Bikira Maria Mama wa Kibeho, Bibi yetu wa Afrika | Utajiri wa Mama Bikira Maria S01EP06.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 44

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mama Bikira Maria utuombee unijarie kusari rozari.

  • @AilenrinusEdward
    @AilenrinusEdward 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mama maria nakupenda sana mnooooooo wewe ni mfariji wangu

  • @lucimwica647
    @lucimwica647 2 ปีที่แล้ว +5

    Mimi pia nilibahatika kwenda Kibeho mwaka huu 2022 mwezi wa nane mvua ilitunyeshea, Asante sana Mama Bikira Maria kwa Neema zako.

  • @juliethndomba639
    @juliethndomba639 16 วันที่ผ่านมา

    Mwaka huu 2024 nilifanikiwa kwenda kibeho🙏 hakika kuna Neema ya ajabu ,namshukuru Mungu nimeona na kupata baraka nyingi nimehaishwa mengi katika imani yangu 🙏🙏🙏 #nyina wa jambo udusabire 🙏

  • @TheresiaCharles-ys9iy
    @TheresiaCharles-ys9iy ปีที่แล้ว +3

    Mama Bikira Maria Utuombee sisi wakosefu

  • @blandinakimbe8910
    @blandinakimbe8910 ปีที่แล้ว +3

    Mama Maria nakupenda saana,mfariji wangu

  • @AilenrinusEdward
    @AilenrinusEdward 7 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba kujua mama maria aliwatokea kibeho mwaka Gani???? Kwa mara ya kwanza

  • @lenganteminyanda7410
    @lenganteminyanda7410 9 หลายเดือนก่อน

    Atukuzwe Mungu milele AMINAAA 🙏

  • @esterkomba4072
    @esterkomba4072 3 ปีที่แล้ว +3

    Nampenda sana mama Maria amenitendea Mambo mengi sana sana

  • @happinessmlewa6535
    @happinessmlewa6535 3 ปีที่แล้ว +2

    Huu ndio utajiri wa Bikira Maria, Utajiri wa Kanisa Katoliki Baba Mavula Ubarikiweeeee

  • @alistidiabaguma2142
    @alistidiabaguma2142 3 ปีที่แล้ว +1

    Kristo....Asante Sana Padre Dominic Mavula, asante dada Happinesses, hakika mbarikiwe Kwa kipindi kizuri kinachozidi kutujuza mengi kuhusu utajiri wa mama mwombezi wetu, mama Bikira Maria. Niwatakie Utume mwema.

  • @margaretkahurananga8544
    @margaretkahurananga8544 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama wa Africa utuombee

  • @agnesshayo9371
    @agnesshayo9371 3 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni sana sana Padre Dominic Mavula na Happiness Mlewa Mtangazaji wetu.🤝ama kwa hakika nimejifunza mengi, kipindi kizuri na nikweli kabisaaaaaaa Mama Maria ni Tajiri katika muonekano wake🤝🤝🙏🙏🙏Asante Camera Man Daniel Lingwe'ntu picha nzuri hazichoshi kutazamaa.🙏

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana baba na dada yetu hakika binafsi nimefarijika

  • @zuricakes6817
    @zuricakes6817 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana. Mungu awabariki sana. Nimejifunza mapya just ya Mama wa Kibeho. Mother Mary of Kibeho, pray for us. Amen🙌

  • @margaretkahurananga8544
    @margaretkahurananga8544 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana

  • @mariahkikuli8448
    @mariahkikuli8448 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa

  • @chrisdeoglatias8665
    @chrisdeoglatias8665 ปีที่แล้ว

    Wapendwa MUNGU NI ROHO NA WANAOMWABUDU HUYO MUNGU WA KWELI (Yn4:22-23).
    Hbr za kujenga vihekaru vya sanam mapango ya sanam na kujdngny n mama maria na n kuabudu sanam,hkuna sanam ambayo mungu anapatana nayo wala sifa zake hazipitii kw sanam yyte( Isay44:8)
    Ole wko unayepiga got mbele ya sanam na kutoa sadaka na kuimba halafu bado unajidhania kuw n mkristo la! Mkristo wa kweli humuabudu Mungu Kiroho bila kutumia kinyago chochote.
    Usipoamini ukweli huu leo na kukimbia ibada za sanam na kumuamini Yesu ktk kweli usihofu sik ile utakutana na mkono wa Mungu ndpo Mt7:21 itatimia huu yko.
    Hkuna nayeoiga goto mbele ya sanam anayeingia mbnguni

    • @BartholomewNehata
      @BartholomewNehata 11 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe ss hatuabudu sanamu

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 11 หลายเดือนก่อน

      @@BartholomewNehata kwaheri

    • @SmilingMonarchButterfly-kh4ve
      @SmilingMonarchButterfly-kh4ve 24 วันที่ผ่านมา

      @@chrisdeoglatias8665 kwendaaaa..Wale wale ambao mnajifanya mnasoma sana Biblia na kuielewa sana kumbe Hamuelewi ndio maana mna haha kulikosoa kanisa katoliki.. Endeleeni kuhangaika huko sisi tuko tunasonga mpaka ukamilifu wa Dahali👌🏽

  • @Unceasing-prayers
    @Unceasing-prayers ปีที่แล้ว +1

    Anaeuliza hajui anaejibu ndo hajui kabisa uongo uongo

  • @marierobert42
    @marierobert42 2 ปีที่แล้ว

    Daah, Mungu mkuu

  • @gracegesare5313
    @gracegesare5313 3 ปีที่แล้ว

    Asante mama yetu wa kibeho

  • @dionisiabaynit2916
    @dionisiabaynit2916 2 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu awabariki Sana

  • @florachogo243
    @florachogo243 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Baba

    • @luciangugi9145
      @luciangugi9145 9 หลายเดือนก่อน

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊q😊😊

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 10 หลายเดือนก่อน

    Baba ni mmoja aliye Mungu. Huyo unayemuita baba ni nani sasa? Hakuna Mungu mwana wala Mungu roho mtakatifu. Sahihisha hilo,soma biblia vema. Bikra maria hasaidii chochote isipokuwa mnafuata mafundisho yaliyo ya wanadamu na si kutoka katika neno la Mungu

    • @SmilingMonarchButterfly-kh4ve
      @SmilingMonarchButterfly-kh4ve 24 วันที่ผ่านมา

      Pole sana 😢😢

    • @josephmusagasa
      @josephmusagasa 24 วันที่ผ่านมา +1

      @SmilingMonarchButterfly-kh4ve utakuja kuelewa,bahati mbaya inaweza kuwa too late. Pole.

    • @josephmusagasa
      @josephmusagasa 24 วันที่ผ่านมา

      @SmilingMonarchButterfly-kh4ve jipe moyo badala ya kusoma na kuelewa neno. One day utajua then utakuwa umechekewa. Hata mimi nilikuwa huko,ila Mungu humwokoa yule amtakaye

  • @KBUILDERS996
    @KBUILDERS996 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe achaupuuzi aliyejudanganya kuwa sisi wakatoliki tuna abudu sanamu ni nani lete uthibitisho wa yale unayo yabwabwaja hapo bila mpangilio

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 10 หลายเดือนก่อน

    Mbinguni hakuna bibi,kwakuwa mbinguni hakuna kuzeeka. Huyo anayejitambulisha kuwa bibi muulizeni anaishi mbingu ipi. Mbingu ni zaidi ya moja

    • @SmilingMonarchButterfly-kh4ve
      @SmilingMonarchButterfly-kh4ve 24 วันที่ผ่านมา

      Kwendaaaa.. kazi Yako kukosoa tu humu.. mbona kwenye kitabu Cha ufunuo wa Yohana wanatajwa wazee wanne, Mzee mmoja.. n.k sasa kwahyo Mama Bikira Maria akijitambulisha kama Bibi kosa liko wapi.. au we unalingana nae umri??

    • @josephmusagasa
      @josephmusagasa 24 วันที่ผ่านมา

      @SmilingMonarchButterfly-kh4ve siku ukielewa ndiyo utakuwa umeelewa

    • @josephmusagasa
      @josephmusagasa 24 วันที่ผ่านมา

      @SmilingMonarchButterfly-kh4ve muwe mnaleta story zenye mashiko. Tujadili mambo yanayo tusaidia kuifikia mbingu

    • @josephmusagasa
      @josephmusagasa 24 วันที่ผ่านมา

      @SmilingMonarchButterfly-kh4ve huyo maria anakuja kusisitiza watu kusali rozali huku katika Biblia hakuna rozali. Biblia inakataza kuchonga,kutumikia na kuabudu vitu hivyo yeye anasema tumieni rozali. Swali la msingi; je yeye anapingana na amri za Mungu au mnamchomekea tu? Pili,huyo ndiye mama wa Yesu au ni mtu tu,huchikua sura yake na kujifanya ndiye? Naomba majibu my friend. Ni katika kuyajua maandiko vema

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 10 หลายเดือนก่อน

    Mbinguni hakuna bibi,kwakuwa mbinguni hakuna kuzeeka. Huyo anayejitambulisha kuwa bibi muulizeni anaishi mbingu ipi. Mbingu ni zaidi ya moja