NJOMBE: WANANCHI WAZINGIRA GARI LINALODAIWA KUBEBA WEZI 5 WA BAJAJI KUSHINIKIZA RC MTAKA ATOE TAMKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @FredymaswiMwita-oj6gv
    @FredymaswiMwita-oj6gv 21 วันที่ผ่านมา

    jeshi la polisi kuna maswali meng😅kuliko majibu..hadharani mna ndimi mbili..kama wanasiasa

  • @FredymaswiMwita-oj6gv
    @FredymaswiMwita-oj6gv 21 วันที่ผ่านมา

    mbona wachadema mnapiga hamuogopi haki za binaadam?

  • @matesosamwel6685
    @matesosamwel6685 22 วันที่ผ่านมา

    Aiseee

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 22 วันที่ผ่านมา

    Mm mkuu nimekuelewa lakini polisi kwa nini wwa achie toa tamuko

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 22 วันที่ผ่านมา

    Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe.

  • @AmosPedeshee-gn7gc
    @AmosPedeshee-gn7gc 22 วันที่ผ่านมา

    Kazi iliopo kwa sasa wale wote wanaofanya makosa ni kuwaua tu hata hivyo tupo weng sn

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 22 วันที่ผ่านมา

    Police wetu ndivywo walivo nyinyi vumilieni tatizo rushwa

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 21 วันที่ผ่านมา

    Police wanakamata mahakama inawaachia

  • @RichardMadebe-f1m
    @RichardMadebe-f1m 21 วันที่ผ่านมา

    Msilaumu police tatizo ni serikali huo ni mradi wa police kujipatia kipato hamjasikia kikokotoo? Hawalipwi madeni yao uhamisho posho za safari nk wafanyeje? Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake jamani

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 22 วันที่ผ่านมา

    Hii ni ushahidi kuwa sirikali iko bussy na fyama fya upinzani.

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 21 วันที่ผ่านมา

    Chapa selikali imeshindwa wa na nchi tujilinde na wajinga