Vijana asanteni sana kwa kuuenzi Muziki Mtakatifu Katoliki Tanzania. Mumeuimba kisasa zaidi, kwa maboresho 'matakatifu' yasiyotutoa kwenye asili yeti. Big up! Big up! Yaani safi sana. KUMBE, UKWAKATA BILA SEBENE INAWEZEKANA . Yap, improvisation iko katika misingi ya Kanisa, kwa kweli mko vizuri.
binafsi mumenibariki sana kupitia huu wimbo
Wonderful voices 🎉
Tz mpo wakwanza barani afrika kwa kuimba vizuri
🙏🙏🙏🙏
Mkifanya nyimbo za Mgandu Mtaanza kuwa marafiki zangu ❤️❤️❤️❤️
Kazi njema ya Uinjilishaji, Mubarikiwe
Najisifu kuwa mimi nimkatoliki
Vijana asanteni sana kwa kuuenzi Muziki Mtakatifu Katoliki Tanzania. Mumeuimba kisasa zaidi, kwa maboresho 'matakatifu' yasiyotutoa kwenye asili yeti. Big up! Big up! Yaani safi sana. KUMBE, UKWAKATA BILA SEBENE INAWEZEKANA . Yap, improvisation iko katika misingi ya Kanisa, kwa kweli mko vizuri.
Hongera kwa kazi nzuri ya uimbaji bora. Barikiwa sana.
As usual Tanzania mko 🔥 kwa uimbaji
C'est bon et très bien d'être connecté à la musique chrétienne tanzanienne.
Ushirombo nyumbani
Hongereni sana kwa majitoleo yenu ya uimbaji
Wonderful
Mko vizuri ila quality ya video haijakaa SAWA. Go on
Hongeren sana sana napenda navyoimba jmn
Safisana nyimbo za wazee wetu
Mmeimba vizr sana
Bonge la wimbo hongera bro Ludo🙌🙌🙌🙌sichoki kuutazama
Hiki kibao cha wimbo, kimekaa vizuri. Big up to singers
Safi sana!
Mama Irene hajawahi kufeli kwenye suala la pumzi.
Big up kwenu.
Good job ❤ family of God
Kazi nzuri
Amazing voices 👏👏👏👏
Mmeutendea haki huu wimbo🙌🙌
Mungu awabariki san🙏
Mungu awabariki sana
Hongereni sana, kwa kweli nabarikiwa
binafsi mmenibariki Sana kupitia huu wimbo mubarikiwe nanyi pia