Unajua nyuklia? Inaweza kutumika endambo Urusi(Nchi)Inakuwa imeshambuliwa kwa nyuklia au nchi imezidiwa kabisa,yaani imechakazwa kwelikweli.Si rahisi kwa nchi yoyote inayomiliki nyuklia kuzitumia ktk vita ya kawaida.
Jamani tukae tukijua hii vita inakoenda siko kabisa malekan na washilikawake mungu awape ufaham mmalize hii vita kisa nn jamn hii dunia tunapitatu uko wanakomshika mlusi nikubayasana hiivita inaweza kutanukazaidi duniani mungu atulindesana mimi sio shabiki wavita kilasiku wat wanahuana tu af wanaochochea mahuaji wapo wamevaatu suti ofisin huo ni ubinafs amani ninjiapekee yakuifanya hiidunia iweseem salama kwakuishi kwetu navizazi vyetu vijavyo hali hii nimbaya mmoja atulie bas mana hiidunia tunapita duuuh
Tatizo katika Dunia hii ni marekani,kila mahali analeta vurugu,juzi kule Mali ameshirikiana na mfaransa wamewapa wanamgambo technology wakavamia kambi ya jeshi kisa wameunda umoja wao wa kijeshi(sahel)
Kila lá kheri mtetezy WA wanyonge mzee PUTIN, mungu Skype ushindi.
Safi sana piga hao mashoga wa kimarekani na nato
@@KilimbikeHaji-iy2fm sasa shoga unakaribia mwaka wa nne umesnhindwa kumpiga ivi kweli mko timamu
Shukran kwa taarifa
Safi sana urusi ndg mtangazi na mchambuzi naomba kujua istagram unatumia jina gani?
Mungu atuepushe na vita
❤❤❤Safi sanaaaa,RUSSIA/PUTIN na majeshi yake nyuklia nzi2mike
Unajua chenye unaongea wewe?
Unajua nyuklia? Inaweza kutumika endambo Urusi(Nchi)Inakuwa imeshambuliwa kwa nyuklia au nchi imezidiwa kabisa,yaani imechakazwa kwelikweli.Si rahisi kwa nchi yoyote inayomiliki nyuklia kuzitumia ktk vita ya kawaida.
Hapo unyama kaz kazi
Jamani tukae tukijua hii vita inakoenda siko kabisa malekan na washilikawake mungu awape ufaham mmalize hii vita kisa nn jamn hii dunia tunapitatu uko wanakomshika mlusi nikubayasana hiivita inaweza kutanukazaidi duniani mungu atulindesana mimi sio shabiki wavita kilasiku wat wanahuana tu af wanaochochea mahuaji wapo wamevaatu suti ofisin huo ni ubinafs amani ninjiapekee yakuifanya hiidunia iweseem salama kwakuishi kwetu navizazi vyetu vijavyo hali hii nimbaya mmoja atulie bas mana hiidunia tunapita duuuh
Malisa hao mashoga kabisaa Mzee
Kwa taarifa hii mb zangu hazijaenda bure.
Kwa puttin ukikimbia nchale ukisimama nchale
Wewe mungo sana unatengeneza propaganda au may be kimombo hakipandi
We adamu mbona unahamahama chanel
Wewe muTanzania ukouko ujinga tu mko wapi kijeshi Tanzania 🇹🇿
ona jinga lingine hili hapa.
Huu ni uongo wa mtandaoni
Tangaza zakwako zauhakika. watuwakufatilie umevurugwa nini 😂😂
@@uwimana6533 huu ni uongo mzee Putin Hana uwezo huo
Huamini au nawe uko upande wa mashoga?
Kama hutaki basi😮😮😮😮😮