Jinsi ya kufunga STAR DELTA CONTROL WIRING AUTOMATICALLY
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
- star delta automatically control inahitaji contactor tatu,overload moja ,timer relay ,stop push button na start push button
#electronics #domestic #electric #industrial #threephasemotor #timer relay #contactors #wiringdiagram
Nikuelewa sana brooo lakini ungejalibu kuelezeya tena kwa kutumiya na mcholo kama ulivyo fanya kwenye forward and revese
wacha nitoe2 comment Teacher we nikiboko zaid wa yule wa majini Yaan nmekuelewa hatal 🙏🙏👏👏
Thank you so much i learn alot from you 👍
Bless youuu
Kaka vizuri sana but waya nidogo zakutonyesha wayaring yako bro
Sawa kaka nmekuelewa video zijazo nitarekebisha hilo
jinsi ya kufunga manual
Nitapost week ijayo
teacher nimekuelewa sanaa ila nikama nime kalilii cijaelewa ni kwa nini tunaungaa hizo waya katika hizo points
Okay nakuja na video nyingine ntaelezea kila waya na kazi yake
Nazidi kukupongeza sana
Asnte teacher wangu kwa somo lako barikiwa san
Pamoja kaka tuendelee kushare material mbali mbali Ili tuweze kitatua changamoto mbali mbali