TRICKS Ni Tricky Kwenye Mistari Hatari Ya Gere Refix Ya Tanasha Na Diamond Platnumz | Muzadde Tuva
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 มี.ค. 2021
- "Kuna wasanii na kuna wanamuziki. Huyu hapa ni mwanamuziki mwenye uwezo wa kurap, kuimba na kutayarisha muziki. Ana ujuzi na ndio maana Mzazi nampa ngazi apande maana juu ndipo anapostahili kuwepo. Kutoka chini ya maji Kilifi, Nairobi to the World, namvika taji TRICKS HR, msikilize maana utamhitaji. Mashairi bila kukariri wala kuyafikiri, rapper kamili ndio maana yuko na #Muzadde Willy." ~ Willy Tuva
#MsetoChipukizi WATCH YOUR FAVORITE SHOW IN EAST AND CENTRAL AFRICA , #MSETO_EAST_AFRICA NA #MZAZI_WILLY_M_TUVA - บันเทิง
Tricky anaweza sana. Bongo fever ndio imefanya nijue Kenya is not a joke. He is on point. He’s supposed to do something with OG
pure talent...afer hii watajua talanta zatoka Kilifi
Uwezo talanta ziko kilifi 🔥🔥🔥🔥
Muzaziii TAG diamond/WCB this guy is🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥frm🇹🇿
HONESTLY TUVA....EVER MET SUCH A RAPPER BEFORE?????JIBU TU
Tricks nimecheki ngoma zake ni noma🔥🔥
Itakua Poa willy utafite upcoming artists only Kama hawa juu mastar already tunawajua u made a great job and the boy is so amazing big up to tricks
Raundi hii watajua talanta zatoka kilifi...... 🔥🔥
Big up Tricky -Kilifonia represented!
Anajua sana mkali kaka muzade uyo jamaa dhahabu
Asante sana kwa kumpa support
This dude is talented... 👌 Kilifi keep it up.
Makali
Rapper mwenyewe #Fantastic
Enyewe huyu ni mwanamuziki. Kazi nzuri mzazi
Mwenzenu huyoooo ndani ya wasafi
❤❤❤Kenyans to the world
Leo mseto am happy coz naona n upcoming
Sio lazima matusi ndio uskike kijana anaeka maneno safi na anaeleweka
Tricks uwaga mnoma🔥
Kiliphonia Jiji la vipaji,,,big up bro
Tricks Hr........ 🔥 🔥
Tricks to the Top
wow kazi safi jo
buda that guy can flex verses on point it's beautiful
kaza Mwanangu Uko vzuri
Mwanangu hapa sipingi kabisaaa nasko serious manze
You nailed it my all time favourite raper anga za pwani
Sanaaa KILIFI to the world
This is the best gift you ever given to kizazi kipya...may Allah o0en doors to Mzadde...
Safiiiiiii
Raw talent and gifted with the skill
Lyrical poetic heart. Tricks to the World..
This is the another OG....OG need this guy
Mkali weee 🎉🎉
Iko sawa kabisa!
This G should be paid in dollars 💵💵💵
Real talent 🔥🔥
Nomaaaa saaana
Sanaa weee Tricky dee
thnks willy {mseto East Africa} for supporting tricks,kijana hataku disappoint na siko
serious mazee 003
Talent maze🎉
Wanaona gere🔥🔥🔥🔥
Hommie ..big up 💯
Nomaaaa
Salute Tricks
Of course, Tricks ni Tricky 🔥🙌🏽
Ako poa big up HOMMIE💪
One of my finest artist in coast
Pure talent, kilifi is tained up
Kuna giza Ta na asha ka donna hii umedeliver 🔥🔥🔥
Moto sana blood
Motoooo🔥🔥🔥🔥👀
Tembea Kilifi. Tembea Bamba.
Pure talent
Bring him back bana
I killed this beat in one of my songs....wish ningefanya collabo nayo na Tricks
This guy iz just lit..raw talent🔥🔥
No lie
Anastahili kuvikwa taji hii itatesa anga
Mungu nakuomba huu mwaka usiishe huyu kijana afikie ndoto zake. Itakua aibu na kitu chakuvunja Moyo kama talanta hii from a young Genius from 003 itapotea kama ya Kimbo. Tumshkeni mkono hii talent ni international aenuke ashike wenzake 003 talent ziko.
Huyu ni moto🔥🔥🔥
Let's share this and tag some people.. this guy is good... I see Rapcha from tz in him. If he gets the right people he is a big deal.
Nice one
Mkali sana
wueh🔥, my 🐐
Beast🔥🔥 @tricks.hr ❤️💯
Big up unajuwa 💥💥💥
Aim higher this is excellent
Ameweza💯
Big yp
Unaflow kaka,,good work
Very talented guy 💯✔️🔥🔥🔥🔥
pure talent.. msimchukulie poa kijana anatisha sana, we gat you trikide💥
Talent zko kilif ni sapot ndo hazipo but Kijana yuko 🔝
Hii ni noma!
Pure and raw talent🔥🔥🔥🔥
Huyu ni mkaliii💥
Huyu jamaa akilatana na Zero Sufuri , studio kutawaka moto walahi
🔥🔥🔥
Safffiii Sana bro
Safi sana mzazi Willy thuva
This young star ✨ is MAAD baddest yana watakubali mzee
Kali sanaaaa 🔥🔥 🔥
Tricks🔥🔥🔥
Will tuva shikilia huyoo dogoo
Talantaaaaaaa
Tricky trickiDee naha yuko serious mazeee
Saa imagine akiwa serious 😂😂
Watching from franfurt Germany
🔥🔥🔥 OG wa Coast
Oya mzazi kuza hiki kipaji nasikizia kutoka 002 Tiwi
My favorite rapper right now tricks 💯💯💯
Mzazi lea na ukuze hicho kipaji, upcoming ila kama vile yupo tangu zamani
waaazi muzadee aminia talanta zatoka 003
The guy is soo gd ..let's support pls...kilifi stand up🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶 good music....nacko crious lol🤣🤣🤣🤣🤣🤣"vipi pengo la mavoko" kaka Mondi muckie kijana huyo....
Tricks 🔥🔥🇰🇪❤️
Tricks de juu sana mwana
Stima...
😂😂😂nimekwama hapo taa naasha nadona🤣🤣🤣 confusing lyrics lakini ziko juu
Trickyde to the world
Big up sana tricky na siko serious maze🔥🔥💯nakuombea sana bro
Nakubali mkaka 🙏🙏
Tricks to the world 🎶🎶
Aaaaajab sana mzee baba
Eeeeyyy 💥💣💥 #Tricks
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥