Binti Yangu | Tafadhali Kila Msichana Anapaswa Kutazama Hii | A Swahiliwood Bongo Movie
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ค. 2023
- This Swahili Bongo movie is about a young girl who is being forced by her father to getmarried to someone she doesnt want.
A Swahili Bongo movie starring; Fadhili Msisiri, Bi Nono, Mariam Kassim
Movie title - Binti Yangu
Aforevo ID -
#bongomovies #swahilimovies #mozambiquehere - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Kweli tui la kwanz la pili maji...mashallah tabarak Allah ❤..funzo zuri sna ..Mungu awajalie nyote mlioshirik ktik hii filamu ❤..nawapend bure nyote..
Mwanakulitaka mwanakulitafuta
Masha Allah hizi ndio mishozo inayo takia kwenye Jamie nimeipenda Sana imenifundisha mengi
Yaan binti unakataa kuolewa halaf nje unazini, binti unahiari ubebe mimba nje kulko kuolewa tunakosea sana sisi mabinti😢😢😢😢wanaume washenz kwel kwel mm ndo mana sina imani nao wallah
Nimejifunza nimependa fundisho zuri mashaallah 🎉
Broo Kama mtu akutak jikatae
Shadia &Amina umezicheza mnooooh
Movie nzuri ❤❤❤from Kenya 😊
Mashallah may God bless you but dunia yafunza has
Mashallah movie nzur san nimeipend❤❤💥
Huyu dada aliyeigiza kama Amina anajua sana na Kuna movie ingine ameenda kama Shadia duu nampenda sana ila namhurumia yeye wanaume anaowapenda wanakujaga kumuumiza tu mwishoni,,
Mambo
Movie ya shadia ata mm nimeipenda mnooooh
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Haya mambo ya tokea kweli kabisa, watoto wakike wanasubuliwa sana katika ujana ,unakata kheri unafata sharii, wapo wengi Duniani wengine umalizikia kufa kwa kutoa mimba.mitihani kweli.
Mungu atulindie watoto wetu Ameen
Stori nzuri mashallah😊lakini kuna makosa mengi yamejitokeza mfano, stori imejikita katika mwez Wa ramadhan na kisha muhisika mwingine miezi ya kujifungua imekaribia na kijana Rashid alimchumbia amina ndani ya mwezi❤huohuo..
Kuweni makini msiigize kimazoea ili muonekane Ndio maana soko la sanaa linapolomoka yote kwa sababu yenu mnaojiona mnajua kuigiza mkijitizama kwenye vioo na kumbe hamna kitu😂
Mashaallah movie nzr Ina mafunzo
Masha Allah inamafunzo mazur♥️♥️🙏
Video nzuri ❤nimeipenda
Mafundisho mazuru sana asanteni Sana Kwa kazi njema ❤❤❤❤🎉🎉🎉🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪👏
Duuuuuuuh kweli imenifunza leo
Ikufunze 2 hahaha
Baba Aminah MashaAllaah mtu an dini yake na laiti wazee wetu wangelifuwa hivi ingelikuwa ni khery
Wengine 2 wengine wana dining zao
Nimejifunza kitu asante saana baba Amina👏🏿
MashaAIIa h hizin diomishozo inayotakwenye jami enimeipe nda sana imenifundishamengi
Mimi nataka kumujuwa huyo mzee mabuya
Mungu awakuze na awalinde watunzi wahii filam
MashaAllah move zuri kwa wtoto waki lsilamu ❤❤❤❤❤❤❤
..na wa kikritu😢
Ana kazi nzuri sana dada 🎉tumpe mauwa yake❤❤💯🥀
Huuu sijui ni uislam wa aina gani jaman
Kwa nn
Waoooooh amaizing, that is what we need
Mtihan mkubw saan
Mm namfagilia sana mzee msisili
Duh yalio mkuta Aminatujiazali na wasicha na wengine tulio baki
kwa kweli naipenda tena na mi penda sijui uyu ni mtoto wa wapi siyo mtoto wa uyu baba apana kwa sababu hana masikyo
Mashaallaah nakupenda sana we dada
Mama amina kafana na mama ana wa jua kali
good movie
Maasha Allah
Good movie
Wewe mwezangu amina choz huna jitahid ukilia tuoneshe machoz
Histtoria nzuri na ina mafundisho mazuri
Woow it has a very good moral values
Nzuri Sana❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
Duuuu ! Mtihani
Okay mini natoka mayanja milo
❤❤❤❤❤
LOOK EVERYTHING IS GONE WRONG 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😢😢😢😢😢😢😢😢
Mashaalah❤💖
Mov ya maadili ya kujifunza
Mbona Amina baba
Huyu mzee anajua kuekti kweli kweli apewe soda nitalipa
😂😂😂😂mwali anamambo ya kinini😂😂😂emu lundia apoooo
Asie sikia la mkuu! Uvunjika guu
Hapanikweli Ina Bamba sanatu,
Ongela San baba
Baba Amina moto kuoteambali😂
Shukurani kwanasah nzuri tu kiukweli nimejifunza kitu
Umejifuza nn kwenye mchezo huu
Next
Mhh
Huyu mama shida haoni kama mtoto anakosa kila saa msameh
Shulman bab wengine waige hili
Sitaki natak msisiri bwan
Sio kwa jocho hilo
Nataka kupata namba ya huyo aliyeigiza kama mtoto wa mabuya
Ili?
❤
Mhm ila yombo sio kwa vituko ivo😂😂😂😂
Tui lakwanza lapili maji
😂😂 kimemuramba amina
Ivi watu wamekosa mafunzo kwenye gur,an hata huuu mchezo ndio wenye mafuzo kweli
ptp
Asalaam alaykum Binti Naomba namb zako
Mambo ya kumlazimu binti kuolewa na mtu ambae hampendi yalipitwa na wakati
Sawa lkn Jambo la kukataa kuolewa Kisha ukazini Hilo ndo lnaenda na wakati!!??? Tujitahd kufanya maamuzi yetu kwa ajiri ya Allah tuache tuyapendayo kwaajiri ya Allah na na tufanye mambo kwa ajiri ya allah Ila makosa yapo kufanya Toba ndo muhm
❤
I❤ the movie 😂
❤❤❤❤
Hi