Hapo Professor J yuko sahihi kaongea point sana,majani hakuelewa kilichoandikwa amekurupuka na kutoa povu. COSOTA warekebishe kauli Yao ndio jambo analotaka Haule 😍😍🔥
Naona wengi mnazungumzia pesa wakati prof J anataka maandishi yakae sawa,yy hataki pesa,anachotaka ni jina la P Funk liandikwe kwenye aliyelipwa pesa na si Prof J. Anataka hilo tu maana kama kesho watataka kodi bas adaiwe Majani na si Prof J.
Professor Jay hapo anakosa gani sasa huyo p funk kweli bangi mbaya ukikuta jitu zima linatumia vitu kama hivi kwa muda mbaya sana, p funk njaa inamsumbua
Wengi wanaocomment hawaelewi nini wanakicomment wala hawajui mmiliki wa mdundo ni nani,ushabiki na ukurupukaji umekuwa mwingi na hawa waandishi nao hawajielewi
Usaili ni kwa kiswahili au kiingereza????? Mnatia kichefu chefu.... Ongeeni basi lugha moja tuelewe mnaboa ushamba mwingi sana unyamwezi wa kulazimisha umeishi kimara maisha yako yote kwanini unalazimisha unyamwezi???
kwa mwanasiasa kama profesaj ikionekana kalipwa pesa halafu hajalipa kodi ya serekali ,inaweza kumuhatarishia ubunge wake kwahiyo profesa ana haki kudai kosota waweke sawa hiyo kitu.p funk aache kupanick
Mbn hapo cjaona tatizo,prof kaongea vzr tu nadhani wasomi watakuwa wamemuelewa zaidi prof mana hapo wamemchafua na anachokitaka ni kusafishwa tu wala hataki hizo hela maana hela yeye tayar anazo,,,haf we P punguza hiyo mijani yako inakupoteza
Ila hivi vitu vinashangaza sana sasa kama mtu kakutengenezea beat halafu ukamlipa ile beat aliyokutengenezea inakuwaje bado ni mali yake tena labda mseme ni mali ya wawili producer na mwnamuziki angalau sasa hapo ndio unakutana na akina konk master ambao hawapendi kudhulumiwa mnashindwa kuelewana matokeo yake unamwita mtu mkorofi ninacho kiona mimi katika hii industry ya music kuna watu wanajitajirisha kupitia wasanii kirahisi sana ushauri wangu kwa wasanii jitengenezeeni chombo chenu cha kuwalindia haki zenu muwe na kauli moja yenye nguvu
Inaonyesha hawa wasanii hawapo makini katika mikataba ya kazi zao. Wasanii wa bongo majina makubwa lakini hawana kitu, wajipange kibiashara wasiishie kuwatajirisha matapeli tu!
Je ukinunua gar..gar linakua la kampuni au la alie nunua..p funk kakoesea maana bit sio mali yake tena coz alishauza kwa profesa ni makosa sheria huzingatiwa
kwa zamani mwanamuziki anapomlipa producer laki tatu inamaana ndo wameshamalizana beat ni mali ya msanii sio ya producer tena ila ila kama msanii yuko under record lable beat ni mali ya producer sasa profesa hakuwa under bongo record kama walivyo wakina Juma nature na ngwair alikua anajisimamia mwenyewe na ndio maana alikua ana pay cash kwa kila wimbo 'kwahiyo majani kakosea zile hela angalau wangeenda pasu kwa pasu
Ali Mohammed unavuta bangi ya kutoka wapi profesa kasema cosota walekebishe kauli yao wamtaje alie kula pesa na sio samaki ale mwengine shombo apakwe mwengine
Hapo Professor J yuko sahihi kaongea point sana,majani hakuelewa kilichoandikwa amekurupuka na kutoa povu. COSOTA warekebishe kauli Yao ndio jambo analotaka Haule 😍😍🔥
Naona wengi mnazungumzia pesa wakati prof J anataka maandishi yakae sawa,yy hataki pesa,anachotaka ni jina la P Funk liandikwe kwenye aliyelipwa pesa na si Prof J. Anataka hilo tu maana kama kesho watataka kodi bas adaiwe Majani na si Prof J.
Kama nimemwelewa vizuri prof jay very simple anataka COSOTA warekebishe tu kumbu kumbu zao
story za huku bwn noma kweri nimezipenda kubali pro jay search polo the boy now enjoy music love all
Professor Jay hapo anakosa gani sasa huyo p funk kweli bangi mbaya ukikuta jitu zima linatumia vitu kama hivi kwa muda mbaya sana, p funk njaa inamsumbua
P Funk brother,wew ni zaidi ya kaka kwangu.....for this issue aaaaah hapa umefeli....
Kama hujamuelewa mtangazaji kama Hana Maswali Gonga Like
Bangi mbaya sana sasa prof j amekosa nini hapo?ameeleza ukweli namna ilivo kua shida nini?
Prof jize respect broo uko sawaaaa
profrsa yuko sawa
Hapo kila mmoja yuko sahihi kwa sbb Prof anataka tu kuwaweka wazi Cosota wakati P funk, aliyelipwa pesa ndiye mmiliki wa Beat na halali yake kulipwa
Wengi wanaocomment hawaelewi nini wanakicomment wala hawajui mmiliki wa mdundo ni nani,ushabiki na ukurupukaji umekuwa mwingi na hawa waandishi nao hawajielewi
P funk punguza bangi
P funk ndo kitu gani icho bange mbaya Sana
Usaili ni kwa kiswahili au kiingereza?????
Mnatia kichefu chefu....
Ongeeni basi lugha moja tuelewe mnaboa ushamba mwingi sana unyamwezi wa kulazimisha umeishi kimara maisha yako yote kwanini unalazimisha unyamwezi???
kwa mwanasiasa kama profesaj ikionekana kalipwa pesa halafu hajalipa kodi ya serekali ,inaweza kumuhatarishia ubunge wake kwahiyo profesa ana haki kudai kosota waweke sawa hiyo kitu.p funk aache kupanick
kweli kabisa, kama alivyosema Jay, Majani ana panic, akomwombe radhi Jay kwa utumbo aliombwabwajia
Afu nyie waandishi ludin shule mkasome,,cosota haja mlipa p ,cosota wamesimamia malipo ASA sijui we unaongea non
Afu p funk hajielewi na yy
Mbn hapo cjaona tatizo,prof kaongea vzr tu nadhani wasomi watakuwa wamemuelewa zaidi prof mana hapo wamemchafua na anachokitaka ni kusafishwa tu wala hataki hizo hela maana hela yeye tayar anazo,,,haf we P punguza hiyo mijani yako inakupoteza
sasa apewe p funk atajwe professor j hivi hawa kosota wanaelewa wanachokifanya
Ila hivi vitu vinashangaza sana sasa kama mtu kakutengenezea beat halafu ukamlipa ile beat aliyokutengenezea inakuwaje bado ni mali yake tena labda mseme ni mali ya wawili producer na mwnamuziki angalau sasa hapo ndio unakutana na akina konk master ambao hawapendi kudhulumiwa mnashindwa kuelewana matokeo yake unamwita mtu mkorofi ninacho kiona mimi katika hii industry ya music kuna watu wanajitajirisha kupitia wasanii kirahisi sana ushauri wangu kwa wasanii jitengenezeeni chombo chenu cha kuwalindia haki zenu muwe na kauli moja yenye nguvu
Huwezi kununua beat elfu 80 hizo zilikuwa lease tu
Beat uwa nimali ya producer daima milele bwana jemes silwamba
Msanii awez kulipia beat ila analipia pesa ya Studio na mda Wa waproducer haki ya beat ni pesa ndefu sana nandomana kuna kuana na makubaliano
Tatizo ni lugha, majani kiswahili kimemchenga, anajifanyaga anajua, cosota na majani acheni ujanja
Majani ana kisasi chake kwa muda mrefu sana na sasa amepata pa kutokea
Inaonyesha hawa wasanii hawapo makini katika mikataba ya kazi zao.
Wasanii wa bongo majina makubwa lakini hawana kitu, wajipange kibiashara wasiishie kuwatajirisha matapeli tu!
P funk amekurupuka
oscala Elias
Tumekusoma proffesa
Je ukinunua gar..gar linakua la kampuni au la alie nunua..p funk kakoesea maana bit sio mali yake tena coz alishauza kwa profesa ni makosa sheria huzingatiwa
TUGALEGALE BOXING GYM kweli
Beat ni mali ya studio yani ule mdundo.
Haki ya p funk iyo ndio maana ya produser
Wasanii wanatumiwa kisiasa!! Uchaguzi huooooooooo!
P ulilipwa mi shahid
Tatizo wasanii na maproducer Wa zamani mlikua mnafanya kazi kishkaji, haileweki hasa kazi ni ya nani kati ya producer na msanii
kwa zamani mwanamuziki anapomlipa producer laki tatu inamaana ndo wameshamalizana beat ni mali ya msanii sio ya producer tena ila ila kama msanii yuko under record lable beat ni mali ya producer sasa profesa hakuwa under bongo record kama walivyo wakina Juma nature na ngwair alikua anajisimamia mwenyewe na ndio maana alikua ana pay cash kwa kila wimbo 'kwahiyo majani kakosea zile hela angalau wangeenda pasu kwa pasu
Wakati majani akapigana na hao Waganda mheshimiwa mbunge ulikuwa kimya
🐩
Ali mohammed umemsikia profesa alichokiongea au
Ali Mohammed unavuta bangi ya kutoka wapi profesa kasema cosota walekebishe kauli yao wamtaje alie kula pesa na sio samaki ale mwengine shombo apakwe mwengine
@@jackbeko7556 kweli
itakuwa hujaelewa kinachoendelea, ni vema ukaelewa kwanza ndo utie neno
@UCx4st-fe0baNi_9WiHgBvGA/Subscribe yako muhimu na MUNGU akubariki mno
Pfunk uko sawa bro
Pumbav. Pfunk miunga inamponza
Huyu p aache kuvuta mibangi Sasa mpaka paula apewe mimba ndio ajijue Ni baby?
Ok,,,
Majan mshamba asa nanapanik nn... Hahahahaha
Jay wametulinga
Tatzo likowap