ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
PATANISHO : GIDI MIMI NIMESHINDWA KUOA KABISAAA, SIJUI NI KAMA ALIHAMA NA ROHO YANGU -JOSEPH
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 ก.พ. 2024
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghostasubuhi #storyzaghost
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220
As long as you’re breathing there is hope for salvation let’s Repent tomorrow is never promised.🙏🏾
Whoever said don't date under 25...was ryt😅😅,utoto tu
Gidy na radio Kwa jumla,uwe ukipeana zawsdi Kwa hawa ndugu zetu WA bungoma juu ndio wenye upatanishwa sana Kwa hii radio, mwezi huwezi ishia bila wanyonyi ,wafula,wanyama wepukulu weeé,wamefunga sanaongera kwao
😂😂😂😂😂
Hapo kwa Gidi byeee , noma sana, anyway LANGU JICHO
Simp seeing dust on a rainy day.
Young man at 22 focus more on your purpose, what are you doing with someone's baby mama and also older than you, you'll be more valuable later when you get older, hizi ni nyege tu zinakusumbua. Focus on building your frame
Majina brayo ujinga tupu kua single angalao tunakungoja
mimi huwezi uza simu yangu yenye nimenunua na doo zangu inaweza kua vita kama ya Ukraine kwa hiyo nyumba
It means you can't get married
hio ndo inaitwa kushauriwa na mwendawazimu
Ghost ako smart.
Hahaha marriage huku nje noma 😂
😂😂😂😂😂
Hii imeenda
Watoto wanafanya nini hapa surely. Their conversation is just too babish. Sitaki, nataka, ah, jamani.😅
Ture love 💕💕💕😂😂😂
Waaah😂😂😂😂😂 hi nayo ni noma😂
Waluhya na nilikua nmesamula.........mm pia nlikua na boyfriend ati akinioa anauza simu nlimlisha block nlifikiria nateseka Saudia heri mapenzi ikae😂😂
sasa hivi yupo kwa huyo alokuwa akiongea naye ndiko aliko usisumbuke
Ni kama alihama na roho yangu🤣🤣🤣🤣 not serious
Jamaa n mshamba watu wakae bila simu wasichana watazidi kumtoroka
Aah hawa ni watoto tu😂😂😂
Gidi Byeee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂am still stuck there
Dogo uliwahi kuoa kama uliwaza akina Fannie watakwisha, kwa taarifa yako hao hawaishagi.
Hii imeenda😅😅😅😅
😅😅.c uchange hii kicheko daah
😂😂😂Byee Muleei... Msupa ameomoka😅😅
Wewe dada wacha mdomo,nani alikuambiaa uonyeshe watoto nanii yako??soma upate mwanaume mkubwa xaidi yako uwexe kudeka.Huyu ni mdogo kwako huwexi deka.
hee maskini keshaachwaa hapo duh
Haha hatari
Huyu ashafika nairobi kws mataa humpati tena kijana
giddy bye
Umeoa mwanamke mkubwa kuliko weye?? tafuta demu mdogo kwako.
Lakini hawa wa patanisho wako kupatanisha au kuwacheka wanaopatanishwa?
Utoto tu na ujinga. Below 25 bado hamjielewi.
me siwezi penda kupelekwa kwa ghost na gid walai naweza cheka ghost akicheka 😂😂😂😂
Gidi Byyye.....Byyye🤣🤣🤣
😂
Eti alihama na roho 😂😂😂😂😂😂😂 hio Sio ndoa hii ni drama na utoto mkikuwa wakubwa mtajiwa maisha ni nini 😂😂😂 sio rahisi mnavyio fikiria
Giddy bye😂😂😂😂
Marriage drama 😂😂😂😅😅
😂😂