I hope there will be a Rong Cypher 2 and 3 with other ill Sheng spitters kama Dyans Cods, Katapilla, Asum Garvey etc..Kali Kartel ibaki ya wa-mainstreams, Rong Cypher ikue ya real underground spitters... KE hip-hop best in Africa
there’s jungle out there na mi ndio monkey king top at the top kwa kila list cheki marking scheme nawacheka ju macho zangu ziunyesha micro things sijaekanga tat naogopa ku-run out of skin mi huwork for extra cheese ndio nipatie pedi pie mistari zile fresh na Rong Rende mi si yule m-ba.. studio kit is very fine wacha ni verify chang’aa kwa jerican nikitangazia Beringer very fast nilikwara ma fala kuni-derail mi iwe kesho ni CBD nyinyi endeleni Ole Sereni yaani ile gwas yaani ile midhili ya electric train i took a step yet again on enemy terrain mi hubeba stock ya mwezi yote huwezi nipata … vela ilidunda ikabaki niorokote juu sisi ukiakisha kama Catholic church candles zote sis tuko on tuko high twende heaven kama monk hawanoni na wako lunch 24/7 kama thong … unless you are an axshole huku zetu nikuhesabu maweng’ ambia Arsel tuliwachia Abu ma Yengs
I was listening to this at 3am through headphones and the neighbours still complained about noise smh lol I guess I couldn't hear myself going crazy over those mistariz! 😅😅😅🔥🔥🔥🔥🔥
Scars & munga ability to lyrically flow with such ease & effortlessly ability is quite fascinating this duo absolutely compliments each other’s style & word play making it the icing on the cake more cyphers manze 254 to the world.
the talent portrayed in this group!!!!!! Wakadinali are the illest rap group out there...every single song is just mad.. they go ham on every beat. mad respect.
Ubaya wa hii ngoma ni ati inaisha 😬
eeeh
Kaki sana
Kali
Kuzimu utaimba sanaa
Walahi
2024 .. who's still on this
jooo kwanza high a.f
Ndio nmeland!!🎉🎉
niko hapa kwa mpigo
Dec 23/2024😂🎉
Who listens 2024/march/9🎉🎉
"Si tulipewa kikombe nyi kitu mlipewa ni pena mbili" came to this after messi won the world cup.
Prophecy
Tuko East na ati tunashikisha kuliko Meru mzima.
-Domani Munga (2019)
Also Munga (2019)
Hawanoni na wako lunch 24/7 kama thong 😆😆😆
Rethiman TV th-cam.com/video/jHGKM1JyqY0/w-d-xo.html
Munga balaa. I see Vigeti in him
@@elijahokumukajwang7969 Johnny Vigeti wa kisasa
Munga blessed
Argentina walipewa kikombe France wakapewa pena mbili ...Munga prophet
thats why he said, ye ucheki micro things
Underated comments 👆🔥
💯💯
Paranoia ndio utamu wa bangi
~domani mkadinali (2019)
Josiah Suyianka th-cam.com/video/jHGKM1JyqY0/w-d-xo.html
Heavy
Ninaland effect Leo nataka blunt kibong ...
Hakika
th-cam.com/video/GcT6KmFOubY/w-d-xo.html
The most underrated rappers in Kenya the real OGs.
Wrong Attitüde bro it takes time to be recognized and this boys know it.
He don't know the meaning of underrated...smh
Underatting Rong Rende ni kukosa adabu
😂😂😂are they now????
😂😂😂i see watu wajuangi meaning ya kukuwa underrated uyo kijana alisema wakadinali wako underrated arudi shule
mimi ndo ule mtoto alipewa wembe akaisharpen 😂💯💯
th-cam.com/video/GcT6KmFOubY/w-d-xo.html
motooo
Google translate huchoma bana
Unachoma🔥
Hehee
Domani pia uchachisha...ati anaishi kwa jungle george anaeza nyuria😂🔥🔥
😂😂
I hope there will be a Rong Cypher 2 and 3 with other ill Sheng spitters kama Dyans Cods, Katapilla, Asum Garvey etc..Kali Kartel ibaki ya wa-mainstreams, Rong Cypher ikue ya real underground spitters... KE hip-hop best in Africa
Idea moto
I 2nd the motion👍
reason lazima watutambue. ya pili tuko
Kabisaa
UnderGround still SuperStar How??😅~ Scaar Mkadinali
THIS IS ROOOOONG MANZE
uko huku
Vee naezaomba upige moja ya hii pia
ambia assanal niliachia abu-ma-yeng🤔😂😂🔥🔥🔥🔥
AleX th-cam.com/video/jHGKM1JyqY0/w-d-xo.html
Killer
Munga🔊🔊🔊
😂😂washaskia
Saa hii ndio naona
Msupa wako ananipigia pigia
nikiishika nitaipiga ataiskilia kwa tumbo
-Scar mkadinali (2019)
Siezi pigia binadamu magoti me si Chris Darlin 🔥🔥🙌😂😂
😅😅😅😅
2024😂🎉nikikumbuka si tulipewa kikombe kitu nyi mlipewa ni pena mbili..Messi ft wakadinali is the real 🐐
Hawanoni na wako lunch 24/7 kaa thong - Domani munga (2019)
😂😂😂😂
😂😂😂
Nimecheka yangu yote🤣🤣🤣
😁😁😁😁
😂😂
there’s jungle out there
na mi ndio monkey king
top at the top kwa kila list
cheki marking scheme
nawacheka ju macho zangu ziunyesha micro things
sijaekanga tat naogopa ku-run out of skin
mi huwork for extra cheese
ndio nipatie pedi pie
mistari zile fresh
na Rong Rende mi si yule m-ba..
studio kit is very fine
wacha ni verify
chang’aa kwa jerican nikitangazia Beringer
very fast nilikwara ma fala kuni-derail
mi iwe kesho ni CBD
nyinyi endeleni Ole Sereni
yaani ile gwas
yaani ile midhili ya electric train
i took a step yet again on enemy terrain
mi hubeba stock ya mwezi yote
huwezi nipata …
vela ilidunda ikabaki niorokote
juu sisi ukiakisha kama Catholic church candles zote
sis tuko on
tuko high
twende heaven kama monk
hawanoni na wako lunch 24/7 kama thong
…
unless you are an axshole huku zetu nikuhesabu maweng’
ambia Arsel tuliwachia Abu ma Yengs
i guess its vacation cbd
Tuko mavitu, poleni🍁🍀
Uliza maswali ,tuna majibu already..😅😂😂💯
th-cam.com/video/gVtAQGDa6Gs/w-d-xo.html
Na kila mahali ni kuharibu zoeni
Hapo sawa ndungu
Underground still supper star how?
The day I discovered wrong rende is the day I really appreciated Hip Hop.
Well said same here
I swear me too
Mungu 3
Mimi pia
fo sho
“Hawanoni na wako lunch”😆💯
Mad Munga
24/7
KUNA SIKU MAYOUTHS WATAUNGANA!!!
KAZI SAFI MABRO 👑
Nisha toka leo
Ulikua na vision walidrop hit
Buda ulitoka future bana
#jointhetribe
25th June 2024 🕊️
keg kwa drum na jaba ya 150💥💫😇
si tulipewa kikombe, kitu nyi mlipewa ni pena mbili
it is a tradition to listen to this song
Its about time Kenya hip hop recognize the Rong Rende to mess with,
th-cam.com/video/pHtsblEmK4o/w-d-xo.html
Manze wamegrind na wanajua vitu ziko kwa ground
Munga so goated alicheki io finali ya WC...france walipewa pena mbili Messi akaishia na kikombe😂
Scar mkadinali ni modern day Jonny vigetti..Na Mimi nawatambua wote wawili
Noma Sana 🎉🎉
Nani ako hapa leo akiskiza this🙋 ...I literally listen to them daily 🎶🎵🎶🎵 🔥🔥🔥🔥🔥🔥..love ❤️❤️❤️❤️❤️💛🧡💛🧡🧡❤️❤️💚💚💚💛💛for wakadinali ...
Rudi hapa tena😂
2023 na bado this is favourite cypher on repeat likes za rong cypher😎😎😎
[Hawanoni na wako lunch 24/7 kama thong]hhaha noma sana.WAKADINALII.Domani Mkadinali hio line nimekubali
2024!!! We still here.
When you listen to it once... It'll be on repeat
I swear ❤️🔥
i can relate..kwanza on headphones..🤟
✅
Freestyle ikifeel nyc hivi, nko sure haters wanatingisha kichwa as well, "ZOEENI"
Ukikubali piga like
🎉🎉🎉
We honestly need to get back to this in 2022 🔥🔥
BEST RAP DUO in the game hapa 254 at the moment manze🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Organic vile inafaa
ONDU STREETLAWYER TNT wanapiga hip hop ya international lakini awa wawili speak for the streests
am here 31/10/2024, all you can do is to like
Huezi pigia binadamu magoti kama Kriss darlin🔥🔥🔥
Ubaya wa hii doba ATI inaisha aky
Bi-Fu ndio ngeli
Hariff ni mtoto wa sheriff anatafutwa na askari aligeuka sicario 😅🔥🔥
I was listening to this at 3am through headphones and the neighbours still complained about noise smh lol I guess I couldn't hear myself going crazy over those mistariz! 😅😅😅🔥🔥🔥🔥🔥
This is real hard!!! Anyone feeling me??🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Wueh, Hii ni kali 🙌🏾
this track deserves more than a million views
It did headed to 2
when munga said "nawacheka ju macho zangu ziucheki micro things" i felt it💯
"Me vacation Cbd nyi endeni olesereni" @domani ....."si hudishi Ki G.. Hapa hunawi".@scar...ata malaya akilala hulipwa....
2024 and the song is still 🔥🔥
Mad Munga is maaaaaaaad!!!🔥🔥🔥🔥
He killed the ending..🔥🔥🔥
Hakuna ngoma ingine ya wakadinali itawai fikia hii
#fact
'sijaai eka tat naogopa kurun outta skin" 🔥🔥🔥🔥🔥🚀
2024, and this jam is still FRESHHHHH ..... Like apa if you agree.
The new generation of hiphop culture!! "Mkono kwa bible nikiwakumbusha hamnitishi" weuwe Mambo Moto haya
Tz pande za chuga 2nawanya xan papaaa
Underground still superstar how🔥🔥🔥
Usidhani hii maombi yetu itakuwa all in vain.God bless Rong Rende.
Its always the RONG TIME ! jamaa !
🔥
Kama ukiskia hii wimbo unaskia energy ingine ngori piga like
these guys deserve more credit on the rap scene.
I agree man
Top 1💪💯
They made it🔥🔐
Scar is the realest guy I know
That masked guy reminds me of Mwafreeka
Msupa wako ananipigia pigia nikiishika ndaipiga ataiskilia Kwa tumbo,,scar di mkadinali
I went on to google jorge of the jungle☠️☄☠️
...
Mofoking munga 🔥☠️☠️...
MaGwangi❤🔥🔥💦
Mathafuvking Mungaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mkono juu ya Bible nikiwa kumbusha hamnitishi !!!
Underground but still superstar, How!??😱
for me its scar,,,buda peleka iyo injili yako huko,,,,keep moving
\
Hii ni maji moto sufuri ya pili.... (After Morio Anzenza 🔥🔥)
Tuko East na tunashikisha kuliko Meru nzima🎉😂😂
Cjai eka tat naogopa ku run out of skin🔥🔥🔥
~Domani~
Ni wangapi tuko hapa bado 2023?
2024 bado imewaka
2years later and it’s still a chill/feelGood calming song
Me hubeba stalk ya mwezi mzima, hapo ungesema mwaka mzima😅😅, yow ngori🔥⚡
Scars & munga ability to lyrically flow with such ease & effortlessly ability is quite fascinating this duo absolutely compliments each other’s style & word play making it the icing on the cake more cyphers manze 254 to the world.
Scar alikuwa anaskiza spider spints from munga #bigcypher
Ambia Arsenal tumeachia Auba mayengs💥💥☑️
Hii si bidii hi ni uchawi😂😂
RongRendeeee💥💥💥
Alikuwa anazungumzia mimi. rong rende "Abu Ma yengz"
Am still here 4 yrs later 2024 still playing rong cypher
"Tuko east na ati tunashikisha kushinda Meru nzima."
still here listening to this masterpiece 4 yrs later LIKE THIS COMMENT i come back💯💯💯💯💯
the talent portrayed in this group!!!!!! Wakadinali are the illest rap group out there...every single song is just mad.. they go ham on every beat. mad respect.
Wanatuita mabanii kwani tumeshikwa Tukaachiliwa mara ngapii😂❤
mtoto alipewa wembe akaisharpen 😶🌫
sep 2024 bado tuko on, mad munga anaishi kwa jungle george atanyuria
scar is the baddest lyricist in the 254🇰🇪🇰🇪
Who's listening to this in 2024? Legendary piece of art 🔥
I play this atleast twice daily....
🔥🔥🔥🔥🔥 RONG RENDE
siwezi pigia binadamu magoti, mimi si kris darling
I felt that
the day i discovered wakadinali is the day i appreciated hip hop/drill
tuko east tunashkiisha kuliko meru nzima
Unaisikilia kwa tumbo
Scars' flow is unprecidented... An inventor of an art....
I had to come back for this banger 🔥✌🏼we need more RONG RENDE🎧🐐
Hii shit yushika mbaya!!🔥🔥
ka hani bambi hani bambi scene tukipiga........🍻🍻🍻🍻
Protect them at all costs....Straight 🔥🔥🔥🔥
Na haina chorus 😄 🤣 #tuko mavitu poleni
Ukikuja kwangu naficha dishi 😂😂#scar
Still the baddest in the game ...who else is here 2022