ALLY KAMWE AWAPASUA SIMBA NA AZAM FC/PWAGU NA PWAGUZI/MECHI HAIDA HADHI/JUMAPILI YA KUFOSI CHAMAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe, amefanya mahojiano maalumu kuhusu mchezo wao wa Jumapili wa Ligi kuu NBC dhidi ya KMC utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, huku akitupa Vijembe kwa Watani wao wa Jadi Simba baada ya kushinda 2-0 dhidi ya Azam FC.

ความคิดเห็น • 87

  • @abdunnurahmedsilim7456
    @abdunnurahmedsilim7456 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    What I see here is that most of koloz comments are emotional...being blinded by the feeling that "IT'S OUR TIME NOW" 😂😂😂😂😂you wait and soon you'll realize that vicheko vyenu na furaha zenu ni baada ya kujitekenya wenyewe.... ligi ni kama mbio za Marathon...ni mapema sana kuanza kuvimba kwa madaha kwa kumzidi mwenzako mita 500 wakati mbio ni za kilomita 100😂😂😂😂😂

    • @NtamamiloGibson
      @NtamamiloGibson 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huwezi kuchekeshwa ukaaema utacheka kesho😂😂😂

    • @franccoz94
      @franccoz94 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Because your wise man is talking about simba instead of her club

    • @DICKSONLUCAS-i6l
      @DICKSONLUCAS-i6l 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Simba ni makolobwabwa

    • @SamwelSospeter-lz9fm
      @SamwelSospeter-lz9fm 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We are not too young to read broo we believe this time around Simba sport club is going to win the title

  • @RayMyonga
    @RayMyonga ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dyuu brother umezungumza ukweli kila yanga ikicheza watu tunabetiaga 3.5over🎉😊

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hamjasema bado goli tisa zinawauma ee

  • @KulijeNovart
    @KulijeNovart 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kweli kabisa maafisa ubashiri mechi ya mbeya waliweka 2.5 ikatoka 1.5😂😂😂 matokeo yake yakawa lawama na kuwa ubora wa Yanga uneshuka

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    unatesek kaka hatar asira hizo kuiona simba ikifunga

  • @ShaabanCairo
    @ShaabanCairo 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mtu na shoga yake

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakuomba M/Mungu muongezee kipato kwenye miradi yake Bossi wetu Inshaallah

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haka katoto kaliwahi kusema hakuna washabiki wanaojielewa Kama wa Simba. Leo kanaongea ujinga uwe na kumbukumbu, ya uliyosema ili kufunika ujinga ulionao

  • @GeoffreyGeorge-xx7bj
    @GeoffreyGeorge-xx7bj 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukiwa muongo usipoteze kumbukumbu kenge ww ulishapasuliwa ww

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwetu kikubwa point 3 mengine hayatuhusu

  • @josephkusenha5916
    @josephkusenha5916 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Haunaga point... Rudi shuleee

    • @DICKSONLUCAS-i6l
      @DICKSONLUCAS-i6l 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Madhabiki wa kolobwambwa acheni kelele nyie ligi mechi 30 jaman sio mwezi wa kwanza mnaanza kumtukana mangungu na kocha aya tunawaona tu muda utazungumza amna ata mechi moja mkoani mnavimba akati zaidi ya michezo kumi ni nje ya dar aya

  • @JonathanMGAIWA-ow4py
    @JonathanMGAIWA-ow4py 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nenda straight to point mambo ya kifriji hayatuhusu

  • @farajasospeter9668
    @farajasospeter9668 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaan saiv simba inaonekana bora ila ikukutana na yanga lazima wafanye usajili😂😂😂😂

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Fact tupu ndugu kamwe.. Daima mbele nyuma mwiko

  • @methodpeter-l8x
    @methodpeter-l8x 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ally kamwe shehe ni slogan ya manara, tafuta na wewe uongeaji wakooo

  • @JomekeSimba
    @JomekeSimba 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naombeni mniunge kwenye grop la WhatsApp la yanga

  • @Gyver8636
    @Gyver8636 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwamba simba ni wasagaji
    Mnamtamani Hashimu igwe kisa kavaa msuli😂😂😂

  • @NadiaAlly-tq3fx
    @NadiaAlly-tq3fx 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha wewe lazima uifagilie yanga sababu unashibia huko

  • @Joycekwolola7
    @Joycekwolola7 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani hayo si maji ya kawaida nyie tangazeni tuwachangie bas

  • @SuzanKameta
    @SuzanKameta 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona ulisema wmaka huu tutakua tunawapa 5-5-7-7?

  • @JomekeSimba
    @JomekeSimba 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Namimi naombeni mniunge kwenye whasap

  • @FaustineMasubata
    @FaustineMasubata 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Iv hawajawah kukwambia kuwa huna point

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 นาทีที่ผ่านมา

    Kamwe suti imekupendeza

  • @mussamakinda8076
    @mussamakinda8076 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hata mbeakulikua na uharam kipa hawezi kudakia kwa nyuma

  • @jamesbiboze9612
    @jamesbiboze9612 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa mbona nyie mbona hamna uwanja mtaenda kufosi wapi?

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ally bwana unachekesha babaa

  • @abdallahabdul1038
    @abdallahabdul1038 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha ushugwada wew nenda kacheze weew

  • @sosmakanya4901
    @sosmakanya4901 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makolo huwa wanashangilia droo

  • @JafariBakari-hk2xb
    @JafariBakari-hk2xb 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Malenge kweli unaliwa nyuma kamwe ww

  • @SuzanKameta
    @SuzanKameta 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona wewe husemi la kwenu?

  • @DamarisOsward
    @DamarisOsward 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaani Kamwe unatupatia raha

  • @GeoffreyGeorge-xx7bj
    @GeoffreyGeorge-xx7bj 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba kakupeleka town kaz unayo ww

  • @MuhammedAbdallah-h2t
    @MuhammedAbdallah-h2t 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe unaliwa Haramu ni wewe

  • @AlamZambi
    @AlamZambi 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha ushamba ww zungumzia goli la ateba mbona nyie Mbeya mmebebwa fala ww

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Endelea kujidanganya

  • @methodpeter-l8x
    @methodpeter-l8x 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kila sku shehe, shehee

  • @SuzanKameta
    @SuzanKameta 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mmmmh 🐸🐸🐸🐸🐸. 😂😂😂😂

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😅eti Ibwe chukuchuku😂😂

  • @JonathanMGAIWA-ow4py
    @JonathanMGAIWA-ow4py 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ya kengold hukuyaona? Bwege wewe acha kuweweseka

    • @shiraissa8626
      @shiraissa8626 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kumamamayo

  • @lukiusdeogratias7493
    @lukiusdeogratias7493 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha uzuzu we choko

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🦩🦩🦩🦩🦩🦩🦩🦩😂😂😂😂😂

  • @DahirDahir-j1q
    @DahirDahir-j1q 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Irrelevant example kabisaa... kamwe ulifeli mathe wewe😂😂😂

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wivu wa Nini kaka,ebu tuache siye tule khanga na manyoya yake😁😁❤❤👆👆🙏🙏

  • @SamwelMnaga
    @SamwelMnaga 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂

  • @tumainiisrael8481
    @tumainiisrael8481 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha taarab Zungumzia mpira

    • @reynahnassoor2678
      @reynahnassoor2678 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huo mpira wenyewe ujui tuliza kipere ww

    • @Mumlion2624
      @Mumlion2624 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Umeona dear, malizia simba bingwa ubaya ubwela na bado hapo wataongea kila neno,sisi nikula raha 2

    • @maryamnofli2109
      @maryamnofli2109 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@Mumlion2624
      Yaniii. Mpaka waseme 😂😂😂😂

  • @franccoz94
    @franccoz94 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wao na kengold ni nani maana naona utopolo mtupu

  • @JonasMcharo-v8q
    @JonasMcharo-v8q 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jifunzeni usemaji kwa Haji manara. Kubali uwezo wa Simba FC kwa sasa. Usiweweseke😂😂😂😂

    • @azizamussa3416
      @azizamussa3416 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Maumivu yakizidi muone daktari

    • @mariahshechambo4034
      @mariahshechambo4034 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Apeleke ujinga uko

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamaa kama kapanic kiaina

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂 Umeona

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Dogo kawa Mwana mipasho 🤣🤣🤣

    • @maryamnofli2109
      @maryamnofli2109 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@shabbymakapane
      😂😂😂😂
      Atateseka. Sana 😅😅😅

    • @tumainiisrael8481
      @tumainiisrael8481 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Atateseka sana mwaka huu

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@maryamnofli2109 🤣🤣🤣

  • @revocatusmalimi4525
    @revocatusmalimi4525 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu murudisheni shule,hajui chochote kihusu fani ya uandishi wa habari.Manara atabaki msemaji bora wa Yanga.Kinachotolewa ni polojo tu.Unaacha ukweli unarukia mambo mengine.Timu inakufia mkononi

  • @ngerejaboniface2596
    @ngerejaboniface2596 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makolo tarehe19 watasema TU ukweli kama sio goli9 hatujalizika!

  • @ngerejaboniface2596
    @ngerejaboniface2596 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Timu zote hua nzuri Kabla hazijakutana na Yangasc! Lkn baadae inakuaga Makubwa!!

  • @odilomwakamela4889
    @odilomwakamela4889 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wawekezaji mmefikiwa huku

  • @shabbymakapane
    @shabbymakapane 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    DOGO, Kavurugwa kawa Mwana Mipasho Baada ya Kuwa Msemaji wa CLUB 🤣🤣🤣

    • @maryamnofli2109
      @maryamnofli2109 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

    • @fatmaally5530
      @fatmaally5530 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@maryamnofli2109kabisaaaaaaa😅

    • @FiniasBugobola
      @FiniasBugobola 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Una ukubwa gan wew

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mwache aseme ni kazi yake. Mbona wasemaji mipasho wapo wengi hamsemi.

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@kolosii4351huyo njiti kwa mipasho kawazidi😊