Othman Maalim - AJIBU KUHUSU MAULIDI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 108

  • @mikailomar
    @mikailomar 6 ปีที่แล้ว +4

    Siachi kukusikiliza ila mtume nampenda sana kuliko yeyote katika viumbe wa Allah na maulidi si katika dini

    • @allyhamisi4709
      @allyhamisi4709 5 ปีที่แล้ว

      Kwl

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 2 ปีที่แล้ว

      Kwel kabisa mtume tunampenda sana lkn maulid ni bidaa uzushi ata maswahaba walikuwa wanampenda mtume lkn hawakusoma maulid

  • @khalfansharji9790
    @khalfansharji9790 5 ปีที่แล้ว

    Ubaya wa mawahabi unaweza kuzipa nguvu imani za waisilamu kujuwa mambo mengi wasiyoyajua fungukeni masheikh tufaidike mashaallah.

  • @hamastien5439
    @hamastien5439 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah yashegh musimutuhum shegh othuman maalim kama nyie ndie munae toa hukum mwenyezimung ndie hakim ya ighiwan liisilam kama ww unaon hayafai anayosem huyu shegh bas usisikilize nawal usitoe hoja yoyot usijion ww unacho kifany kinamaan sn kuliko anacho kisem mwenzio yaban adam usimuhukum mwanadam mwenzio bal anapaswa kumuhukum ni allah pekee..izzat wajalal wabilah tawufiq

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 6 ปีที่แล้ว +4

    Eee. Alla usiwape nguvu waliokuja kuufarakanisha. umma huu uliokua umeshikana nakupendana Allah. akulinde Yaa shekh

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah sheikh Othman maalim,nayapenda mawaidha yako mazuri wallahi,Allah akuzidishie elimu na akuhifadhi inshallah.

  • @granazhashim3609
    @granazhashim3609 10 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah sheikh una hikma Allah akuzidishie tunahitaji sheikh kama wewe ktk umma huu,sio wanaojiita ahlul sunna waljamaa wanasubiri nan kaongea nin aanze kumchambua na kumuona hajakamilika ye ndo kakamilika hio sio dini wale ndo wanachochea chuki

  • @muhammadmjara6776
    @muhammadmjara6776 3 ปีที่แล้ว

    wew una nyowa ndevu umekuwa mwanamuke shekhe acha uzuka maulid nibidaa haiwezekani ukabadilisha ww

  • @birdofpry3897
    @birdofpry3897 6 ปีที่แล้ว +3

    Shukran sheikh wetu kwa kutuelimisha zaid na zaid

  • @rashidibrahim6763
    @rashidibrahim6763 7 ปีที่แล้ว +2

    shukran sana shekhe langu kwa ufafanuzi wako kuhusu maulidi,wenzangu acheni hoja zisizo na msingi huo ndo ukweli mutake musitake hao mashekhe wenu wanawapotosha,acheni kufanya dini kua nzito. mbona mwahudhuria musabbak nani kaweka mkusanyiko huo je ulikuwapo wakati wa mtume(saw).

  • @bdulkadirmahsen1826
    @bdulkadirmahsen1826 8 ปีที่แล้ว +1

    Nasikitika sana kama kuna watu waweza kumkejeli mtu muhimu sana kama Sh Othman Maalim mtu mwenye hikma na ilmu kubwa na hishma kubwa mtu mnyenyekevu amefungua mabongo ya watu wengi ondoweni chuki zenu na muwe waadilifu

    • @abubakarimwasumilwe7293
      @abubakarimwasumilwe7293 7 ปีที่แล้ว

      Othman ana elimu gani huyo ni mzushi tu..

    • @abubakarimwasumilwe7293
      @abubakarimwasumilwe7293 7 ปีที่แล้ว +1

      Mashekh wenye Elimu ni wale wanao shkimana na kitabu na Sunna. Sio mashekh Ubwabwa..

    • @shabanirasuli1367
      @shabanirasuli1367 5 ปีที่แล้ว

      Kua na elimu nisawa kuwa na hikma ni sawa but tuwache bid'ah hazifai tushikamane na qur-an na sunnah inatosha

    • @sumaiyalukuman3652
      @sumaiyalukuman3652 5 ปีที่แล้ว

      Bdulkadir Mahsen hongera

    • @rizikisalum9678
      @rizikisalum9678 5 ปีที่แล้ว

      Abubakari Mwasumilwe mzushi Ni weye

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 5 ปีที่แล้ว +1

    Asalam aleikum, kuna sheikh anaemfikia Sheikh Abdullah Saleh Farsy,ni mtu wa mwanzo aliyeutafsiri msahafu kwa kiswahili,na akatuasa makosa mengi yaliyokuwemo ndani ya kitabu cha maulidi ya barzanje,tena kwa ufupi aliyapinga,kwa haya maneno mazuri ya kupanga na kuvutia, hayatohalalisha barzanje, kwa kuwa kimeandikwa kiarabu,na yeye anajaribu kuleta ufasaha wa kiarabu kwa hawaa zake, mfano mdogo tu,maulamaa wa makkah muharram na madina munawari, hawakubaliani ma maulidi na ni marufuku,ni Bora kama ana ufahamu huo ,angekwenda huko kuwafundisha yale aliyoyaona yeye yanafaa,tuone itakuaje, lakini hilo hathubutu na wala hatothubutu,ataishia humu humu vijiweni,na yeye anajua hilo,huko ikiwa kiarabu basi huko atatolewa ngozi walizokuwa masahaba wa mtume wakiandika,asalam aleikum

  • @khatwabyshabani5592
    @khatwabyshabani5592 6 ปีที่แล้ว

    Sheikh nakuelewa vizuri Sana Allah awasameh Woooooote wanaokubeza lakn kweli wanaisikia Sema Kweli japo inauma penda Sana sheikh wng

  • @abtwahirkachabtwahirkach7389
    @abtwahirkachabtwahirkach7389 5 ปีที่แล้ว

    mungu akuzidishie na salaam zako kwa watu wa dodoma

  • @abuahmad1206
    @abuahmad1206 6 ปีที่แล้ว +3

    Shekh uthman wallah khutba zako ni nzur sanaa lakin mambo ya maulid hayapo kwenye dini

  • @fayzal-amoudy6285
    @fayzal-amoudy6285 3 ปีที่แล้ว

    Mashaa'Allah Tabaaraka'Rahman

  • @amalakh1990
    @amalakh1990 12 ปีที่แล้ว +1

    mashallah sheikh ,,,nakukubali 100%

  • @abdulazizqasim7815
    @abdulazizqasim7815 9 ปีที่แล้ว +1

    Allah akujaalie umri mrefu sheikh Uthmaan

  • @ankaldally2734
    @ankaldally2734 5 ปีที่แล้ว

    Maulidi ya kukata viuno.dah kwahyo maswahaba nawao walikua wakifanya ivo😭

  • @sadikmohd2484
    @sadikmohd2484 5 ปีที่แล้ว

    Acha pumba izooo...,matamanio k2kibaya jihadhari sheikh

  • @SalimSalim-uk9dr
    @SalimSalim-uk9dr 9 ปีที่แล้ว

    mashallaha shiekh Allah will keep u and ur family inshallah

  • @SwalehSaleh
    @SwalehSaleh 10 หลายเดือนก่อน

    Kwenda ww maulid bad'aa

  • @ashaali4881
    @ashaali4881 9 ปีที่แล้ว +4

    SHEIKH OTHMAN JAZAK ALLAHULKHER

  • @amanikhoja8305
    @amanikhoja8305 10 ปีที่แล้ว

    MASHAALLAH TUPE CHAKULA CHA ROHA MAALIM UTHMAN ALLHA AKULIPE

  • @risalanuhu1639
    @risalanuhu1639 8 ปีที่แล้ว

    mungu akupe maisha marefu

  • @sabrinayounisaden6413
    @sabrinayounisaden6413 8 ปีที่แล้ว

    JazaakaAllah khair sheikh Othman

  • @kandii7317
    @kandii7317 11 ปีที่แล้ว

    Jazakallah ya. Sheikh

  • @doctormbaruku8081
    @doctormbaruku8081 6 ปีที่แล้ว

    Jaazak llahu khayr

  • @perrychicken5876
    @perrychicken5876 7 ปีที่แล้ว

    Allah reward you jannah

  • @alisaid2525
    @alisaid2525 8 ปีที่แล้ว

    Nyie munaopinga ni chuki tu na kupoteza watu shukran sheikh othman maalim

    • @abubakarimwasumilwe7293
      @abubakarimwasumilwe7293 7 ปีที่แล้ว

      Ali said.. kasome acha ushabiki.. Maulidi ni uzushi haina mashiko

    • @QuranAyat24
      @QuranAyat24 5 ปีที่แล้ว

      Ibn taimiyah na ingia youtube search
      Said hamoud itaona mdahalo wa maulidi

  • @salimmizungu9668
    @salimmizungu9668 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @jokhanassor3507
    @jokhanassor3507 6 ปีที่แล้ว

    Allah akulinde sheikh othman

    • @musaramadhani9884
      @musaramadhani9884 4 ปีที่แล้ว

      Shehk othumani uko sawa kabisa kwakua mapenzi ya kweli kwanza mtume namba moja.uma huu mapenzi yao yako kwenye pesa mali wanawake watoto wao ndio maana hata imekuja korona

  • @TheAmadoni
    @TheAmadoni 10 ปีที่แล้ว +3

    Mwaonesha mapenzi ya Mtume Saw kwakukata mauono na.ngoma !!!

  • @abdiwahababdillahi8089
    @abdiwahababdillahi8089 8 ปีที่แล้ว +7

    i love sheikh othman maalim and have learnt alot from him but sheikh moulid ni uzushi but that doesnt mean ntaacha kukuskize lakini kwenye uzushi itabidi nikupinga.

    • @mozain9892
      @mozain9892 5 ปีที่แล้ว

      Abdiwahab Abdillahi.duh habibu maneno mengi wala hayaeleweki kiufupi na hao watu wamakkah na waje huku wafundishwe sabab sio kua hawajui ila wanafata hawaa zao

  • @wardalward3693
    @wardalward3693 7 ปีที่แล้ว

    Allahu kabnar

  • @ibnuhidaayah1198
    @ibnuhidaayah1198 9 ปีที่แล้ว

    Eti simpendi tena shekhe othmani kwani kama hukumpenda wewe anapungukiwa nini , basi mpende yule mwanafunzi wa vetenari

    • @othmanimsuya810
      @othmanimsuya810 8 ปีที่แล้ว

      Ni kweli wengi wamezoea kudanganywa wakianbiwa ukweli kama hivi wanajida kumchukia mtu

    • @omarkhamis9514
      @omarkhamis9514 5 ปีที่แล้ว

      Vetenari? Sasa inahusikaje hapo?

  • @rajabkapopo630
    @rajabkapopo630 8 ปีที่แล้ว

    Allah amzdshie shekh uislam n ilmu n mtumi muhammad s à w watu weng zam hz wamvkosa wanajtia uislam w kanzu fupi n vijidevu vya kiwahabi...hatueozan n wajinga tutakuw wajng cc

    • @abubakarimwasumilwe7293
      @abubakarimwasumilwe7293 7 ปีที่แล้ว

      Wasoma maulidi wote nikama mashia tu... mfumo wa saw

    • @khamisadam58
      @khamisadam58 7 ปีที่แล้ว

      rajab wachaka uzuka usimkosope mtume fanya adabu nifs saak ni sunna ya mtume na kufuga ndevu pia rudi kwa huyo mwalimu wako umuulize vzury juu ya haya maswala na uovu wa kuvikeuka kisha uje ubwate hapa

  • @amazoneissa9940
    @amazoneissa9940 6 ปีที่แล้ว +1

    asalam alaikum sheikh mimi naishi Congo Dec sehemu inaitwa lubumbashi sasa nauliza maulidi ni haramu au siyo haramu

    • @shabanirasuli1367
      @shabanirasuli1367 5 ปีที่แล้ว

      Asalam aleykum mi naomba nikujibu hivi rafiki maulid ni bid'ah yani uzush alioukataza mtume bibana hayakuwepo wakati wa karne 3, bora zama za mtume na maswahaba, zama za maswahaba na hata zama za maimamu wa4 so maulidi na mfano wa hayo ambayo hayapo katika dini na dili ilisha kamilishwa wakati wa mtume na maswahaba so hayo mapya katika dini ni bid'ah yani hayafai kufanywa

    • @rizikisalum9678
      @rizikisalum9678 5 ปีที่แล้ว +1

      Amazone Issa maulid sio kharam

  • @user412
    @user412 6 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sheikh wangu lkn Maulid hayamo katika Diniii na sio ibadaaa

    • @motivationalnation7571
      @motivationalnation7571 6 ปีที่แล้ว

      na musabaqatul quran iko

    • @abeidmdimu4407
      @abeidmdimu4407 6 ปีที่แล้ว

      soma

    • @kidaumtumbwi1128
      @kidaumtumbwi1128 6 ปีที่แล้ว

      Khatab unafahamu Ibada ni nini?

    • @allyhamisi4709
      @allyhamisi4709 5 ปีที่แล้ว

      Na mm napend san san shekh lakin mm ktk maulid n mm cipo

    • @allyally5156
      @allyally5156 5 ปีที่แล้ว

      @@allyhamisi4709 nye nidini tofauti mnawezana nyie tuu,, unatumia simu ilikuwepo, leo msaafu jalada baada ya jalada vilikuwep?mtume alilala chini unafanya hivyo ,leo kuna magari wewe una ngamia,,,inalaaa wamalaikatu yuswaluna ghalanabii yaaayuhaladhina amanu swalu ghalai waswali mtasilima

  • @suleimanbakarramadhan4042
    @suleimanbakarramadhan4042 6 ปีที่แล้ว

    Tukitaka watu wooote wawe sawa tutaipinga kauli ya mtume alosema utagawika umma wangu katika makundi 73 yoote yatakwenda motoni ispokua kundi moja tu atakaefanya kama nlivyofanya mimi na walivyofanya maswahaba wangu sasa shekh othman ana kundi moja wapo na wafuasi wake na mohd bacho ana kundi lake na kuna watu wa qaadiria na hoja zao hayo mtume swalla llwahu alayhi wa sallam alishayasema kubwa tuangalie tu nani kati yao anafanya mambo yake kama alivyofanya mtume na maswahaba zake

    • @rajabmakame1187
      @rajabmakame1187 6 ปีที่แล้ว

      Suleiman Bakar Ramadhan swadaqta akhy

    • @mwechizumbabaraka5165
      @mwechizumbabaraka5165 6 ปีที่แล้ว

      Kweli ila mtume {S.A.W} alisema umma, na umma sio waislam2 bali n wote ambao wapo sasa ivi, inamaana ata awa washilikina, wasio na din, wanaohabudia masanamu,, lakn uksema umma n waislam2 wakat wakat huu kuna wa2 mbal mbal wanadin mbali mbali, umma n wote na sio kikundi cha wa2 wachache

    • @issambamba6955
      @issambamba6955 6 ปีที่แล้ว

      Alafu kundilenyewe linalofanya maulidi,ukiona we ufanyi maulidi basi jiandae kuungua!!!

  • @buashraf
    @buashraf 13 ปีที่แล้ว +1

    @uislamsafi Pengine yamenipita na huenda simjui huyu shekhe vizuri, ni sunna zipi za mtume ambazo huyu bwana hataki?

    • @fatumaomar8763
      @fatumaomar8763 6 ปีที่แล้ว

      Asalamu slakumu warhm tuwah wabarakatu

    • @swafiyaahmed3708
      @swafiyaahmed3708 6 ปีที่แล้ว +1

      @@fatumaomar8763 wasoelewa hawaelewi

  • @jumaashabani7788
    @jumaashabani7788 9 ปีที่แล้ว

    sio wakati wa kugombania mikao na kuoshana elimu tulokua nazo,, makafiri wanatumaliza mbona mashekhe hawasemi.. kazi kutufurahisha tu na yale wanayo yataka. jadilini na hili basi

  • @fuadbilal5322
    @fuadbilal5322 10 ปีที่แล้ว

    Maulidi ni uzushi

    • @bimalkumarruia1282
      @bimalkumarruia1282 8 ปีที่แล้ว

      oral sex.

    • @salmagogo9967
      @salmagogo9967 7 ปีที่แล้ว

      Fuad Bilal msahafu pia uzushi mbona unautumia? mashindano ya qurani pia uzushi mbona mnashindana na kushindanisha? hebu niambieni lini na wapi mtume aliwashindanisha maswahaba Quran!?

    • @salummwalim6288
      @salummwalim6288 6 ปีที่แล้ว

      Ndio uzush ila kila kizishacho hakifai jmn embu tumshwalie mtume saw

  • @perrychicken5876
    @perrychicken5876 7 ปีที่แล้ว

    Huo ni mfumo wa makafiri, CCM

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtu ananyoa Ndevu Halafu Anasema Anampenda Mtume.
    Hahahahahah
    Mbona Wachukia Ndevu???

    • @9119-r4t
      @9119-r4t 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

    • @makambashekilindi2110
      @makambashekilindi2110 5 ปีที่แล้ว +1

      Shekhe waanbie maana wanazuoni Wote wanasema inafaa wenyevitabu viwili wapinga hats enzi za mtume walikuepo

    • @ankaldally2734
      @ankaldally2734 5 ปีที่แล้ว +1

      😁

  • @muhammadmjara6776
    @muhammadmjara6776 3 ปีที่แล้ว

    tunawakumbusha enye watu wabida muache kutakata viuna kama wanawake hakuna ibada inayo itwa maulidi unapingana nasuna hii misufi haina elimu

  • @MohammadJahadhmy
    @MohammadJahadhmy 11 ปีที่แล้ว +1

    mashallah Allah akujazi kila la kheir.. Umewauliza maswali mazuriiiiiiiii ..... nani aliweka mashaf....musaabaqatulquran...iftitaahaljalasaat bilquran.....aqsaamuttauheed.....munaopinga mauled mjibuni kama muna majibu........ Nyie mumejazwa chuki na masheikh wenu... wanawafundisha mambo wanaotaka wao na wasiotaka wanayapinga na kudhaifisha hadith... Ibn taymiyah sheikh wenu ameyakukubali mauled , nyie mwasoma vitabu vya ibn taymiya mbona hamufati maneno yake kuhusu mauled?????????
    Tahajjud kwa jamaaa ni sunnah?????????? na nisunnah ya nani??? imeanzishwa na nani???
    Musabaqah wa quran ni sunnah?????????
    @Ali Rashid ndugu yangu bidaa imegawanyika kuna bidaaa nzuri na dhalal........ Soma mauled ndugu upate furaha ya moyo.
    Swallu ala nnabii.. Allahumma swali wasallim alayh...
    Ambae hakumswalia mtume baada kusoma my comment huyo amejazwa chuki.......... ndevu ni sunnah si faradhiiiiiiiii...... wacheni siasaaaaa. wewe unaesema sh.. athman maalim hafugi ndevuu.... wewe wafanya sunnah zote???? Kuna sunnah nyengiii ndugu mtu afanya awezalo kwenye sunnah na yote ya faradhi.. sasa wewe ndevu ndio umeshikilia???? je unao mswaki hapoo??? je umefuga nywele ndefuuuu?????? hizo ni sunna piaaa.... wacheki siasa za chuki

  • @azytamim649
    @azytamim649 11 ปีที่แล้ว

    kumpenda mtume ni kumfata matendo yake including kufuga ndevu na aloyasema sio kumpigia madufu.Ilmu unayo itumie vema kuelimisha.

  • @amanikhoja8305
    @amanikhoja8305 10 ปีที่แล้ว +1

    THE AMADONI NENDA KASOME MAANA UCHACHE WAKO WA ELIMU USITUSUMBUE USIAMBIWE KAA DARASANI USOME ACHA UJINGA

  • @Ndambwe1
    @Ndambwe1 11 ปีที่แล้ว

    huna hoja unafata hawaa yako usifikiri unatoa hadithi za abunuwasi kuwa na msimamo kitu kama hakifai usiogope mtu kiseme usimtii kiumbe ukamuasi muumba.....

  • @dianamonty4744
    @dianamonty4744 11 ปีที่แล้ว +1

    watu wasome wawache chuki...nani aliweka mashaf....musaabaqatulquran...iftitaahaljalasaat bilquran.....aqsaamuttauheed.....

    • @alirashid4291
      @alirashid4291 11 ปีที่แล้ว

      Othman maalim nilikua nampenda sana na mawaidha yake lakini mambo ya maulidi mimi simunge mkono kutokana na ile hadith ya bibi Aisha alipo sema atakae zuwa mambo ambayo hayamo katika dini yetu atarushiwa mwenyewe inabidi ubadilishe ya Othman hakika wewe ni maalim mkubwa sana mimi nakukubali wallah itakuwa vizuli

  • @rashidibrahim6763
    @rashidibrahim6763 7 ปีที่แล้ว

    kama mtu hataki kufuata maulidi ni sawa kwake kutofuata likini ni makosa kumkataza mwenzie asifuate, mtume(saw)hakuleta mtafaruku baina ya waislamu. acheni kugawanya waislamu mutakwenda kuulizwa suala hili la kugombanisha waislam.

    • @mubirumustafa6679
      @mubirumustafa6679 6 ปีที่แล้ว

      waislam hainahaja yakuvuta hata mtume swala Allahu alaihi wasalama aliambiwa na Allah wambie ukweli kutoka kwa mola wao atakaesikiya au atakaetaka atafata au ataacha ama akufuru hakika madhwali tumeandaliya moto ilaa aakhiril aya

    • @shabanirasuli1367
      @shabanirasuli1367 5 ปีที่แล้ว

      Asalam aleykum ndugu nikuweke sawa, kumkataza mtu na bid'ah ni sawa, kumpenda mtume si kwa nyimbo ndugu kumpenda mtume ni kwa qur-an na sunnah tu bas

  • @rizikisalum9678
    @rizikisalum9678 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallah