Filamu nzuri. Nliitazama nkiwa mtoto mdogo, usiku kwenye sinema kanisani ya Soul Harvest, Nakuru East, Mzee Wanyama. Siwezi kuisahau, maana ni moja ya vitu vilivyotuma nielewe wokovu. Asante kwa waliohusika iwe hapa TH-cam 🙏
Thank you for uploading this...it grounded my faith since childhood...great job to the media team ..the missionaries who used to ensure estates have been projected for every weekend 🙏🙏🙏🙏
Mungu anataka kutufundisha kuhusu wokovu kupitia hii
Mungu anataka kutufundisha kuhusu wokovu kupitia hii❤
Filamu nzuri. Nliitazama nkiwa mtoto mdogo, usiku kwenye sinema kanisani ya Soul Harvest, Nakuru East, Mzee Wanyama. Siwezi kuisahau, maana ni moja ya vitu vilivyotuma nielewe wokovu. Asante kwa waliohusika iwe hapa TH-cam 🙏
Thank you for uploading this...it grounded my faith since childhood...great job to the media team ..the missionaries who used to ensure estates have been projected for every weekend 🙏🙏🙏🙏
Ooh !! BWANA YESU HATUWEZI BILA YA WEWE
2005 naikumbuka hii move kwa mkutano wa Injili hata kabla ya kuokoka. Asante Mungu kwa kuitazama leo nikiwa katika wokovu
Asante yesu sifa zikurundie milele
Oh my God, thanks to the uploader. I watched this in the 90s...oh my God, thanks again
Ubunifu wa Bwana Bunyan ni wa kupigiwa mfano. Mola awabariki wote watakao tazama filamu hii
Amen Amen. kitabu hivi nikizuri sana katika njia ya kwenda mbinguni
I watched this movie in the year 1997 it's remind me far oh thank you yutube for this movie nve thought I,ll come across it again
nami pia imeteka hisia zangu za maisha. Mungu azidi kutusaidia
Naipenda sana story hii ni story nzuri sana kwa mtu anaetaka kwenda Mbinguni yaani kuishi maisha ya wokovu.
Mungu ambariki Mtunzi huyu. Amen
Nelson Mtui
ahsanten sana mnatubariki xan
Asantee jamn kwa mafundisho nimejifuza kituu hapa ndugu zangu
Ni nzuri sana
It remind me days of my childhood ,I loved it so much I will show it to my child
mungu baba nipee nguvu kwa hii safari yangu hapa duniani kama vile ulimpea msafiri kwa safari yake
Naipenda sana hii movie hakka inaelezea maisha halisi ambayo tunayapitia mpaka.sasa
mafunzo mazur sanaa
nzuri xana
waoooh a long story but it"s very sweet
kubali sana hii nikalii xana long time sana hiii
Ni Nzuri asanteni
i love jesus whenever
hii story nimeipenda sana nzuri sana mbarikiwe sana
Nimeeipend sana
Inabariki na kutuimarisha katika maisha yetu watu wa Mungu
Hii ni njema imenibariki sana.
Nimeipenda sana
Ninzuri sana
Amen
Me niliona hii movie but Hao watu wanaongea Kwa background walikuwa wananifanya nishtuke
One day ago
Kitabu hik kina màarifa ya wokovu sana
Ngoja niingalie ikiwa mbovu unalipa mb zangu
GOD BLESSED YOU AMEN
Video nzuri kwa wakristo na wasio wakristo ila ningependelea kupunguzwa kwa uradidi wa maneno..
Nakipenda sana hiki Kitabu
❤️❤️🙏🙏
kweli move nzuri ila kuna part tu yake jamani ambayo familia yake ilimfata anaye jua jina anambie niliangalia zamani kwenye sinema
Nzuri sn
Tafasiri yake mbovu yakurudirudia maneno
dushmani ya San deol naomba
inafundisha
Ipo.vizul