Dah pole daa gea jamani,kweli jose kiazi jose jose jose mungu anakuona litakalokukuta kiazi ww utafurahi wananzengo ndo washakucharukia umeyakoroga jose utayanywa mabichi😂😂😂😂😂😂
Nakwambia yalipomkuta alitangaza tukaumwa wengi hadi wengine sisi sio wa tz Lakini hatukukubali jose aonewe leo hii ametuacha mataani anacho kitaka atakipata kwa huyo mwanamke
Mm imeniuma sana mwanaume mzima ufanyiwe huna maana alafu umrudie huyu mwanamke huyu dada ako na bahati jose sio kakangu angeona show angeenda pekeyake hata kama anapendwa na jose hii si bure
Aki tena na huyu mwanamke hajarudi kwa wema atafanya jambo huyu nafkir pia vile alikataliwa kubeba vitu vya ndani ndio pia amerud ili amzubaishe abebe vitu
Huyo jose amechukua maamuzi mabaya...tatizo latatokea sasa hivi sababu vidume mtaani washajua huyo dada ni malaya. Itakuwa wanapita nae vbaya alafu jamii haina tena huruma na jose atachapiwa vbaya xanaaa
Salaam aleykum didii geah..hyo kaka ni mnafki sawa lkn kauli anazotoa c sahihi ni muuhaji sasa Leo anawageuka majiraan zake hivi akishikwa na jambo watamsaidia ?amefeli hyo kaka ana msimamo hyo jose
Hahahahaaaa wapi mam mjumbeeee wapi da Geah 🤣🤣🤣👌👌limetushuka wote Maan tulicomments hatare Leo Tena mwee ila huyu Jose naon dish limeyumba vby mno apelekwe mirembe huyo
Jose kanywea kama priton 🙄😏🤣🤣🤣🤣 yani skutegemea kabsa km yatatokea haya.Jaman wote mliocomment tumuombe jose amrudishe na mdogo wake maisha yaendelee yaendelee 🤣🤣🤣.
Mwanamke kujiamini dada jeuli km mtoto wa Kingoni🤣🤣🤣 mapenz hayaingliwi habri ndioiyo yaishe tulee watoto mapenxi hyaingliwi kwani kumludia mkewe zambi mashemji aibu🤣🤣🤣 maamuzi ya wapndanao mjumbeuyo vp
Me ndo mana simshauri mtu kwenye mahusiano Nilimshauri rafki angu aachane na M.ke wake anatembea na rafki yake ijumaa ijayo anamuowa me bdo nasota home 🤣🤣🤣🤣🤣
Wanawake kama Hawa Wana mtihani atalianzishe lingine na lingine na lingine,nilimsikia mwanaume mmoja anasema mwanamke ukimpenda sana unamuacha taratibu sio ghafla hawezi,nimewahi kuyaona mazito kuliko haya mpaka kuachana ilikuwa shida
Mhh! Kazi kwelikweli,mmh.,tena mtihani!Pole Da Geah.Kweli kutongoza ulikuwa mwenyewe,ugomvi ulimwita mpaka Geah,haya leo wasema eti hukuita kijiji daaah!Geah hapo kuna kitu.Hii picha itaendelea tu,pole mjumbe(mama).
Yote ni njaa imemrudisha kwa jose sababu huyo shemeji hana mbele wala nyuma 😂😂😂 ila ww mama Naumi mganga wako mkali siku mbili na kipande usharudi wengine tunakosea kidogo talaka pap 🤣
Dada Geah mm nilijuwa 2 huyu jama ni mjinga sana mm naona ni limbukeni wa mahaba. Kajuwa mapenzi ukubwani hata c limbwataa likimkuta lengine hata musimshuhulikie 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Duuu..!!?wanaokosa cha kucomments kma mm ngoka like😂😂🙌
🤣🤣🤣
Khaa yani nimeishiwa na pozzi 🤣🤣🤣
Hat mm nimeshangaaaa
Nahisi machozi yakinilengalenga
Yaani naona huruma rafiki yangu anateseka
Tuliomuona jose zamwamwa tujuane hapa👇👇
Namtafuta mama naomi anipeleke kwa mganga wake😂😂😂😂ila Jose kitakukuta kitu we subiri
Kabisa huyo mganga ni noooma. Sio hivi hivi nimechoka kwa kweli
Jose sio akili zake kabisa.
Kwakweli kitamkuta kitu sio mda mrefu
😂😂😂
Nitumie namba
Da gea pole mpenzi
Kitakachojir juu ya jose utujuze da geah
Pole dada mi nilisha ona dalili za Jose hajiwezi kwa mkewe 😂😂😂😂😂Yan amekuvunja moyo khaa
Karudi na wigi mwenyw ampagawishe Jose😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahahaha
Jmn jmn uchawi upo pole da geah 😂😂😂mweeee Ila yakimkuta tena andika Bango kubwa Jose yamemkuta tena alafu uone comment zetu wanazengo 😂
Hahahaaaa
Nipeni number ya uyo dada jamman anipeleke kwa mganga wake maana sio poa
Tenaaa yatamkuta maana sio mara moja 😂
@@maryammohd5994 ukiipata na mm nipe shoga
Watu wanajuwa libwata duu mamaaa Mimi siwezi karishwa vuzi uyo
Pole Geah 😁😁😁😁😁
Yule mjumbe xaxa 😂😂😂😂sijui anaweka wapi sura ake
Watu tulikuonea huruma leo unasema hukutongoza Kijiji fala ww
Buree kabisa
Huyu mwanamke ndo anasaut Sana kwa Jose ..mungu amlinde mwanangu loh...janamke gan
Jose Mungu akulinde asijeakukutilia Sum Huyo mwanamke kunakitu kakifata be careful
Dahh huyu Jose ananin lakin mbona anatuaibisha wanaume wenzie ivi
Poleni majirani kwa kumpa msaada mtu asiejielewa
Kumbe wanaume WA sampuii hii wapo www Jose wewe 🤣🤣🤣kitakukuta kitu we ayaa tuu
kabisa
Mjinga sana Jose ataliwa sumu ndipo atajua
🤣🤣🤣me sitak jmn
Allah atamuepushia insha allah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jose we aya tuu
Mchagaa wa kwanza mzembee 😂🙌🏿jose anahitaji maombi mama naomi kiboko atulie asimtie aibu mwenzie
Jose ni mshenzi wa akili na huyo mwanamke atakua mchawi 😂😂duh mwanaume hajielewi
😀pole gea waanze kukulipa sio kwa kukuchosha huku 😀ila huyu asipoangalia mkewe atamletea magonjwa
Mtoto wa kiume unampa jina Joseline sasa utegeme nini?????
Hilo nalo neno!
Niliwaambia toka mwanzo huyo mke ni mchawi. Huyo Jose keshatiwa madawa kama taahira, na nawaaambia asipo zinduliwa maisha yake ni mafupi sana.
Ovyoo
@@omarsuleiman6022 mchawi utamjua tu🤣
Mapenz tu Amna uchawi hapo ujue
@@janethkilonzi4260 mbona alirudi kwa Gea akiomba msaada upya?
Nyieeee jamani 😂😂😂💔khaa mtumzima nimeumbuka haki nikimtazama mjumbe naomba doctor anitundikie drip ya maji
Akiiiii mjumbe alivyokuwa ameshupaaa🤣😂🤣😂🤣😂sura zinawashuka Sasa ndo wakome kuingilia mapenzi,mjumbeee🤣😂🤣😂
😀😀😀😁😁 hatar
Mapenzi ni ya wawili wakija watatu kudanganyana
Nimemchukia sana jose mshenz wa akili huyu mwanaume
Uchawi upo jammani
karogwa jamani😭😭😭😭😭
Amesahau yaliyotokea
Huyu dawa hizo
@@emmamombo7149 Kwakweli ajielewi maskini
Dah pole daa gea jamani,kweli jose kiazi jose jose jose mungu anakuona litakalokukuta kiazi ww utafurahi wananzengo ndo washakucharukia umeyakoroga jose utayanywa mabichi😂😂😂😂😂😂
Da geah wew alijakushuka Kama Mimi lilivyo nishuka Yani nimekua mdogo Kama piriton
Wakwaza , tutaweka wapi sura zetu sie wana zengo
🤣🤣🤣Jose jamani jose leo hii ndiyo unajua ulimtongoza peke yako mbona yalipokukuta ulishtakia kila mtu nakumuita mwandishi🤣🤣🤣pole sana da Ghea
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nakwambia yalipomkuta alitangaza tukaumwa wengi hadi wengine sisi sio wa tz Lakini hatukukubali jose aonewe leo hii ametuacha mataani anacho kitaka atakipata kwa huyo mwanamke
Mm imeniuma sana mwanaume mzima ufanyiwe huna maana alafu umrudie huyu mwanamke huyu dada ako na bahati jose sio kakangu angeona show angeenda pekeyake hata kama anapendwa na jose hii si bure
@@emmamombo7149 🤣🤣🤣kweli uchawi upo ayse
@@akxakalapa8950 wasema pole pole upo ndugu mtu alale na ndugu yako tena umrudie si bure wala si maombi hayo
Huyo mwanaume sio bure karogwa hakuna mwanaume wa hivyo mwenye akili TIMAMU 😩😫
Kweli shoga angu lzm likushuke
Duh hata mi naona huyu jamaa kalogwa.
Hii inaitwa mapenz ya wat musiingilie oneni leo sas nyiny ndo munaonekana wadhaifu 🤣🤣🤣🤣
Huyo Jose Tahila Ndo Maana Mdogo Wake Yuachukua Mkewe,, Asubiri Awe Chakula Ya Mtaaa,, Nyoooooo, Chefuuuu
Tahila OG
We Bint wa kipemba hebu nipe namba yko nimependa rafudhi yako
Kwakwl
Since interview ya kwanza nilijua huyu kaka atarudiana na mkewe 😂😂😂
Mmh wewe tena😂😂
Aki tena na huyu mwanamke hajarudi kwa wema atafanya jambo huyu nafkir pia vile alikataliwa kubeba vitu vya ndani ndio pia amerud ili amzubaishe abebe vitu
@@mimahmimah1595 hata me naona hilo maana inaonekana tu mtu mwenyewe mam wa nyumbani hana kazi so hawezi kujitafutia vitu vyake
Umeonaeeeee😆
Kbs hata mie nilihis hicho kitu uyo Kaka kwa matukio aliopigwa na bado akawa hanauwezo wa kumpa ht kerebu uyo Kaka hajitambui
Gea nitafutie namba ya mama naomi nichukue mzigo kwa wiki tukishindwana atarudi kwa Jose kiroho safi
😂😂😂😂heh hujashushuka peke yako Da Ghea tumeshushuka sote jmn loh kaka ndezi huyu 🙌🙌
Hatr😅😅 aibu imetukuta
Tujuwane majirani jamani yamekua ya Mama Naomi 😂😂 🤷♀️🤷♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🙆♀️🙆♀️
😂😂😂wallah uchawi upo
😂😂😂😂😂😂😂majirani yametukuta
😀
Nakumbuka mjumbe alisema Jose ndio haeleweki Leo ndio naamini🤣🤣
Mapenzi ayo
Hatakama wanasema cha zaman dhahabu sio kwa chupi chafu ya yule demu
Kwakweli Na Leo Nimeamini Na Mimi😂😂😂
Mjumbe alisema lkn
Kama umemsikia Jose anamuita mama Naomi mama Naomi gonga like za kutosha 😂😂
Acha ufara wewe iga muvi zakiindi
Asije kuwa anataka kuwaawa
Uwii acha.mapez yaitwa.mapez
Anampendaaa
Jamanii.sioyeye.limbwataaa
Kha
Kwa nachokiona Jose hayuko sawa kiakil..hata mwanamke..waachen tu.
Km ukutongoza na Kijiji ulienda kwa mjumbe kufanya Nini? Huyo mwanamke mxhawi aki
🤣🤣🤣 nilijua tu bado Yule mama mtu mzima ngoja mme wake atoke jela 🤣🤣🤣 pole da geah 🤣🤣🤣🤣🤣 nacheka kwa sauti mimi
Huyo jose amechukua maamuzi mabaya...tatizo latatokea sasa hivi sababu vidume mtaani washajua huyo dada ni malaya. Itakuwa wanapita nae vbaya alafu jamii haina tena huruma na jose atachapiwa vbaya xanaaa
Jose kalishwa shuntama dawa ya kihaya so hawezi sema chochote 🤣🤣
Nilisema mm
Jose anapelekwa kwa mpalange ila usikose kutuletea heke heka jose akiuliwa na mkewe🤣🤣🤣
😂😂😂Aaaaa sanaaaa
Kweli kabisa huyu dogo anajambo lake atamuuwa tu huyu jose
Na mm nimewaza ivyo ivyo😂😂😂😂
kuna hatar mbele
Anapelekwa kwa Mpalange 😁😁😁
Pole geah
Salaam aleykum didii geah..hyo kaka ni mnafki sawa lkn kauli anazotoa c sahihi ni muuhaji sasa Leo anawageuka majiraan zake hivi akishikwa na jambo watamsaidia ?amefeli hyo kaka ana msimamo hyo jose
Ahahaaa nimecheka kama mwehu uyu kaka alionekana toka mwanzon kuwa Hana misimamo ahahaaaaa
Auja wayi mpenda na wey
Tunasubili season 3 picha bado linaendelea🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wallah tn 😂
Nimecheka mpaka warabu wananiuliza unacheka nanani😂😂😂😂🤣
@Amina Said 😂😂Aya baba upo mzima lakini
@@otiliahaule6867 🤣🤣🤣
Kesho tutasikia yule panya road kamkata mguu
Mhhh huyu Jose Ni msukule sio bure
😄😄😄😄😄
Hahahahaha
Hahahahaaaa wapi mam mjumbeeee wapi da Geah 🤣🤣🤣👌👌limetushuka wote Maan tulicomments hatare Leo Tena mwee ila huyu Jose naon dish limeyumba vby mno apelekwe mirembe huyo
Mhaya mwenzangu tunapendagwa sis wew acha hata mme wangu anapendaga mpaka namchukia
Jose kanywea kama priton 🙄😏🤣🤣🤣🤣 yani skutegemea kabsa km yatatokea haya.Jaman wote mliocomment tumuombe jose amrudishe na mdogo wake maisha yaendelee yaendelee 🤣🤣🤣.
Nataka uyo Dada anioneshe mganga wake sio poa😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣😂
Hahaha
Ana mapenzi siyo daw
Mwanamke kujiamini dada jeuli km mtoto wa Kingoni🤣🤣🤣 mapenz hayaingliwi habri ndioiyo yaishe tulee watoto mapenxi hyaingliwi kwani kumludia mkewe zambi mashemji aibu🤣🤣🤣 maamuzi ya wapndanao mjumbeuyo vp
😀😀😀😀
😂😂😂😂
Yan da geah Nimecheka kuona kichwa cha habari tu😂😂😂😂
Kumbe tuko wengi jamani 😂😂😂
Hatari😂😂
😂😂😂 da geha poyeee jose kakolea hawezi kuacha mke hakuna ushauri kwnye mapenzi
Ila dah kweli nimeamini mapenzi hayaingiliwi Da Geah pole sana
Mmmh Jose amewekwe Kwenye chungu cha alibadili😂😂jmn jose karoogwaaaaaa
Akuuuuuu mie sipo 🤣🤣Jose kama Jose' da Geah umeumbuka shoga yangu poyeeee
Jose.ungemtia adabu usingemrudia mpaka.ayajue maisha nahuyo kashakuona.uzaifuwako atakusaliti kilasiku.
Hajaumbuka ila yajayo yanafurahisha. Nzengo tusubir part 3 na 4.
Wambea n majirani tutaweka wapi vijuso vyetu 🤣😂😂😂
Limetushuka wambea
Kwakwel tumehadhirika wambea 😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂dada geah naomba namba ya uyo dada anipe namba ya mganga wake jamani uchawi upo na waganga wapo
Kila kitu fresh geah hao kilichobaki watagawana majengo jela na mochori
Kwelii mapenzi yana nguvu kuliko break down😂😂😂
Hahaaa pole gea
Hhhh we nawe umejua kunichekesha
Me ndo mana simshauri mtu kwenye mahusiano
Nilimshauri rafki angu aachane na M.ke wake anatembea na rafki yake ijumaa ijayo anamuowa me bdo nasota home 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😥😥Kitakacho mkuta hitakuwa ni story wallahi tupo hp ✍️✍️✍️✍️✍️
Tyr kalud jose😂😂😂
🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂
au huyu jose ndie mwenye agenda juu watu wakimya wabaya sana huyu fada atakipata anachotafuta na vile wachaga wabaya mmh
Kweli limetushuka da Gea
natamani kujua wamefikia wapi hawa binadamu kha jose wewe ume tuwezaaa
kwakweli mama jose nimemuhurumia sana kwa kitoto chake!amakweli wazazi tunamtihani!!
Hii ndo naitwa wawili wakipendana watatu Hana nafasi 😂😂 waacheni tu walee watoto wao
Jaman jaman
Wanawake kama Hawa Wana mtihani atalianzishe lingine na lingine na lingine,nilimsikia mwanaume mmoja anasema mwanamke ukimpenda sana unamuacha taratibu sio ghafla hawezi,nimewahi kuyaona mazito kuliko haya mpaka kuachana ilikuwa shida
Umeonaa eeh!wamezaa na kama wameyamaliza hakuna shida
nilichogundua huyo Jose hayuko sawa ndio maana hata mkewe anaamua kuchepuka tena na ndugu maana hilo zezeta😃😃😃
Huyu kaka hayuko vizur kiakil nawambia hat dawa haishiki hv😥😭
kizuri kula na mwenzio
Haahhaahhaaaah ..... pole Geah
Kushea na mdogo wako mmmh josewe hunasifazakiume ndomana mwenziokakusaidia siungenyamazatu ilajoseutalipat
Hata mm niko oman nilikuwa nafuatilia nmelichukia sana mwanamke hata kuoga hajui
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Yaan mwanamke mchafu mchafu tuu afu mwanaume naye lijinga tu limbuken wote yeye na mke wake
🤣🤣🤣🤣Haaa huyu mwanaume nae akili zimefanana afu Jose inaonesha yuampenda huyo mwanamke malaya
sio malaya ni shetani Jose pumbavu zake naona karogwa sio bure
Hana adabu uyo Jose watu kumtetea Kote Kule ajaliona hilo
Hamna kupenda huyo karogwa ama amechanganyikiwa kwani wanawake wote duniani utampenda mke aliye tenbea uchi mtaamzima
Simwombei mabaya huyo jose ila siku akifikwa na la kufikwa,ajue hatakuwa na mtetezi
Huyo Jose msenge msenge sana
😂😂😂😂😂 da gea naomba namba za uyo mdada dah salute kwa mganga wake
We mwanamke si wa kawaida jamani hata mume wake anamwita anampuuza kweli mapenzi ya kweli haya
Myb ana2mia ushirikina mana sio kawaida na mdada hana hata haya amenishinda tabia
Ukiskia mtu anakwambia ww n deyyuthi ndio kama huyu jose yetu macho 👀 n masikini 👂 mtukipenda akili 🧠 huwa Hana anafuata moyo 💙
Madawa tuu
True love siyo kuwa nayo Joseph ndiyo inayomfanya ang'ang'aniye anaunusulu moyo wake
Mi naona ka maigizo tu
😂😂😂
Hasante mjumbe napia wahaya haoo labdanimapenzi
Hahahaha lkn huyo jose alionyesha kutoridhika kuachana na mkewe hahaha kaka jose kaisikiliza nafsi yake😆😆😆😆😆😆
Kama jeu ilo.kaka
Mhhhh,hiki ni nini sasa 😲😲kupenda gani huku mungu ninusuru na hiki kisulisuli
Mhh! Kazi kwelikweli,mmh.,tena mtihani!Pole Da Geah.Kweli kutongoza ulikuwa mwenyewe,ugomvi ulimwita mpaka Geah,haya leo wasema eti hukuita kijiji daaah!Geah hapo kuna kitu.Hii picha itaendelea tu,pole mjumbe(mama).
Yan jose ningekuwa nakaa kigogo ungemsahau huyo mwanamke mbona kama anatumia libwata sisi tunatumia tabwali 😂😂😂
😅😅🤣😂😂
😂😂
😂🤣😂🤣🤣😂Jose kashikwa hasaaaa
Bwege uyo jose
Itakuwa anatumia dawa
Huyu kaka hayuko sawa Wallah 🙌🙌😢
Hata huyo mkewe
nimeamini mapenz haya shauri wallah tena hayaingiliwi 😂😂😂 pole sana dada geah
Wanawake tupunguze madawa kuwawekea waume zetu
@@happysanga4902 😆😆😆 nacheka kama mazuri wallah
Uyo dad anipeleke kwa uyo mgang wake
Namim 😀😀😀
Dada geah Hugo Jose kaniudhi sana mwanaume anaepigiwa kajionea POWs tuu hana kaz kitandani huyo
Yote ni njaa imemrudisha kwa jose sababu huyo shemeji hana mbele wala nyuma 😂😂😂 ila ww mama Naumi mganga wako mkali siku mbili na kipande usharudi wengine tunakosea kidogo talaka pap 🤣
Tujuane tumtafute mganga wa uyo mwanamke
@@maryammohd5994 itabidi mwenzangu ndoa pia zinahitaji matibabu mana hii ya Jose ilikua ni cancer na imetibika 🤣🤣 🙌
@@victoriadaizy5277 wallah tn ukipata na mm shoga naomba
@@ummyhasheem2245 hata usijali shoga yangu Jambo jema hilo lazima tuambiane bwana.
Jose ataka makofi, mi nilijuwa tu hana msimamo. Atachezewa kila siku mpuuzi huyo....bwege sana!!!
Jose anaitaji maombi wallah 🤦🤦🤦🤔🤔🤔🤔
Pole daa geah ndio changamoto za kazi pia ikumbukwe mapenzi yana nguvu yake weuwee
Hamna jipya chini ya jua hahahahhaha mama naomi bhnaaa
😂😂Huyu Dada cyo Mtu mzur kwakwel looh!!!🤔namuhurumia sana jose maana akili yote imetekwa amebak na libichwa lake tu
Kapewa shuntama
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 nimemskiza yule mke wa Jose kwenye Leo tena ni jeuri hatariii
Majirani na nyie bhana acbeni kufuatilia Maisha ya watu.Ayawausu sana
sana
Huyu kaka bwege kweli🤣🤣🤣🤣yaan huyu dume kaoza kwa yule mwanamke 🤣nataman nimuwashe kibao huyu kaka zaidi ya bushoke🤣
Mapenzi ayo niatari
Mauno fen hayo sio dawa wala nn ,..
Hahahahah tahira hakili ana huy
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣pole sana da Geah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hakii tumeumbuka...
Huyu mwanaume si mzima wa akili
Dada Geah mm nilijuwa 2 huyu jama ni mjinga sana mm naona ni limbukeni wa mahaba.
Kajuwa mapenzi ukubwani hata c limbwataa likimkuta lengine hata musimshuhulikie
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
aka bachuchu mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yaan ningekuwa mjumbe ningemuamisha mtaaa mshenz uyu
Mkenya mwezangu kenya wako km hawa 🤣🤣
Ummy 🤣🤣🤣
Mtaa tena kumuhamisha
Ryoof ujinga kama huu hatuna lkn yatamkuta huyu kajusoo atamtenda 2 na wana zengoo washamsusia
Jose mimi leo nmekosa la kukuambia baba 🙌
Daaahhh Jose kazingia da geah yan nakosa ata chakusema
😂😂😂😂Wale wadada waliompenda jose mwanz🤣🤣tujuane hp maana kila mtu hoo soje njoo unioe mm😢mp wap saiz 😂
Nakutaka mimi hpa
🤣🤣🤣🤣
Hee
Nipe namba
😂😂😂😂nipo shogaangu Jose amenishinda tabia