SAA YA DUA #7 SIKILIZA KISOMO CHA KIAPO CHA KUFUKUZA MAJINNI NA WACHAWI MWILINI NA NYUMBANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 42

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 2 วันที่ผ่านมา

    Yaa Allah naomba kupitia kisomo hiki nifunguliwe vifungo nilivonavo katika mwili wangu na uwafungue na wanangu wote wawe wenye kufanikiwa katika harakati za matafuto yao 🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲

  • @nellymethews4111
    @nellymethews4111 18 วันที่ผ่านมา

    Yaa Allah naomba kupitia hiki kisoma mfunguwe mwanangu apate safari ya kazi, subhana Allah 🤲🙏
    Naomba pia kupitia kisomo hiki mwanangu wakike ya rabi apate mume subhana Allah 🤲🤲🤲🙏🙏🙏

  • @fatumasilaji4467
    @fatumasilaji4467 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukuran sheikh 🤲🤲🤲

  • @najmagoa4727
    @najmagoa4727 3 ปีที่แล้ว +7

    Shukran ustadh kwakisomo chako mungu akuzidishie maisha marefu

  • @OmAn-cz8kt
    @OmAn-cz8kt 2 หลายเดือนก่อน

    Amin

  • @salimmahfudh4534
    @salimmahfudh4534 2 ปีที่แล้ว +2

    Aaleikum naomba kisomo Cha kufungua vifundo vya kufungiwa riziki,nyota na mengineo Inshallah.

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 3 ปีที่แล้ว +2

    waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. masha Allah tabaraka Allah.Shukran jazakaAllahkheir sheikh sheikh wetu kwa Dua. Ameen yaraab alamiin. ❤❤❤❤❤

  • @tumaramadhani8347
    @tumaramadhani8347 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah jazaka Allah kheir Amiin Amiin Allah Atuondolee maradh na mitihan inayo tusumbuwa kwenye maisha yetu

  • @AbdullahiMuhammed-ns8nl
    @AbdullahiMuhammed-ns8nl หลายเดือนก่อน

    Mashallaha

  • @rukiamohamad8196
    @rukiamohamad8196 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Allah akujazi kher kwa kisomo chako Allah atufanyie wepesi atuondole matatizo mungu akufungulie kila la kher🤲

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 หลายเดือนก่อน

    Shukrani yaarabi

  • @eeee1448
    @eeee1448 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Nice

    • @BibiKassim-dw5ph
      @BibiKassim-dw5ph หลายเดือนก่อน

      Masha Allah Waze Wana nikiimbiya sahii baadhi yawo❤❤❤

  • @hamidamnyika5866
    @hamidamnyika5866 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mashaallah

  • @zubedatatu7852
    @zubedatatu7852 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Shukran Jazaqallah kher Sheikh

  • @LatifahMwijaa-tj9sr
    @LatifahMwijaa-tj9sr หลายเดือนก่อน

    Shukran ustadh nipo kenya Msa nitapatapi mafuta huku

  • @ujumbewaallahonlinetv5166
    @ujumbewaallahonlinetv5166 3 ปีที่แล้ว +4

    Hakika hiki ni kiapo chenye nguvu mno

  • @hadija4867
    @hadija4867 ปีที่แล้ว

    Asalam aleykum naomba dua yakuniponesha macho kuuma,kuwasha kuwakamoto , miba ,na changarawe

  • @hamisi1374
    @hamisi1374 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi 9 หลายเดือนก่อน

    Shukran shekhe

  • @FatmaBuda-q8r
    @FatmaBuda-q8r 2 หลายเดือนก่อน

    Asante kakaangu kwakisomo

  • @wemahamadi7847
    @wemahamadi7847 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani sheikh kwa
    kutuletea huku Kenya mda

  • @bintshariffmuhammad620
    @bintshariffmuhammad620 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa kisomo JazakaAllah khairan
    Tafadhali naomba hii dua`a uitume kwa kusoma nikitaka nisome mimi mwenyewe

  • @anwarabduullahrawahi2067
    @anwarabduullahrawahi2067 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashallah

  • @عائشهحسين-م1ح
    @عائشهحسين-م1ح ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @haridirajaburajabu1017
    @haridirajaburajabu1017 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @munaisa5850
    @munaisa5850 2 ปีที่แล้ว

    Amiin🤲,shukran

  • @hawerlinasalum35
    @hawerlinasalum35 3 ปีที่แล้ว +1

    Xhukurie Dr

  • @RashidAlmas-zo3md
    @RashidAlmas-zo3md 5 หลายเดือนก่อน

    Mim nashida na icho kitabu

  • @jamilanjumwa715
    @jamilanjumwa715 ปีที่แล้ว

    Salamu lekum kiukweli ningependa utufanyie kisomo hiki kwa familia yetu kila mwaka ni lazima mtu afe hatujui mwaka huu ni nani tafathali tunaomba musahada wako

  • @hadija4867
    @hadija4867 ปีที่แล้ว

    Asalam aleykum naomba dua ya kuniponesha jicho kuuma,kuwasha ,kuwakamoto na miba

  • @munaisa5850
    @munaisa5850 2 ปีที่แล้ว

    Amiin

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 2 ปีที่แล้ว +1

    Acheni nyambu.....acheni kujifananisha na manasara

  • @anwaralrawahi7673
    @anwaralrawahi7673 8 หลายเดือนก่อน

    namba kwa oman naomba mawasiliano ya kupata mafuta

  • @munaahfarina2934
    @munaahfarina2934 2 ปีที่แล้ว

    Waleikumsalam warahmatullah wabarakatu miswali langu lipo apa kwasisi tulioko uarabuni jee itakuaje sababu waarabu wengi majini ndio chumo lao cha kuskitisha zaidi wana2mia wafanyakazi kama mabibizao nawakija wanakuja kivyovyote yani mimi mwenye mahali nilipo nnamtihani ila nashkuru alhamdulillah 🤲 ruqia zafanya kazi ila kukamuliwa subhanallah ☝️majumba Yana mambo ndiposa utasikia baadhi yetu wengine Wana pagawa mana utakumbana na joka katika room nawana kwambia weulikuja kazi inabidi ulioshe nakulipa chakula wallaih 🙏 kuna wa2wana pitia ila inshallah ntakutafuta WSP miniko bahrein inlikua Qatar halinihio hio kupigana navitu vyajabu ajabu ikifika saanane saasaba naasaa sita mpaka saatisa subutu hakuna kulala ila alhamdulillah mi Muslim Quran ndio Kinga yangu na swala alhamdulillah saii 4yeas

    • @salmamohammedyahaya6098
      @salmamohammedyahaya6098 ปีที่แล้ว

      Lakini Rudi nyumbani kwanza ,Mimi naliaga pekeyangu.

    • @yasirsaid8464
      @yasirsaid8464 ปีที่แล้ว

      ALLAH akufanyie wepesi akuondoshee maradhi yote

  • @uwamahoroziyada805
    @uwamahoroziyada805 2 ปีที่แล้ว

    Assalam alikum warahmatullah
    Naweza kusikiliza katika siku zangu wala nikusikiliza nikuwa na uzu tu

  • @saidakomba
    @saidakomba ปีที่แล้ว

    Hizo dawa tutapata wapi