikwangua bira huruma.ni Wala nguzi na Wahujumu Uchumi.nk.Waovu wa Taifa letu.
😄 🤣
Ongeraa sana ndugu mi nirafk yako nakufatilia
NA ALIKUA ANAPENDA WATANZANIO WOTE BILA KUPENDELEA KWAO ETI KWETU PAWE PAZURI KULIKO SEHEMU NYINGINE KAMA ILIVYO KWA BAADHI YA VIONGOZI KUPENDELEA MAKWAO BILA KUJUA KIFANYA HIVYO NI UBAGUZI EE MNYEEZI MUNGU TUNAMUOMBA UMUWEKE MAHALA PEMA PEPONI KIPENZI CHA WATU AL HASANI MWINYI AMEEN,
Na Bado wachache tunataka katiba mpya!
Wewe mtu ungekuwa mshauri wa rais mimi ni ngesherekea.
Aameen
Tumekuelewa makala mnzuli
RIP Baba yetu.🙏
Alikuwa na khofu ya Mungu muumba na leo atalipwa mema yake tulio baki tujifunze.Ina lillah wa ina ilayrajiun
Kwa wazanzibari wapo 50/50 wapo wanaomuona uonavyo, na wapo waliokua wakimuona waonavyo. Msiri aliyejificha kuzuia haki za wazanzibari. Hata msikitini enzi hizo inahadithiwa mtu alisema hana uadilifu. Kama niamini vile, mbona mtoto wake tu kapata uraisi watu wameumizwa, na wengine kudaiwa kuuwa, kanyamaza kimnya mpaka kafa. Na madhila mengi yamewakumbwa wazanzibari 64, hata chaguzi zoooote. Yupo kimnyaaa. Allah mjuzi wa siri ya sirini.
th-cam.com/video/TbPTZfX21Sw/w-d-xo.htmlsi=7FjO7EJtNDzr6r8G
Uchambuzi mzuri sana
Sawa
Kiswahili ni RUKHSA
Hakika huyu alikuwa ni chaguo la Mungu na Mungu ailaze mahala pema peponi
Maskitiko lkn tunashukuru Mungu kwa maamuzi Yake..Kweli sass Tumuulize MZEE MAKAMBA...WAZURI NI WAPI NA WABAYA NI WEPI....Kauli yake haitasahaulika...kama.kauli aliyoitoa Hayati Magufuli kwa watu wa mkoa wa KAGERA....TAFAKARI...TUWE NA AKIBA YA MANENO..
Safi kiongozi wetu ❤❤
MUNGU amlaze maali pema mbinguni
Tunamtakia Kila la Heri huko aendako Muasisi wa demokrasia.
❤
Maelezo yako ni mazuri sana,, na hapa ndio najiuliza kwa nini Samia anapotaka ushauri kwa kikwete watu wengi hutoa kejeli ? Mioyo yetu ina udhaifu ambao hutanguliza ulakini usiofaa
Msiba ni mkubwa kwa kweli
Good
apumzike kwa Amani
👍🏾
MZEE MWINYI HAKUWA MLA RUSHWA NA FISADI.....BAADHI YA MAWAZIRI NA WATEULE WAKE NA NDANI YA CCM YAKE WALIKUWA WALA RUSHWA NA MAFISADI WAKUBWA WALIOSHIRIKIANA NA WAFANYABIASHARA ' KUILA' NCHI YETU.
❤asante
👊✌️🙏.
Kaka shikamoo
APUMZIKE KWA AMANI MZEE WETU
Amina❤
RIP😭
Mbona soundtrack haisikiki
Next time!
Nikweri wewe ni muandishi Alie elimika unaitumia Kalam ya taifa kuwa Bora kwani kwa Sasa atuna waandishi tumebakiza ndio mzee na machawa wapambe vichwa I ni patupu wamebaki wewe ulimwengu Tegamb wage na wengine wachache kuliko ombwe la waandishi na watangazaji
Innalillah wainaillah rajoon
Dead men don't count especially kama wamekufa hawajaokoka 🙆
Mawazo yetu si ya Mungu. Chunga roho yako.
Mbona hakuna kuokoka, Hata wanafunzi wa Yesu waliposikia habari za kuokoa hakuna walishaa mno, na wakamuuliza Yesu, Ni nani awezaye kuokoa? .........Yesu alikaza macho kuonesha msisitizo na kusema Kwa mwanadamu hilo haliwezekani, Ila kwa Mungu.
##Kwa hivyo ufanye mema tu, na kusubiri tu siku ifike ujijue wapi utawekwa, Paradiso ama kuzimu.
Sasa kwa nn wanaenda kumzika znz na sio mkuranga walipozikwa wazazi wake
Mhh!
Mimi ninalia tu
Mzee waruksa
Saf
Mtu wa hishma na adabu
Kweli malezi ya kizanzibari
Leo Makonda na Pole Pole wawe Raisi bala na UJEURI WAO
HASA HUYU MAKONDA WAKTI WOTE MKALI NA MJEURI
Nchi yenyewe leo inatutaji watu wajeuri katika kundi kubwa la wezi na manyanyaso yakupitiliza
Nakupenda mgurumo uko vizuri