OCEANIC SOLAR WATEMBELEA UFALMENI NA UJUMBE MZITO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Timu ya Masoko kutokea Oceanic Solar wamefika ufalmeni leo Jumapili, kubwa likiwa ni kutoa elimu juu yaa matumizi sahihi ya bidhaa zao pamoja na kuwaeleza watanzania bidhaa mpya ambazo wako nazo kwasasa.
    Ni katika kipindi hiki ambacho dunia inasisitiza matumizi ya nishati safi isiyoharibu mazingira kutokana na uwepo wa mabadiliko ya tabianchi, lakini pia kipindi ambacho watanzania wanahitaji umeme wa uhakika wakati wote.
    Macron Solar ambao ndio wazalishaji wa bidhaa za Oceanic Solar, betri za Voltimax kavu na za maji wamezieleza bidhaa nyingine nyingi wanazozalisha ikiwemo Televisheni za ukubwa tofauti, sabufa, redio na taa zenye mwanga wa kutosha kwaajili ya kujisomea na uhakika wa mwanga majumbani.
    Oceanic Solar, wanakuhakikishia bidhaa zao ni bora na ni Umeme wa "Uhakika wakati wote"
    #kingsfmradio #jisikiemfalme #NipoTayari

ความคิดเห็น • 6

  • @jastiningonyani1609
    @jastiningonyani1609 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @gibogb5637
    @gibogb5637 ปีที่แล้ว

  • @user-lc8cw9jb5z
    @user-lc8cw9jb5z 2 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana iringa hamuna wakana na kama yupo naomba namba

  • @jastiningonyani1609
    @jastiningonyani1609 หลายเดือนก่อน

    Mimi naitwa justine ngonyan nikiwa mbinga ruvuma Tanzania nahitaji Inveta wt 6000na kontroo chaja

  • @LilianSanga-rr1yu
    @LilianSanga-rr1yu 5 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji hiyo sola mnapatikana wapi mimi nipo njombe makambako

  • @rajabukimosa3377
    @rajabukimosa3377 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo hii Radio ni ya King Kiba au jina tuu??