Mungu wetu…… sisi tunaamini wewe ni mkuu kuliko janga hili. Basi Mungu tunakuomba ufanye kwa Ukubwa wako ili ndugu zetu hawa watoke salama. Kama sio kwa ajili yetu basi Mungu naomba ufanye kwa ajili ya Utukufu wako. #PrayforKariakoo
Kinachoniuma ni kwamba mimi nmelala pazuri nmeamka salama nmekula nmeoga nnavuta hewa safi lakin kuna wengine huko chini wamekosa haya yote nnayo yafanya mimi eeeh mungu waangalie watu wako😢😢🙏🙏
Yaani huyu ndo kanifanya sasa Nile chakula cha mchana manake nilitamani kusikia tu kwamba mmetoboa mashimo ili wapate hewa na Maji yaani hapo Asante Mungu wetu asante wote wanaopambana tangu Jana Mungu awape nguvu watolewe wote
@Abuu_muhammad ni a scheduled upload, ni customizable! Ni mtu ame enable hio kitu! Inatakiwa mtu akipata notification akute video already! Hasahasa kama ni breaking news! Breaking news hauwezi eka premiere count down!.... labda iwe ni series kwamba watu wako curious na next epsode, unawawekea hio, sawasawa na ads before tamthilia
Kwani mbona serikali ye2 ipo hivi lakin hv ghorofa hlo moja 2 wanashindwa kumaliza kwa sku moja wameshi dwa kuchkuwa hata gari 5 za wanajeshi wakawamwaga hapo na kutoa hvo vifusi mbona hii nchi ye2 hv lkn wat wapo wengi humo ndan wapo weng lkn watu hawafkilii tutajikuta tunapoteza watu wengi sana kwa upuuzi kwann tanzania lakin😭😭
@mohamedisimai acha habari za kisenge wewe mimi sijasema kwenda under ground af mimi sijakulia mtaan wewe unajuw unaongea na m2 wa aina gan nilicho maanish wapeleke jeshi la wokovu na wapeleke maloli waanze kupanguwa hay matofali na wala sijaizungumzia vibaya setikali una daught nn apa
@@HassaniIbrahimu-c5i skia hata mm hunijui wewe kama unahisi watu hawaajibiki nenda wewe ukaokoe sio unakaa na ki Nokia chako na kuanza kulaumu fala ww
@mohamedisimai hv unaelew unachoongea au unaongea usenge apa wat wanazid kupoteza ndugu zao wanasema wanawapelekea maji na grukos inasaidia nn hyo njia wanay pitish hay maji na grokos kwann isifuatwe kuwatoa emu fkilia fara ww
Ivi wasani wa muziki na filamu wana shindwa kwenda toa misaada kama maji na mahitaji mengine au ndo washa zoea wakiwa na matatiszo yao tu ndo wana kumbuka kuna watanzania
Unasema utahakikisha munawatoa ni wazima ww unauhakika gani ww mwenye Huna uhakika wa uhai wako unaongea umemsahau Yule alietuumba huko ni kujitoa fahamu
Mungu wetu…… sisi tunaamini wewe ni mkuu kuliko janga hili. Basi Mungu tunakuomba ufanye kwa Ukubwa wako ili ndugu zetu hawa watoke salama. Kama sio kwa ajili yetu basi Mungu naomba ufanye kwa ajili ya Utukufu wako.
#PrayforKariakoo
Mungu nimwema watatoka salama tuzidi kumwamini nakuwaombea
Poleni sana ndugu zangu aminini MUNGU atawapigania
Mungu Tunamshukuru kwakuwatunza ndugu zetu uhai wao...Asante sana Mungu
Kinachoniuma ni kwamba mimi nmelala pazuri nmeamka salama nmekula nmeoga nnavuta hewa safi lakin kuna wengine huko chini wamekosa haya yote nnayo yafanya mimi eeeh mungu waangalie watu wako😢😢🙏🙏
Poleni sana wapendwa mwenyez mungu atawasaidia
Mungu naomba watoke salaman
Mungu wetu utusaidie maana ni wewe tu unayeweza katika hili na ututendee wema wako katika hili
أعانهم الله بعونه ، يارب احم عبادك هؤلاء
Mola Aendelee kuwapigania waja wake,InSha Allah! Tuko pamoja nanyi katika Dua.
Mungu hushindwi n chochote waokoe waliofukiwa kn kifusi Cha gorofa wape tahafifu Lina uhai wako ,umetakasika ewe allh
Mungu wasaidie 😢
Mungu uishie milele waponye waja wako watoke salama
Yaani huyu ndo kanifanya sasa Nile chakula cha mchana manake nilitamani kusikia tu kwamba mmetoboa mashimo ili wapate hewa na Maji yaani hapo Asante Mungu wetu asante wote wanaopambana tangu Jana Mungu awape nguvu watolewe wote
Muda unazidi kwenda jaman...muda ni muhim sana katika uokoaji.. kukosa hewa na njaa vinaendana na muda
Mungu sikia maombi yetu, pia watiee nguvu,
Mungu wapembinu majeshi yetu waweze kuokowa watanzania wenzetu
Yarabi waokoe wajawako🤲
poleni sana ndugu zangu
Pôle sana😢
Nchi yetu haina zana zauokoaji kabisa maanadaah toka jana mungu awape wepesi wale wote ambao hawajatolewa hadi saivi watoke wakiwa salamaa🙏🙏🙏🙏
Chunga mdomo wako ndugu.
😂😂😂😂😂
@@yusufismail3116hawa jamaa huwaga wnaona so simpo kila kitu kazi kulaumu tu
Mungu endelea kuwapulizia pumzi ya uhai watoto wako waweze kutoka salama Asante Yesu.
MUNGU haujawahi shindwa Baba fanya kwa utukufu wako na ukubwa wako haya ni maombi yetu watanzania, tunaomba MUNGU Baba
Msitudanganye kuna vifaa gani?
Asante kw taalifa nzr ndguu
Allah awafanyie uwepesi watoke wakiwa salama Aameen🤲🤲
Amiiiiin
Mkubwa mungu atawasaidia wajitahidi mpaka mwisho
Kupeleka maji,oxygen na glucose mumeweza lakini kuwatoa mumeshindwa? It doesn't make sense
Kutoboa na kuvunja ukuta ili watoke ndani au ili wapewe glucose,, tuwe siliasi bas jamani 😭😭,,
Ila mungu kwanini lisingedondoka Sasa sita usiku watu wakiwa hawapo
Kwani hakuna diga za kutoboa ukuta aisee
Rwport ya faraja
Mungu simama mwenyewe utetnde
Mungu awasaidie
Hivi kwanini mna zi premier videos zenu?? Mtu unapata notifications, unataka uangalie vid, unakuta iko na count down ya 2 minutes!
Kuna tatizo hapo?, video huwa ndio kwanza inapakiwa
@Abuu_muhammad ni a scheduled upload, ni customizable! Ni mtu ame enable hio kitu! Inatakiwa mtu akipata notification akute video already! Hasahasa kama ni breaking news! Breaking news hauwezi eka premiere count down!.... labda iwe ni series kwamba watu wako curious na next epsode, unawawekea hio, sawasawa na ads before tamthilia
Hauwezi weka ads before breaking news😁😁 itakua ni mambo ya ajabu
POLENI SANA MUNGU NI MWEMA WATATOKA SALAMA. TUISHI TUKIMTUMAINI MUNGU.
Wawaingizie na power bank ili mawasiliano yasikatike
Mungu t azidi kufanya miujizaa
MM akuwezeshepamoja,n timu na kila alioshiriki MM awape nguvu
Mbona kama hayo majengo yamechoka jaman??Pia majengo ya ghorofa yakaguliwe jaman.
Tunaomba tarifa kamili za hapo kariakoo 😢 Hali ilivyo sas
Mwenye nyumba aliefanya uzembe huu yuko wapi?
Mungu awaponye jamani waja wako
Kwani mbona serikali ye2 ipo hivi lakin hv ghorofa hlo moja 2 wanashindwa kumaliza kwa sku moja wameshi dwa kuchkuwa hata gari 5 za wanajeshi wakawamwaga hapo na kutoa hvo vifusi mbona hii nchi ye2 hv lkn wat wapo wengi humo ndan wapo weng lkn watu hawafkilii tutajikuta tunapoteza watu wengi sana kwa upuuzi kwann tanzania lakin😭😭
Mwanamme aliekulia mitaani hawezi ongea hivi kama rahisi nenda wewe ivi unakujua underground lakini kaka au ndo tanzania kuongea jadi yenu
@mohamedisimai acha habari za kisenge wewe mimi sijasema kwenda under ground af mimi sijakulia mtaan wewe unajuw unaongea na m2 wa aina gan nilicho maanish wapeleke jeshi la wokovu na wapeleke maloli waanze kupanguwa hay matofali na wala sijaizungumzia vibaya setikali una daught nn apa
@@HassaniIbrahimu-c5i skia hata mm hunijui wewe kama unahisi watu hawaajibiki nenda wewe ukaokoe sio unakaa na ki Nokia chako na kuanza kulaumu fala ww
@mohamedisimai hv unaelew unachoongea au unaongea usenge apa wat wanazid kupoteza ndugu zao wanasema wanawapelekea maji na grukos inasaidia nn hyo njia wanay pitish hay maji na grokos kwann isifuatwe kuwatoa emu fkilia fara ww
Kama.serikal imeshindwa iombe msaada ya waokoaj si dhsmb
Allah awasimamie watoke wazima na awatie nguvu waloondokewa na wapendwa wao
MIAKA 63 ya uhuru hatuna nyenzo za uokoaji
Tanzania 🇹🇿 ehh
Mnawezaje kupata usingizi kwa watu waliopo chini kwel
Mnazidi kusema watu wako chini jaman mbona uokoaji uposloww sana ongezen gleda ,wale ni watu ,hata kama mtu ni mzima unajikuta unakufa bila kutarajia
Selikali ya Tanzânia iko vizuri sana ingekuwa Mozambique wangekuwa wameokolewa 4 na kufariki 70
We unayasema hayo ukiwa wapi mkuu
@RoseMichael-oz7cy Mozambique🇲🇿
Dah😭😭😭😭
Wamepataje maji pasipo kutoka Jamani?
Ajali mbaya
Mungu wasaidie waja wako 😢
😭😭😭😭😭 Daaah
Kaxi n
Nzuri jeshi letu p
Mchoro wa jengo ungeweza kusaidia plani nzuri za uwokoaji zaidi kuliko kuwauliza waanga wako wapi ...japo inawezekana hupo mnautumia
Yan kungrkuwa na tekinologia ya mionzi inayoweza kuelezea jengo lilivyo inawezekana ingekuwa jambo zuri Sana
Ivi wasani wa muziki na filamu wana shindwa kwenda toa misaada kama maji na mahitaji mengine au ndo washa zoea wakiwa na matatiszo yao tu ndo wana kumbuka kuna watanzania
Bora amewapatia maji oksijen na glucose❤
Watoke wakiwa hai maana wewe ni kudus nburhanu ,yakabiru,yauuninu ,alkahar hushindwi maana umeumba vyooote navinakusujudia wew
Oxygen muhimu
Unasema utahakikisha munawatoa ni wazima ww unauhakika gani ww mwenye Huna uhakika wa uhai wako unaongea umemsahau Yule alietuumba huko ni kujitoa fahamu
Kwank huyu aliewapelekeaa hizo huduma wenyewe wamefikaje?.au vimefikaje...mbona nachanganyikiwa
Sisi tuko site Kuna search and rescue procedures
Wamesema walitoboaa...
MUNGU FANYA NJIA
MUNGU tusaidie tupe nguvu,peke yetu hatuwez