Rais William Ruto awafuta kazi mawaziri 21
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ค. 2024
- Rais William Ruto amewafuta kazi mawaziri 21 pamoja na mwanasheria mkuu Justin Muturi. Waziri mwandamizi musalia mudavadi ameokoka katika mageuzi hayo.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Sasa wale walio toka azimio kwa kejeli wame temwa
Matiangi arudishwe anajua kusafisha ufisadi.
Alfred na kiherehere😂
Amejisahau pia yeye akwende
Sasa naona baba nick ameanza kuingia laini
😂😂😂😂 jenzi tumeweza sasa ujiuzulu
Is the presenters tone for me... He seems pia ye alikuwa amechoka Na hawa watu.
Shule warudishe matianga
Umeteja mvurya kweli
Gen Z na Rais Ruto ni nani hasa amevunja Baraza la Mawaziri?
𝑳𝒂𝒛𝒊𝒎𝒂 𝒉𝒂𝒕𝒂 𝒚𝒆𝒚𝒆 , 𝒂𝒆𝒏𝒅𝒆