Sauti za kupendeza. Mwenyezi Mungu awashushie Roho Mtakatifu hili muendelee kumsifu Mungu kupitia wimbaji. Ujumbe: Tukumbuke tunapoimba tunasali mara mbili.
Asanteni sana Wanakwaya kwa wimbo wenu Mzuri. Mmenisaidia kumtafakari Mt. Yosefu amabaye mwaka huu kwa namna ya Pekee, Mama Kanisa ametupatia Mwaka ili tumtafakari kwa kina. Bravismi ragazzi per questa Canzone....Mbarikiwe.
Uongo dhambi mmeimba vizuri sana sana zaidi ya sana ,,sauti zmetulia mavazi pia hata kinanda kipo vema. Ila Nina jambo kwenu ninyi waimbaji na walimu basi tunapokuwa live kuperfom au hata kuimba ibadani basi tuumbe sauti kama zilivyoumbwa hapa kwa audio. Ni wazo tu.
Eee kumbe mnajua kanisa litaangamia kwa dhambi zetu . Kwanza hamjafunika vichwa vyenu. Mchumba wake Yosefu mliona wapi ambapo hafungi kitambaa .. ??Yani Bikira Maria alikuwa na kitambaa kwa kichwa kila wakati. Fungeni vitambaa halafu mumwambie aliombee
Susan nyaguthili Imani yako haikotoshi unafikiri ukifunika kichwa ndo unakuwa huna dhambi? Na niwapi palipoandikwa ukifunika kichwa ndo unakuwa hauna dhambi? Wewe Kama ndini yako inakufundisha kufunika kichwa ndo kutokupata dhambi basi uendelee kuamini hukohuko.
@@Irene-qt5zq hahaha kbe wewe hausomi.Bibilia. . Soma Corinthians yote ndio utalna ni wapi mtakatifu Paul alikuwa anasema hivyo. Hamendi kukosolewa lakini hiyo ni lazima. Watakatifu wanawake wot wako na vitambaa kwa vichwa. Hiyo ni laxima wacha kukadirika bure. Kuwa na sauti nzuri na maneno ya nguvu hata ya kutoka kwa Biblia sio kusema hauna dhambi pia. Ee Eee ee. Pole sana ukwelu unauna.... hehehegehege Jamani ni lazima ukweli usemwe ..Hata wanishangaza ... Mwanamke mkatoliki anafaa afunIke kichwa akiabudu ama hata kwa misa akipokea . Mnaasha mnasahau mafundisho polepole. Kwani wafikitia Mimi ni muislamu unaniuliza mamno ya dini . ???
Vitambaa havimfutii mtu dhambi tumia akili. Hiyo ni jadi na desturi za middleEast na sio dini. Imeinguizwa kwenye dini kwasababu hao watume chimbuko lao ni Uyahudi.
Hongereni sana wana choir na Mungu awabariki
Hongereni sana kwa kuimba vizur mungu awape baraka tele
Ahsanteni kwa wimbo nzuri wenye mafundisho yenye kujenga na kukuza imani yetu
Kazi nzuri sana...Tungu, uimbaji, Organist, Audio and video quality... Mt. YOSEFU ameenziwa vyema
Asanteni sana kwa uimbaji wenu wanakwaya. Mbarikiwe.
Super sanaaaa! St. Joseph pray for us.
Kazi nzuri kweli. Ujumbe mzuri sana. Umenisaidia kutafakari kuhusu mchango wangu wa kutoangamiza kanisa kwa dhambi zangu.
Hongereni sana vijana wangu
Mungu Awabariki Sanax2.
Wimbo hauishi hamu kusikiliza
Nakumbuka hapo TEC ndipo music wanģu ulianzia, hadi sasa niko Kenya. Hongereni sana wanakwaya. Kesho ni sikukuu ya Mt. Yosefu
Hongereni Sana kwa utume, mungu awabariki
Hongereni sana wanakwaya. Picha sauti vipo vizuri sana
Wonderful voices. Yosefu Mt. Lilinde kanisa letu Takatifu.
Well composed na well sang.....be blessed...sauti nzuri sana
Hakika ni wimbo mzuli sana Mungu awabalikini wote awape maixhamalefu duniani !!!
💞💞 more blessing guys❤️❤️❤️
Hongereni Sana mmeimba vizuri 🔥🔥🙏
Mungu awabariki sana kwa utume wenu
Ni wimbo mzuri Sana tena ni mwaka Joseph Mtakatifu
Congratulations
Nice vocals
What a beautiful song....the organ could be richer though.
Wimbo mzuriiii mno
Sauti za kupendeza. Mwenyezi Mungu awashushie Roho Mtakatifu hili muendelee kumsifu Mungu kupitia wimbaji.
Ujumbe: Tukumbuke tunapoimba tunasali mara mbili.
Asanteni sana Wanakwaya kwa wimbo wenu Mzuri. Mmenisaidia kumtafakari Mt. Yosefu amabaye mwaka huu kwa namna ya Pekee, Mama Kanisa ametupatia Mwaka ili tumtafakari kwa kina. Bravismi ragazzi per questa Canzone....Mbarikiwe.
Kazi nzuri sana
Kweli, mmeimba vizuri. Asanteni kwa kutubariki kwa wimbo huu, wakati huu wa pekee wa Mtakatifu Yosefu.
Mumbarikiwe Sana🙏🙏🙏🙏
Credible, credible, credible
Kazi nzuri safi sana👏👏👏
💚❤️🌹
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Mbarikiwe sana 🙏🙏🙏 MUNGU azidi kuwaimarisha
Uongo dhambi mmeimba vizuri sana sana zaidi ya sana ,,sauti zmetulia mavazi pia hata kinanda kipo vema.
Ila Nina jambo kwenu ninyi waimbaji na walimu basi tunapokuwa live kuperfom au hata kuimba ibadani basi tuumbe sauti kama zilivyoumbwa hapa kwa audio.
Ni wazo tu.
Wawoo Great
Nabarikiwa sana
aysee mbarikiwe mnoo
a very sweet one
Amen
Mubalikiwe sana
Wooooooooow
A cool one.
Xo xweet be blessed
Nice
I need notes of mt.yosefu lilinde kanisa
Waoooow
Yosefu mtakatifu utuombee
Lilinde kanisa letu
Yousef mtakatifu
Kuimba Raha jamani asikwambie mtu
Eee kumbe mnajua kanisa litaangamia kwa dhambi zetu . Kwanza hamjafunika vichwa vyenu. Mchumba wake Yosefu mliona wapi ambapo hafungi kitambaa .. ??Yani Bikira Maria alikuwa na kitambaa kwa kichwa kila wakati. Fungeni vitambaa halafu mumwambie aliombee
Wimbo mzuri sana yaani sana nimejikuta naurudia mara kwa mara mbarikiwe sana kwa kuijnjilisha vizuri mno
Susan nyaguthili Imani yako haikotoshi unafikiri ukifunika kichwa ndo unakuwa huna dhambi? Na niwapi palipoandikwa ukifunika kichwa ndo unakuwa hauna dhambi? Wewe Kama ndini yako inakufundisha kufunika kichwa ndo kutokupata dhambi basi uendelee kuamini hukohuko.
@@Irene-qt5zq hahaha kbe wewe hausomi.Bibilia. . Soma Corinthians yote ndio utalna ni wapi mtakatifu Paul alikuwa anasema hivyo. Hamendi kukosolewa lakini hiyo ni lazima. Watakatifu wanawake wot wako na vitambaa kwa vichwa. Hiyo ni laxima wacha kukadirika bure. Kuwa na sauti nzuri na maneno ya nguvu hata ya kutoka kwa Biblia sio kusema hauna dhambi pia. Ee Eee ee. Pole sana ukwelu unauna.... hehehegehege Jamani ni lazima ukweli usemwe ..Hata wanishangaza ... Mwanamke mkatoliki anafaa afunIke kichwa akiabudu ama hata kwa misa akipokea . Mnaasha mnasahau mafundisho polepole. Kwani wafikitia Mimi ni muislamu unaniuliza mamno ya dini . ???
Mbona hiyo aya na mstari wake hausemi?
Nawe hujui kabisa
Vitambaa havimfutii mtu dhambi tumia akili. Hiyo ni jadi na desturi za middleEast na sio dini. Imeinguizwa kwenye dini kwasababu hao watume chimbuko lao ni Uyahudi.