Naweza sound CORNy nikisema SELF RAISING, usi MINDi (mahindi) grind (kisiagi) yangu huwanga AMAIZING ( a-MAIZE-ing). Hii Wordplay waluhya pekee ndyo wataiget! Kubali imekupita! Abbas remains one of the greatest to have done it! Bars all day!
Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni Na rende ina ride through Ata mitaa za mbali......my crew Nilibuy ngware kindukulu 'Shh shh Ndo nikuwe na high noon 😎
@@mukuhanyota4613Buda Khali ako na flow na lyrics pia.. Cheki hii:- "Nina Miaka kadhaa kwa game na mpaka sasa hawanigusi Wacha tudistinguish nani rapper nani pussy Nani shark yani papa nani zushi Ju maboys niinspire ndio mpaka sasa wananitusi. . Bro kama hizo si lyrics ni nini?
Niko Fresh bila Prince, Uncle haniPhil, Aunt Vivian na Hillary si wako na bills, Hatakaa sijawaJazz bado na chill, Misiyo Jeffery lakini nadeliver at Will, Ashley hii ni rap for real! 🔥🔥🔥🔥 GOAT
Niko Fresh bila Prince Unko haniFEEL (Uncle Phil) Aunt Vivian na Hillary si wako na bills Hata ka sijawaJAZZ bado nachill Mi sio GEOFFREY lakini nadeliver at will ASHLEY hii ni rap for real Only when you have watched the FRESH PRINCE OF BEL-AIR you can understand this. Abbas Kubaff the GOAT
Hii Rende ni Rong 🔥🔥🔥 Nimelay low key niliangusha padlock Nilibuy ngware kindukulu ndo nikuwe na #HighNoon Industry ina ma pirate utadhani Mogadishu If I die usisahau kuwaambia I lived my life
"Siwezi bwaga unga ju mkate ni basic 0:51...." nilibuy ngware kindukulu ndo nikuwe na high noon 1:26...." ka si ndeng'a pia siwezi kosa kisu 2:12..." hii ni mbaya sana" [ #Kubaff #Wakadinali #OG ] -> Hawa ndo maBAZENGA wa #HipHoP254 #BarzHataree
"Niko fresh bila prince anko hani feel". If you watched fresh prince of Bel air utaget hii bar.
Naweza sound CORNy nikisema SELF RAISING, usi MINDi (mahindi) grind (kisiagi) yangu huwanga AMAIZING ( a-MAIZE-ing).
Hii Wordplay waluhya pekee ndyo wataiget! Kubali imekupita!
Abbas remains one of the greatest to have done it! Bars all day!
Abbas = Andre 3K
hahaha kali bro
Wah! Now I get it!
hehehe mimi hikunipita
actuslly the line is; "naweza sound HORNY nikisema self raising".
Hii sasa ni ile ya kichizi...maaaad tune
Baba Hazam my GOAT
Mara better ni ka dera
Mara juzi niliona hadi Vera
Mara zimenirunda Kibera
Mara zimenirunda kivela🥵
"The radio dont play me so i play my way"
I felt that shit wakadinali 💯🐐
What a sick jam Aki wakenya hupenda ngoma za ufala! Ii ngoma inafaa kuwa na 1 m by now
hii ndio tunataka kuskia tukisema play KE music. legendary collaboration.🔥
Scar, that was emotional. You made it already, the world cannot ignore you anymore! Cheers and keep doing!
He is now untouchable....
Abbas and wakadinali 🔥🔥🔥🔥 mwoto Sana 💯💯💯💯💯💯💯 #rongrende #@domani my best 👍💯
This song alone is bigger than the whole Tz hiphop scene. 💯
Scar aka Mr Riz Mangwai 🔥🔥🔥🔥
Baddest collabo , can't wait for the video... Wapi likes za scar......
Wali like ajy na venye huringa
Let's gerrit. Wrong Rende. Baddest collabo from the 1st, 2nd and 3rd generation. If you know you know.
Kabisa. Kadinali ndiyo link hapo
2:07 Khaligraph
''leave you in a comma, apana alama ya dukuduku''
The BEST line!!
TUNATAKA LYRICS !!!
Scar was it.
2:43
Alibonga sense.❤❤
Swali ilikuwa watapenya lini.
Mans washapenya❤🎉🎉
God hukuwa na his way for real
Never thought i would live to listen collabo ya Wakadinali ,Abbas na Khaligraph...
Mad love , Mad Respect .
You can hear the pain in Scar Mkadinali's voice when he says, "The radio don't play me...no pain no gain...bado tuko underground na sichoki."
Radio yenyewe ilikubali sasa...
Sai wanachezwa adi wanambia hao watu wa radio wameboeka😂
OG: Kaa si ndeng'a ,siezi kosa kisu.
Industry ina ma pirate utadhani Mogadishu.
Nobody:
Abbas: Nimelay low key, niliangusha padlock, sa hii natoa lock na mikono za hancock 🙆🏽♂️😳
Barsss 🔥🔥🔥
This is so dope..Abass missing you men!
Headshottt
Manz still got it, tight barz
His bras have always been crazy
naweza sound corny nikisema self raising usimaindi.. grind yangu huwanga amaizing😂💥🥴
God anibless na gari yangu nataka kuiskizia ndani...
"wee ni snitch unadhani mbona siukushuku, kutuseti ndio zako juu ya marupurupu"🔥🔥
OG fires shots at Octo...game on😂😂
Respect Abbas.... Nomaa.
Wakadinali. Shout Out.. GAANNGGGGG!!!!!
Fire fire firreeeeeeee!!
Kaa c ndenga siezi kosa kisu💪@papa jones🌐
ABBASSSSSSS! NARE FIRE MOTO!!!!!!!!!
Every line killed it, mind blown , press replay
Mzito rudi uwape mafunzo.
good muzik, good rhymes, good vybz ....niko na high noon btw
...Naamka mapema lately
Siwezi bwaga unga juu mkate ni basic
Manna toka heaven ladha yake
tasty
Sunblest nilikuwa tangu the 80's
AbbasKubabaGang!
"Mlinimisjudge ju mlinicheki na kataxine na kichoki".. my life right now. Big up G!!
after 3 years, is that still your life?
@@iceboxthrill2569wanted to ask tooo😅
@@dfw_jerrywalai tena 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Waprove wrong G
NIMEBUY NGWARE KINDUKULU NDO NKUE NA HIGH NOON🔥🔥
Who else is jamming to this in 2020?
Kabisa we still listening to the best
quality beats mahnnnn
Me. Nilibuy ngware kinduklu ndio nikuwe na high noon
Rong rende💯💯
🙋♂️🙋🏿♂️🙋🏿♂️🙋🏿♂️🙋🏿♂️🙋🏿♂️🙋🏿♂️🙋🏿♂️
"...usi mind grind yangu uwa amaizing!" ~ Abbas
hapo sawa si upuzi ya wamlambez#kenyan hip-hop is back
"The radio don't play me so I play my way"
I felt that Scar line fr....
2024 and Wakadinali have taken over...🎶➕️🫡
Whole bar based on cereal wordplay! "Naweza sound corny (corn) nikesema self raising/ Usi usimaindi (mahindi) grind yangu huwa ama-zing (maize)"
Jerry D huwa underrated sana
Abass!!!! Daaaamn!! Hiyo bar ya fresh prince joh maaaad
2024 wapi nduruu
Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni Na rende ina ride through Ata mitaa za mbali......my crew Nilibuy ngware kindukulu 'Shh shh Ndo nikuwe na high noon
😎
Ata mitaa za mbali si hupiga scene tupu na plan kuwa tycoon #Mad munga
nikibuy ngware kindukulu ndo nkue na highnoooooooon🤘🤘
this is an answered prayer to me....ive always praid for Abbas n O.G.......high noon!!
They have another ya kitambo sana...when O.G 'new' was upcoming.. Abbas ndiye O.G old..yaani badest.
Inaitwa tema ma verse
Tupatane #hiphoprepulik tufanye mambo Yetu..welcome khali Jones
On repeat hii all day nikiget high.
Khaligraph is lyrically gifted.. Shout outs from Tzee
ya khali ni flow buda sio lyrics...kuna tofauti KUBWA SANA
@@mukuhanyota4613 Buda cheza chini ...hajashow humsee wa TZ poa. but its true
@@mukuhanyota4613 ni both. He is versatile recording artiste
@@mukuhanyota4613Buda Khali ako na flow na lyrics pia.. Cheki hii:-
"Nina Miaka kadhaa kwa game na mpaka sasa hawanigusi
Wacha tudistinguish nani rapper nani pussy
Nani shark yani papa nani zushi
Ju maboys niinspire ndio mpaka sasa wananitusi.
.
Bro kama hizo si lyrics ni nini?
Abbas in adi building... Kimoja iwashwe kwanza...#MoreFire
Niko Fresh bila Prince, Uncle haniPhil,
Aunt Vivian na Hillary si wako na bills,
Hatakaa sijawaJazz bado na chill,
Misiyo Jeffery lakini nadeliver at Will,
Ashley hii ni rap for real! 🔥🔥🔥🔥 GOAT
Niko Fresh bila Prince Unko haniFEEL (Uncle Phil)
Aunt Vivian na Hillary si wako na bills
Hata ka sijawaJAZZ bado nachill
Mi sio GEOFFREY lakini nadeliver at will
ASHLEY hii ni rap for real
Only when you have watched the FRESH PRINCE OF BEL-AIR you can understand this.
Abbas Kubaff the GOAT
Nime-lay low-key, ... Naamka mapema lately, ... Abbas KANG! KANG!.
Hii ndio inafaa kuwa mziki..
First things Firsts Rest in Peace Uncle Phil. #FreshPrinceofBelAir
🙌🏽🙌🏽🙌🏽..The best of 3 generations..#PlayKE💪🏽
Moto!!🙌 Hii ni ya ma Bazuu !
kama U FROM MIRITINI bring it ON
Now this is Authentic Kenyan Music,mafatheee
2023 and still jamming to this masterpiece 🔥🔥🔥🔥🔥
Ndo nkue na high noon🔥
Abbas... Kali... Wakadinali.... Respekt
Abbas kubaff hapo sasa,asante kusimama wimaa na baba theirs khali...moooore fireee
Usi-maindi grind yangu huwanga amaize-ing🔥🔥🔥Abass mnomaa
I hope ni a maze in
Nimeadd up shit ka io🤣unajua si wote hatuna lyrics
Ndyo nmeiget.. I was immature for this... Now i get it.. Word play 💯
This songs as kina Abbas na kina papa Jones na Wakadinali, Lazima udig deep mahn
Merry Christmas 2024..
Those of. Year 2100, just know Deno was here..
Guyz live your best life possible in any situation you are.
2025 innit
swali ni moja tutapenya lini
that was deep
Hii Rende ni Rong 🔥🔥🔥
Nimelay low key niliangusha padlock
Nilibuy ngware kindukulu ndo nikuwe na #HighNoon
Industry ina ma pirate utadhani Mogadishu
If I die usisahau kuwaambia I lived my life
Abbas. Naming characters wa the fresh Prince of Bel air whaaaat!!! 🔥🙆🏿♂️Great barz right there.
Mad munga never ever disappoints... He shud always have the last verse
What a hook
That chorus is the best part for this particular masterpiece.
collabo of the year..otea mbali hii nare
Mara beste ni kadera
Mara juzi niliona adi vera
mara zimenirunda kibera
Mara zimenirunda kivela
Dosh 🔥🔥🔥🔥🔥
baddest lyricist
Domani alizika🔥🔥
Baaars🔥🔥🔥🔥
Domani Munga is underrated! The best lyricist now.
Dosh ni nareee hehehe
Si mlini misjudge juu mlinicheki na ki-taxin na kichoki...
This hits different all the time man
Since baby steps nimeona nikiomoka! Has to be the dopest line.
Pia kwako wamelike WA me change
Jones,dobeez noma sana
Abbas kubaaafff😂Niko fresh bila Prince, naamka mapema lately ,siwezi mwaga unga juu mkate ni basic🔥🔥🔥🔥🔥🔥still the king of barz
K-South's finest 🔥🔥🔥🔥 Abbas is back nimeskiza twice 👏👏👏👏😍😍👌.
Kuzoza kwa full force. Hii ni shida mob kwa ngoma moja. Legendary X3 🔥🔥🔥🔥🔥
"Siwezi bwaga unga ju mkate ni basic 0:51...." nilibuy ngware kindukulu ndo nikuwe na high noon 1:26...." ka si ndeng'a pia siwezi kosa kisu 2:12..." hii ni mbaya sana" [ #Kubaff #Wakadinali #OG ] -> Hawa ndo maBAZENGA wa #HipHoP254 #BarzHataree
That hook is out of this world! All hail Wakadinali. Nimewaskia kwa cypher flani.... Dope!
Scar nailed it man.mashallah the change of flow n punchlines damn
Abbas wordplay assassin. Hio ya cast ya Fresh Prince amehit 🎯🎯
Bongi yako ni which ha ha ha...tupatane kenkom
Wakadinali its about time bars zenu ni mob haziezi fungwa kaa census
Nilibuy ngware kindukulu ndio nikue na high noon
noma sana 💥💥
Noma Sana noma Sana... madluv👊👊👊NYC one
Dzamn⚡️⚡️⚡️🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽💯💯💯
2021 still on.
Abbas always rocks like a guitar school and never dissapoints.Kaligraph has the same hunger he had as a teenager.
Na imeisha nkaskia ni kama stima zimeenda...
🫡This is timeless ,it will live on forever.
My morning doze💖💯
Finally...eeeish buda Domani I hear and feel you goon💯✔️🔥🔥✔️
Dosh🔥
ati swali ni moja utapenya lini 😂😂
mlinimisjudge juu mlinicheki na kitaxin na kichoki... high noon fayaa. mmemurder hio beat.
This is what we call hiphop. Good music. Big up guys.
Aaah!! ABBAS BABA YAO !!!
To be or not to be, I have to be Do biz or not do biz, Abass Kubaff Kong Kong..........baaars
"GRIND yangu hukua aMAIZEing" our great great grand kids in 2100 learning Abbas' puns
nilibuy ngware kindukulu ndo nikue na high noon 😤🔥🔌
hii mbogi inachachisha mbaya...KEHipHop to the World....#BigBeatsAfrika
Class in session buda,funzeni hawa watoto kutema mistari🔥🔥🔥
Scar ameacha kovu kwa verse yake!!!!!
kabro acha kujiangusha ww ndo uko in class 'kovu' ni scar in swahili so akiisema mara Thao everyone's good with it.....Ni Jina YAKE
haha iyo flow ya fresh prince of bel air imeweza haha.... 90s babies
Mzuka full...uspime! aliyefanya mastering and mixing pia big up sana
Mbogi ya waras na wajanja🔥👊👊
Nangoja fida🔥🔥🔥
Nlibuy kingware kindukulu ndo nikuwe na high nooooon🔥🔥🔥
Puuuuulll up!!!!!