Wakazi wa Ol Moran Laikipia walilia usalama

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Wakazi wa Ol Moran Laikipia walilia usalama
    Matiang'i atangaza hali ya hatari na kuwatuma maafisa zaidi
    Wahalifu wateketeza nyumba nane eneo la Dam Samaki
    Matiang'i: Olmoran itakuwa kituo cha mafunzo kwa makomando

ความคิดเห็น • 50

  • @chikira6041
    @chikira6041 3 ปีที่แล้ว +13

    These bandits are used by some politicians

    • @zippyjepps2750
      @zippyjepps2750 3 ปีที่แล้ว

      Smoke out the 🐓politicians who are sponsors of such chaos. This is not the first time, Tiaty and Kerio also they did the same. Matiangi, smoke them out.

  • @evonrn2000
    @evonrn2000 3 ปีที่แล้ว +7

    2007 ⛪🔥 🏹 we will NEVER FORGET!!.

  • @victorblessed8439
    @victorblessed8439 3 ปีที่แล้ว +9

    I agree with matiangi kabisa
    Do your job baba
    We love this, not you getting involved in politics.
    Let us hear you do your job.
    Much credit here kabisa

  • @alkebulansenteusenteu640
    @alkebulansenteusenteu640 3 ปีที่แล้ว +5

    Four years ago this was the same speech. Nothing doing. When the politicians make speeches like this, they should know the historical background of an area, this conflict have been there since 1873, between the maa clan of purko, uasingishu and the laikipiak. They must understand that the maa grazing land run from all the from eldonyo lenga to kajiado to Nairobi to ngong( uwaso) to naivasha to nakuru to Narok to uasingishu to laikipia to sambaru and so forth. When the colonialists came all the Highlands was taken by them and the maa clan where mainly divided into three some went towards oldonyo lengai and some toward ngong and some liakipia. The colonialists exclusive set a side laikipia as a grazing land for the maa. What we have now is pastrolist community in that area tussling for grazing land and the non pastrolist communities are caught up in that war. This groups have grown up grazing their animals using guns, gun sound is like music to their ears and you threaten them what they thrive in, this is the joke of the year.

  • @petermwania4537
    @petermwania4537 3 ปีที่แล้ว +4

    Matiangi and his battalion should go ahead. But should do that with a high level of professionalism

  • @giantpoetke5512
    @giantpoetke5512 3 ปีที่แล้ว +5

    Do your job Police please restore peace and order

  • @emojongtv3995
    @emojongtv3995 3 ปีที่แล้ว +3

    Huenda waalifu walihudhuria mkutano na pia watakuwa wanalala 6pm

    • @michaelmichael3520
      @michaelmichael3520 3 ปีที่แล้ว +1

      Wataachia nani ng'ombe na buduki ....roundi hii watajua hawajui . Raisi aliyoko mamulakani atasiaga watu mpaka wangine walalamike wakiona ujinga yao hawezi kitu

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 3 ปีที่แล้ว +4

    Tumieni hadi ndege kuwatoa huko kwa maize diko wamejificha

  • @sammycharomwalili6728
    @sammycharomwalili6728 3 ปีที่แล้ว +3

    Musiwambie mahadui munaenda

  • @rotternmwange7748
    @rotternmwange7748 3 ปีที่แล้ว +1

    Na mshike hizo bunduki wanatumia muzidisplay wakenya washuhudie

  • @janemary9098
    @janemary9098 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi niko kakuma L akini nilipotesa my Dad pamoja na Mali yetu yote they killed my Dad uko Lakipia kwa bunduki

    • @michaelmichael3520
      @michaelmichael3520 3 ปีที่แล้ว

      Pole pole .Mungu awafariji wakati wa manjonzi na awape nguvu . Amani itapatikana KWA lazima

    • @zippyjepps2750
      @zippyjepps2750 3 ปีที่แล้ว

      Pole Sana kwa haya.Mungu akupe Nguvu 🙏🏽

  • @sombavincent923
    @sombavincent923 3 ปีที่แล้ว +2

    U shud be working on the security fast stop talking go for the bandicts first

  • @gandhiblack2110
    @gandhiblack2110 3 ปีที่แล้ว +4

    Watandike kabisa kenya 🇰🇪 ni nchi yenye amani

  • @BLackPEsa777
    @BLackPEsa777 3 ปีที่แล้ว +1

    Watandikwe accordingly

  • @kelvomsanii1826
    @kelvomsanii1826 3 ปีที่แล้ว

    All talk.. the people of olmoran will suffer more than the bandits in the curfew. Solution is to give the locals guns and fight back the bandits. It has worked in the past

  • @sammycharomwalili6728
    @sammycharomwalili6728 3 ปีที่แล้ว +1

    Wako na silaha kali mahadui

  • @njndox7252
    @njndox7252 3 ปีที่แล้ว

    Where is laikipia? As which part of Kenya?

  • @dubbskillz
    @dubbskillz 3 ปีที่แล้ว +3

    Hapo sawa GOK 💪 CS

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 3 ปีที่แล้ว +2

    Waizi wako huko kwa maize wamejificha

  • @husnaali9226
    @husnaali9226 3 ปีที่แล้ว

    Igree with you shika natembea Amani ita rudi

  • @johntezmg8341
    @johntezmg8341 3 ปีที่แล้ว +1

    Total lies just vacate

  • @jameswayellow4774
    @jameswayellow4774 3 ปีที่แล้ว +1

    Tukikupata nje tutakutandika 🙈🙈🙈

  • @manfredgungah4246
    @manfredgungah4246 3 ปีที่แล้ว

    But afisa msitandike watu innocent hak

  • @erickmujomba7640
    @erickmujomba7640 3 ปีที่แล้ว

    Hawo ni wakalenji wana fukuza wakikikuyu

  • @stephenmwangi9311
    @stephenmwangi9311 3 ปีที่แล้ว +2

    Hii mdomo mdomo tumeiskia sana , Huyu matiang'I amekua mtu wa kuongeaongea kama haelewi, Haoni vile watu wamehangaika

    • @michaelmichael3520
      @michaelmichael3520 3 ปีที่แล้ว

      Kiboko watakutana nayo mlalamike tena

    • @vincentnyawa
      @vincentnyawa 3 ปีที่แล้ว

      Hebu patieni viongozi wakati wafanye kazi. Ni kulalamika tuu nahata ukipewa ww hiyo kazi huiwezi. Hiyo kazi si rahisi vile unavyo iona, period.

  • @paulineanyango8477
    @paulineanyango8477 3 ปีที่แล้ว

    Waaaaah aki kenya namashamba

  • @paulineanyango8477
    @paulineanyango8477 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂 tutakutandika

  • @nabwilelinet7027
    @nabwilelinet7027 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi naulisa n alishabab ama n watu wa kawaida jameni.....mbona uchome nyumba ya jirani yako jameni

    • @millicentayangokunting3728
      @millicentayangokunting3728 3 ปีที่แล้ว +3

      Wivu ndio inawasumbuwa hao magaidi

    • @nabwilelinet7027
      @nabwilelinet7027 3 ปีที่แล้ว

      Shida kubwa n nn...ama siaza imeanza

    • @maryndumi3235
      @maryndumi3235 3 ปีที่แล้ว

      Definitely alshabab hao

    • @janemary9098
      @janemary9098 3 ปีที่แล้ว

      I remember very well 207and208 watu walikuwa wakitrain bunduki usiku Mimi nilikuwa nikidhani ni Gsu kumbe niyakuwawa huko Hakuna amani

  • @mikekamau2977
    @mikekamau2977 3 ปีที่แล้ว +1

    Peace and love

  • @markpaulsilvester9637
    @markpaulsilvester9637 3 ปีที่แล้ว +1

    Then say security is in control

  • @Zed-y2d
    @Zed-y2d 3 ปีที่แล้ว +1

    I don't see a solution, most of those bandits need water and pasture for their cattle!just build a lot of dams and that's a lasting solution

    • @Zed-y2d
      @Zed-y2d 3 ปีที่แล้ว

      @nahash nzzaura it's lies broz,on the other hand people are invading pastoralist land, stop listening to politicians

  • @broze9253
    @broze9253 3 ปีที่แล้ว +1

    Watu wasikue opportunists in as much as I condemn the banditry I also encourage respect and straightforwardmess

  • @ruthisabella955
    @ruthisabella955 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks for the update

  • @kamauwilliamk
    @kamauwilliamk 3 ปีที่แล้ว +1

    Watakipata😁😁

  • @marionnyaleso1102
    @marionnyaleso1102 3 ปีที่แล้ว +1

    Tutawafinyaaa mpaka wasare

    • @kenyamoja755
      @kenyamoja755 3 ปีที่แล้ว

      Matiangi he is no ninces, this guy he is the only solution for security of this Country. Don't play na Mkisii, huyu ndie kiboko ya wakalenjini wasio sikia lazima amani ipatikane. Jokes aside

  • @josephmuthami4710
    @josephmuthami4710 3 ปีที่แล้ว

    With All this facility no militias has gone down by fire just meeting Nia Nini do you to tell the enemy that I will take you kesho that's cheating deploy personnel like cMt Elgon

  • @zippyjepps2750
    @zippyjepps2750 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa Matiangi stop talking and act, people have suffered enough.😭😭