Akh, kila amal bi neeyat ina husu amal ziliziojenga na itikadi za kidini za kislamu na vilo na mafunzo ya Mtume swalla Allah Alahi salam na wema walotangulia; ndoa ya kikafiri sio kwenye dini ya uislamu.Ina mikhalafa tele, wengi waowana baada ya washazini pengine mpaka wana watoto. Allah Mustaan.
Mbona nimeshawahi kusikia Ummary Allah amwie radhi kwamba aliwapa pesa makafiri ya kujenga kanisa na akasema amefanya hivyo sababu wanalipa kodi katika dola yke kuna usahihi wa maneno haya??
Baaraka llaahu fiikum
Baarakallahu fiikum.
vipi hadithi inayisema kila amali bi niyat?
Akh, kila amal bi neeyat ina husu amal ziliziojenga na itikadi za kidini za kislamu na vilo na mafunzo ya Mtume swalla Allah Alahi salam na wema walotangulia; ndoa ya kikafiri sio kwenye dini ya uislamu.Ina mikhalafa tele, wengi waowana baada ya washazini pengine mpaka wana watoto.
Allah Mustaan.
Mbona nimeshawahi kusikia Ummary Allah amwie radhi kwamba aliwapa pesa makafiri ya kujenga kanisa na akasema amefanya hivyo sababu wanalipa kodi katika dola yke kuna usahihi wa maneno haya??