JUICE YA KUONGEZA DAMU MWILINI KWA HARAKA✓✓
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- #Beetrootjuice #Healthylifestyle #Najlaskitchen
Ingredients/ Mahitaji
*Watermelon/tikitimaji
*Beetroot/Tundra damu
*Ginger/Tangawizi
*Spinach/Mboga
❤️ KINDLY SUBSCRIBE TO MY CHANNEL.. LOVE YOU ALL ❤️ STAY SAFE ❤️
Asantee Sanaa
Wow amazing nice too share like 👍 keep connected stay safe 😊 🙏
🎉asante sana Najla tunashukuru
Nice juice very delicious and simple to make
Asante dear.Nimejaribu ni nzuri mno.Stay blessed.
MashaAllah...skujua jina lengine la beetroot ni tunda damu..asante sana... nimejifunza jmbo geni
Shukran Sana
Tnx najlus kitchen you helps us alot
Wow! Look at that colour! So refreshing
Thank you dear 😊
Tangaeizi????nimeona vipi
Kutumia marangapi kwasiku ?
Wao.
Wow soo yummy and tasty
wow amazing vip kwa mtt mwenye sickl cell n je inawez dumu kw mda gn my dear
Nimeipenda
Mashallah mashallah najla, Shukran sana nice recipes 😋👌
Thanks dear ❣️☺️
🙏🙏🙏🙏
Maa shaa Allah
Mashaallah
Mashalla🙏👌
Juisi hii nimeipenda sana wacha tutie damu sasa 👌
Shukran sis tajiri❤️
inakaa kwa mda gan
Unaweza kuchemsha icho kiazi?
mashaallah mashaallah nitaifanya sasahivi hiyo nzuri sana asante kwa kutuletea mambo mazuri dear
🥰❤
Shukran dadangu 😘
Nzuri
Good
🙌🙌
Shukran 🥰
Asalaam aleikum warahmatullahi Wa barakatuhu dia. Na juice ya kuongeza mwili je 😅😅
Walykum salam warhamatullah wabarakat, ntaileta sooooon...thank you kipenzi changu 😘
👏🏽👏🏽👏🏽 nice.i must try.when should it be taken? morning and evening ama?halafu wanywa kila siku ama siku ngapi kwa wiki?
Take it after breakfast once a day for 5days🤗
Mimi nikitumia beetroot natapika cjui shida ni nn
❤
samahani naweza kusema ndimu
Inafaa kwa mtoto wa mwaka mmoja?
Yaani umenisaidia sana maana sna damu sasa hizi betret kwetu hazipo
hooo pole my dear uk wap dom yanapatikn
Thank nina shida ya damu umenisaidi mamy je nikitengeneza inaweza kukaa siku ngapi mpaka kuharibika au kuacha kuitumia
Mambo mam
@@abdulbeka2642 poa
Hujatia sukari
Haiwekwi sukar?
Hapana hauweki
Unaweza weka sukari?
Unaweza kuweka dear Ila sio Sana.. asante ❤️
Nc
Nimeipenda
Mashaallah