KAMPENI YA LISHE BORA KWA NJIA YA DALADALA YAMUIBUA DC MTAMBULE ATOA MAAGIZO HAYA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- DAR ES SALAAM: SHIRIKA la chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya na wizara zinazohusika na kilimo Tanzania Bara na Zanzibar na Taasisi ya chakula na Lishe Tanzania wamezindua kampeni ijulikanayo "KAMPENI YA LISHE BORA KWA NJIA YA DALADALA" inayolenga kuongeza uelewa kwa jamii Juu ya ulaji sahihi wa vyakula.
Akizindua Mradi huo katika kituo cha mabasi ya Daladala Makumbusho Jijini Dar es Salaam, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amelitaka shirika la chakula na kilimo la Umoja wa mataifa (FAO) kuhakikisha wanaendelea kutoa elimu ya lishe kwenye Daladala nyingi zaidi ili elimu ya lishe iwafikie wengi.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...