VIDEO IMEVUJA USIKU HUU: Taarifa KUBWA ya LISSU na NDUGAI!!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 141

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 6 วันที่ผ่านมา +9

    Inshallah lisu mungu atakulinda maana tz kama dampo,,,,,nakupigia kura mbili

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 วันที่ผ่านมา +11

    HAPO TU NDO MAMA ANAPOKOSEA. KWA KWELI INAUMA SANAA.

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 6 วันที่ผ่านมา +6

    ✌️✌️movement for change

  • @Mahundavlog
    @Mahundavlog 7 วันที่ผ่านมา +17

    Mwamba huyu hapa❤

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 7 วันที่ผ่านมา +8

    GOD bless you mr tundu

  • @DicksonJaphet-fq7ov
    @DicksonJaphet-fq7ov 6 วันที่ผ่านมา +6

    Lisu oyeeeeeee 🎉 Mwamba Sana Huyu Jamaa

  • @EmanuelBayo-i8b
    @EmanuelBayo-i8b 7 วันที่ผ่านมา +9

    Anaakili sana kuliko yeyote

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 7 วันที่ผ่านมา +7

    Inauma sana,unaposema tuu ukweli huchukui muda,unaondoka duuuh 🤔

    • @gaagwasaugustino2584
      @gaagwasaugustino2584 6 วันที่ผ่านมา

      Iko siku na mwisho wao hao vibaka wanaojiona Miungu watu kwa sasa!

  • @georgeasalla8542
    @georgeasalla8542 6 วันที่ผ่านมา +5

    Lisu mimi na ukoo wetu tunakuunga sana,lakini unapomjumuisha Magufuli kwenye mambo yako kwa kashifa,nachukia sana
    Ongea utatufanyia nini tukikupa nafasi,
    Vinginevyo,,,,,

    • @JimokuMhela
      @JimokuMhela 6 วันที่ผ่านมา

      NA WEWE HujiELeWi,KWAN maGu NI Mungu ASISEMwE

    • @Danielkashatila2024
      @Danielkashatila2024 6 วันที่ผ่านมา

      Usiogope ukweli

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 6 วันที่ผ่านมา +5

    Ni kweli, Katiba ni muhimu sana

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq 6 วันที่ผ่านมา +3

    Hii ya siku nyingi bhana mbona?

  • @Pharessotiph
    @Pharessotiph 6 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli tuipiganie nchi yetu watanzania tujitambue kwani siyo Mali tuu hata sisi tumeishauzwa

  • @abdallamohdhiyonineematush408
    @abdallamohdhiyonineematush408 6 วันที่ผ่านมา +2

    LISU UTAPATATABU UTAUMIZA MOYO WAKO HUYO MAMA YUPO UPO SANA

  • @zuhurahamisi1639
    @zuhurahamisi1639 7 วันที่ผ่านมา +6

    Rip Magu

  • @MalkiadiNaano
    @MalkiadiNaano 6 วันที่ผ่านมา +1

    Usisahau amri ya pili ya Mungu yasema " usiliseme bure jina la Mungu wako" ipende zaidi roho yako isije ikaadhibiwa kwa kusema uongo kwa ajili ya kutafuta cheo ,itakuuma zaidi ukikosa vyote

    • @godwinshoo5032
      @godwinshoo5032 6 วันที่ผ่านมา

      Achana na Magufuli,utajimaliza kisiasa na kiuzalendo!

    • @godypatrick6485
      @godypatrick6485 6 วันที่ผ่านมา

      Watanzania tupunguze uwoga huyu ni mwanaume hata mkimuuwa jina lake litaishi kwa kuwa hakuna ataye ishi milele wakirsto tunasema tushikishane tone la upendo

    • @Danielkashatila2024
      @Danielkashatila2024 6 วันที่ผ่านมา

      ​@godwinshoo5032 magufuli hakuwa mkamilifu

  • @rehemakomba7656
    @rehemakomba7656 6 วันที่ผ่านมา

    Aiseeee!

  • @Hajjsissam
    @Hajjsissam 6 วันที่ผ่านมา

    Ohhhhh mseme mama ,,achana na magu,,ukitaka uchukiwe na wananchi wa kipato cha chin msimange magu,,nchi ishauzwa baad ya Mzee baba kudodoka,,,makum wa rais ,job dungai,nawatakia maisa mema ,

  • @marthamungure1777
    @marthamungure1777 6 วันที่ผ่านมา +1

    Lissu anatakiwa aache uchokozi na kutafuta ugomvi. Aeleze Chadema itakavyoleta mageuzi mazuri ya kuleta maendeleo

    • @gililwise
      @gililwise 6 วันที่ผ่านมา +2

      We Mungure acha watu waseme ukweli maana utakuweka huru

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 วันที่ผ่านมา +2

    ASANTE LISU.

  • @IDDMWENDO
    @IDDMWENDO 6 วันที่ผ่านมา +3

    Ndo maana tozo zinazidi kila budjet

  • @thetas08
    @thetas08 6 วันที่ผ่านมา +2

    Kwani tundu na ndungai sio watanzania.sie tuliopo nje ya siasa ni hivi ccm wapo watu marafiki zao chadema na Kuna chadema marafiki zao ni watu WA ccm. So wakiwa kwenye vyama vyao wanapambana kwa hoja muhimu lakini sio maadui cuz wote ni watz

    • @jacobnghwali4531
      @jacobnghwali4531 6 วันที่ผ่านมา

      Unaongea uhalo tu huna ulichoongea

  • @BARAKAJOSEPH-j4u
    @BARAKAJOSEPH-j4u 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mama kwani yy haumiii au xema wabaya ni wale wanaomsapoti kazi iendelee na watengeneza mabango lkn mbn hawatengenezi mabango kuwa ameuza bandari au ngorongoro itakuwa tundulisu ananganya tungekuwa tumeona mabango ya kumsifia kuuza bandari na misitu

    • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
      @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 6 วันที่ผ่านมา

      RAISI ndiye mwamzi wa mwisho hawezi kuumia maana yeye ndiye aliye tengeneza huu mfumo?

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 6 วันที่ผ่านมา

      Wewe nae hujielewi kabisaa

  • @igulug5450
    @igulug5450 7 วันที่ผ่านมา +1

    Msema ukweli ni mpezi wa mungu badari kauza tazara kauza maeneo yetu kauza saiz anataka kuuza nishati ya umeme huyu mama rabuda anatuombea mema

    • @nicodemusngwala2079
      @nicodemusngwala2079 6 วันที่ผ่านมา

      Ni aibu sana hivi hawezi kujifunza kutoka rais wa Burkina faso ....

  • @SephaniaMsigwa
    @SephaniaMsigwa 4 วันที่ผ่านมา

    Ujumbe umefika

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 6 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona sioni chuki. Yoyote. Tatizo mafisiemu mtu akisema ukweli. Mnamubadilisha majina mnataka watu wote wawe ndondocha

  • @nabimanyafesto5014
    @nabimanyafesto5014 7 วันที่ผ่านมา +2

    Crucial points

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 6 วันที่ผ่านมา +1

    Hii Sera ya huyu Jamaa, ni hovyo kweli kweli, umbeya mwingi.
    Mbona husemi huduma alizokurejeshea huyu huyu Rais.
    Aliamueu akalipwa kila ulichocheleweshewa.
    Alikufata Nairobi
    Alikurudisha Ughaibuni
    Amekulipa ulivyopoteza.

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 6 วันที่ผ่านมา +4

      Kumfuata Nairobi ndo auze mali za nchi

    • @IDDMWENDO
      @IDDMWENDO 6 วันที่ผ่านมา +2

      Una uhakika na hilo..!!?? Pamoja na hilo asiseme madhaifu yake ambayo ni kandamizi zaidi ya hayo...!!!??? Amka basi...we zuzu..???

    • @DanielSinavangi
      @DanielSinavangi 6 วันที่ผ่านมา +1

      Kwaiyo unataka asifiwe ujinga😎

    • @nicodemusngwala2079
      @nicodemusngwala2079 6 วันที่ผ่านมา

      unaujua umbea wewe au unamtetea kwa kuwa ni mwenzio manaefuturishwa naye tende na halua toka umangani na mmeambiwa kuwa mtunziane siri zenu ....

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 6 วันที่ผ่านมา

    Lissu afe tu RIP JPM😮

  • @knight6757
    @knight6757 7 วันที่ผ่านมา +1

    Maasai wapelekwe UAE pia 😂

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 7 วันที่ผ่านมา

    Muulize mh.Ndugaya ile Trilioni moja iliyopotea wakati akiwa spika iko wapi?

  • @harunamtiko117
    @harunamtiko117 6 วันที่ผ่านมา

    Hii sio ya leo, lissu kanyoa juz denge fulan hv

  • @AminHebron
    @AminHebron 7 วันที่ผ่านมา +3

    Pasua majipu mpaka kieleweke

  • @alfredbee7967
    @alfredbee7967 6 วันที่ผ่านมา

    Asnante baba

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 วันที่ผ่านมา +4

    ILIYOBAKI SASA ATATUUZA SISI .

    • @PineTree-n9y
      @PineTree-n9y 6 วันที่ผ่านมา

      Mama atatuuza

  • @AlphonceMponzi-m8t
    @AlphonceMponzi-m8t 6 วันที่ผ่านมา +2

    Mlete turaole

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 6 วันที่ผ่านมา

    Ushauri wangu kwako mweshimiwa tundulisu nikwamba ukimsema magufuli vibaya watanzania waliowengi hasa wanyonge watakuchukia mana marehem aliwasaidia wanyonge sana tena mno na wanaelewa kazi alizo zifanya kwa upande huo.sasa kwa upande wa pili niwale also kuwa wana pinging nae ambao wanasema walitendewa ubaya.hiv wanaweza kuwa wengi zaidi ya watazania masikini wanao mpenda magu?kitatangulia mbele za haki pambana na walio hai.yeye kishaenda wala hawezi tena kujibu hizo shutuma.watanzania wengi watakupa sapot ukiwacha kumsema vibaya magu.sisi ndio tupo mtaani tunawasikia wanasema lisu tunamkubali kinacho tufanya tusimkubali nikumsema kipenzi chetu anko magu.yaan sio wewe kiongoz yeyote akimsema vibaya anko magu wananchi wana mtenga.

  • @NungulaRais
    @NungulaRais 6 วันที่ผ่านมา

    Hiyo

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 6 วันที่ผ่านมา

    sasa unamlaumu wa nini wakati alikuwa anapokea mwongozo??

  • @hamadhamud-n4j
    @hamadhamud-n4j 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona usemi pesa zinazoingia bandalini.

  • @suleimanali6939
    @suleimanali6939 6 วันที่ผ่านมา

    ZANZIBAR WAMEIHARIBU WATANGANYIKA SASA WACHA NA NYINYI MNYOLEWEEE MUONE UTAAAAMMMM

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 6 วันที่ผ่านมา

      Kwani waliowaua wazanzibari walitoka wapi SI wazanzibari wenyewe

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 6 วันที่ผ่านมา

    Hawtaki kuambiwa ukwer

  • @SimonMwamkinga
    @SimonMwamkinga 6 วันที่ผ่านมา

    Yaani ulitaka kufanikiwa kwa wananchi wa kawaida, basi achana na Magufuli, sahau samehe, tena jaribu kuyaenzi yale mazuri yake. Jaribu kuwa mtu wa kusamehe, wote akina Ndugai wote

    • @trueprophet7627
      @trueprophet7627 6 วันที่ผ่านมา +2

      magufuli anatakiwa asemwe sana maana ndiye alitengenezaa mfumo wa kubaka chaguzi unaotunyima viongozi bora wa kutusimamia

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 6 วันที่ผ่านมา

      Hujielewi wewe,magufuri ndio katufikisha hapa

  • @ELIAMbise-sy5ue
    @ELIAMbise-sy5ue 6 วันที่ผ่านมา

    Watanzania tumuamini Lissu yeye anaweza

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 6 วันที่ผ่านมา

    Chadema wataishinda ccm kweli kwa hali hii, au mnataka tu luzuku

    • @evansdecaprio8196
      @evansdecaprio8196 6 วันที่ผ่านมา +1

      Waweke katiba mpya na uone kama kama ccm watatoboa

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 6 วันที่ผ่านมา

    Wapuuzi kichwa na hii tofouti

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 วันที่ผ่านมา

    NA WEWE UKIWA RAIS USIFANYE VISASI. WEWENI MWANAUME.

  • @innocentmlacky
    @innocentmlacky 7 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe ulie tuma hiii Mungu anakuona Acha uchezi

  • @PhilipWiliam-o2q
    @PhilipWiliam-o2q 6 วันที่ผ่านมา

    Tuna kuamini sama wasemee watanzania

  • @HamadAthuman-p2o
    @HamadAthuman-p2o 6 วันที่ผ่านมา

    Wewe huwa ni Mpumbavu tu ni nchi Gani? Uliona haikopi u nadhani unaongea na watoto Kuna watu wanalala njaa wanaitaji kukopa inashindikana maana hawaaminiki ukikopeshwa unaaminika huyo unaemsema sipika ndio anaepitisha na sii unavyodanganya kila kitu kinapita Bungeni kwa utawalawa Sheriakama ilivyo kwa awamuya 6

  • @RamaKimbeu-tw4po
    @RamaKimbeu-tw4po 6 วันที่ผ่านมา

    DUUH KWERI WW NI MUNIYA KABISA HUNASERA HATA MOJA KAZI KUSEMA WATU SASA UTAWEZAJE KUONGOZA WATU NAFIKIRI LABDA UTAONGOZA MBUZI NA KONDOO

  • @godypatrick6485
    @godypatrick6485 6 วันที่ผ่านมา

    Umepiga panapo uma msafishe mgogo myetu makonongo gamhalibia

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 6 วันที่ผ่านมา

    Lisu raisi gani uliwai kumkubali

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 5 วันที่ผ่านมา

    Hadithi za Dugai zinatusaidiya nini. Tundulisu .Sera zakusema wenzako kujifanya wewe nibora sana .Hazisaidiyi kitu chochote

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 วันที่ผ่านมา

    ĹISU SASA SHUGULIKA NA SIASA ACHANA NA YALIYOPITA JAPONYANAUMA . TUNAKUPENDA . LAKINI HATA MAGUFULI TULIMPENDA SANA.

  • @GreetyWillysiame
    @GreetyWillysiame 6 วันที่ผ่านมา

    Lisi serrra baba acha blablabla

  • @clememallya4257
    @clememallya4257 7 วันที่ผ่านมา

    Tundu Lisu unapoongea achana kutukana watu. Wewe wape 100 ujinga wanaofanya halafu toa na sera ukiwa Rais unaleta maendeleo gani

    • @gidongailo7174
      @gidongailo7174 6 วันที่ผ่านมา

      Kutukana kwa Kiingereza tunasemaje😂😂

    • @SamweliMshana
      @SamweliMshana 6 วันที่ผ่านมา

      Huu sio muda wa kampen kwahiyo hawez kusema akiw RAIS ATAFANYA nn​@@gidongailo7174

  • @godwinkubimba6575
    @godwinkubimba6575 7 วันที่ผ่านมา +2

    We mwandishi huna akiri, msenge sana, imevuja nn hapo?, pumbavu mkubwa,

  • @JafarsimaouchuJumbe
    @JafarsimaouchuJumbe 6 วันที่ผ่านมา

    Ili upate viewers weka habari za kweli

  • @MaryGomba
    @MaryGomba 7 วันที่ผ่านมา +2

    Mshaurini atangaze sera aache kutajataja majina yawatu

    • @MchungajiNzelani
      @MchungajiNzelani 7 วันที่ผ่านมา

      Sera ndo nini!!

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 7 วันที่ผ่านมา

      Huyu ni mwehu lkn kapimwa akili kiwete kama mm ni rais namtia ndani mpka aoze mbwa wewe mkosa adab​@@MchungajiNzelani

    • @ibrahimconte601
      @ibrahimconte601 6 วันที่ผ่านมา

      Usipo muelewa Lissu huwezi kumuelewa mwengine hapa Tz

    • @danielbachuta157
      @danielbachuta157 6 วันที่ผ่านมา

      Kwan husikii madini anayotema au mwenzetu una mtindio wa ubongo

    • @zhonxheylions9752
      @zhonxheylions9752 6 วันที่ผ่านมา

      Ndo mana huwezi kua rais lazima uwe kama ulivyo na utaendelea kua kama ulivyo huna sifa za kua kiongozi au bana wa familia madako yako ​@@Zuwenamachela

  • @alinabhan952
    @alinabhan952 6 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni mwana siasa WA chuki.
    Huna agenda Kabisa

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 6 วันที่ผ่านมา

    Unajua huyu ni muongo tena sana anatafuta attention halafu akishika uongozi yake mabaya zaidi na mtajuta mda mfupi tu yuko chini ya wazungu huyu na wazungu wanatamani tanzania vibaya sana mama hauzi sio mjonga hivo

    • @nicodemusngwala2079
      @nicodemusngwala2079 6 วันที่ผ่านมา +1

      acha ujinga wa kutawadha kwa udongo ..wewe au kula nguruwe unaposikia njaa

  • @Zuwenamachela
    @Zuwenamachela 7 วันที่ผ่านมา

    Upewe nn sasa wakat unaitukana serikali kumbe ulizitaka

    • @trueprophet7627
      @trueprophet7627 6 วันที่ผ่านมา +1

      kuna siku utapata ufahamu

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 6 วันที่ผ่านมา

    Ni wapumbavu tu ndio watakaomuelewa huyo Mtu

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 6 วันที่ผ่านมา +3

      Ni mataila tu hatamuelewa huyu mtu

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 6 วันที่ผ่านมา +2

      Ni mataila tu hawatamuelewa huyu mtu

    • @nicodemusngwala2079
      @nicodemusngwala2079 6 วันที่ผ่านมา +2

      kinyume chake ni wewe ..unayetawadha kwa udongo au mchanga badala ya maji

  • @ChristianKibiki
    @ChristianKibiki 6 วันที่ผ่านมา

    Hivi lisu Una akili timamu au unaugua kichaka

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi1250 6 วันที่ผ่านมา

    Hayakuhusu fanya yako ushike dola tukuone huko ndo KUROPOKAROPOKA unakoambiwa bro sa hivyo vitusaidie nini sie? Hayo yatakuua na visasi!!!

  • @AhmedZahor
    @AhmedZahor 6 วันที่ผ่านมา

    Wacha kumkufurisha Mtu kumwita Mungu wewe

  • @johnsonmria3824
    @johnsonmria3824 7 วันที่ผ่านมา

    Doctor Silaa nayeye kwanini hukumshauri nayeye akaingia kwenye 18 zahuyo mtuu??

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 6 วันที่ผ่านมา

    Haka ka khadija wat kafuatilieni mtakuta kana kazi maalum

  • @hamadhamud-n4j
    @hamadhamud-n4j 6 วันที่ผ่านมา

    Unawadanganya.wewe kila kitu ni kusema tu uwongo.tuseme wanyama wako tanzania tu.acha kudanganya watu.eleza sifa utawasaidia nini?

  • @ZainabuBakari-yb4vj
    @ZainabuBakari-yb4vj 6 วันที่ผ่านมา

    Mlopokaji anaongea, ndio mana magu hakutaka ujinga wako

    • @Samuelmanga-r7z
      @Samuelmanga-r7z 6 วันที่ผ่านมา +2

      Mjinga ww mavi kwel

    • @ZainabuBakari-yb4vj
      @ZainabuBakari-yb4vj 6 วันที่ผ่านมา

      @Samuelmanga-r7z mbona mavi ni ya mama yako, aliekuzaa, Huwa huyaoni.

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 6 วันที่ผ่านมา

    Wacha Ujinga na Propaganda Tundu Lisu

  • @Ba63828
    @Ba63828 6 วันที่ผ่านมา

    Muongo

    • @MmohamediSaidi
      @MmohamediSaidi 6 วันที่ผ่านมา

      Tulia we matako

    • @Ba63828
      @Ba63828 6 วันที่ผ่านมา

      @MmohamediSaidi UNAFIRWA WEWE KUPE WA LISU

    • @robertmasanja66
      @robertmasanja66 6 วันที่ผ่านมา

      Jamaa yupo sahihi sema Basi ti

  • @aliferuzi1537
    @aliferuzi1537 6 วันที่ผ่านมา

    KATIKA VIONGOZI WA SIASA WAOLETA VURUMAI KTK NCHI MMOJA NI HUYU NDIO ALISEMA KAMBARAGE HAKUNA SERA ILA MATUSI TU.

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 7 วันที่ผ่านมา

    HUNA LOLOTE WEWE NI FEKI TU

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 6 วันที่ผ่านมา

    Mbaguzi saana Tundu lisu.. Hawazi kutoboa kwa Tanzania 🇹🇿 ya leo

    • @vicentbunzal7342
      @vicentbunzal7342 6 วันที่ผ่านมา +2

      Wabaguzi huwaoni mpaka unamwita lisu mbaguzi!wewe Ni nyau kasoro mkia.

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv 6 วันที่ผ่านมา

      @vicentbunzal7342 mi naomba apate uraisi nawe utakiri.... ndugu yangu

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv 6 วันที่ผ่านมา

      Kenya ingemfaa zaidi kwenye UBAGUZI wa makabila na eneo 🤔🤔😀😀

    • @vicentbunzal7342
      @vicentbunzal7342 6 วันที่ผ่านมา

      @@KS-iw7qv lisu siyo mbaguzi bali hali ya hii nchi ilipofikishwa na wanoiongoza inatakiwa mtu mwenye akili Kama lisu ndo tutafika kwenye nchi ya ahadi tunayoitaka,toka nchi inapt Uhuru Ni chama kipi kimewahi kutawala zaidi ya ccm,inatakiwa kubdilisha uongozi Kama marekani wanavyofanya ndo tuje tujue Kama lisu Ni mbaguzi,Mimi naamini lisu Ni mtu mwema kabisa kwa hii nchi yetu tofauti na wengine.

  • @EtiminSadallah
    @EtiminSadallah 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa wakati mwingine huwasimwelewi mbona hana sera yoyote kazi kuongelea watu mara kupigwa risasi na kutukana watu huwezi kulazimisha maji ya pande mlima

    • @Mrsalt-zs
      @Mrsalt-zs 7 วันที่ผ่านมา

      Angelee kutomb

    • @ZuzuTheGreat-e8d
      @ZuzuTheGreat-e8d 7 วันที่ผ่านมา

      Mpe maneno yakuongea wewe si mwandaaji wake

    • @ThomasMwadia
      @ThomasMwadia 6 วันที่ผ่านมา

      Wewe ni mbulula tu..uko wapi kwanza!

    • @benco2897.c
      @benco2897.c 6 วันที่ผ่านมา +1

      Ukiwa na akili ndogo humwelewi ...si kosa lako

    • @GABRIELGAVU-vf7cn
      @GABRIELGAVU-vf7cn 6 วันที่ผ่านมา

      Hata umhjmu wa katiba huoni. Kweli mtatazama hamtaona mtasikia hamtaelewa. Siku ukipata wazo la kujikwamua utamelewa huyu Lissu

  • @FurahaKabunga
    @FurahaKabunga 7 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi msenge kumamaeed

  • @OmaryRajabu-g7r
    @OmaryRajabu-g7r 7 วันที่ผ่านมา

    KIGULU NA MAMBUMBU U WENZIE ANAMTONGOZA NDUGAI UMEISHA WEWE HUPATI NCHI SUBIRI KIPYENGA KIANZE ,,,UNAANZA UKABILA UNAMTAKA NDUGAI KIUKABILA HATARI DIKTETA HATARI

  • @ChristianKibiki
    @ChristianKibiki 6 วันที่ผ่านมา

    Lisu tangaza Sera ya chama siyo kusema tabia za watu

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 6 วันที่ผ่านมา

    Msapoti hushoga

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 6 วันที่ผ่านมา

      Kwani mashoga waliopo Serekali iliyopo madarakani inaongozwa na Lisu?.je mbona hawashughuliki nao walioshika nchi sasa ?

  • @abasiramashoo5026
    @abasiramashoo5026 7 วันที่ผ่านมา

    Nimeamini huyu jama ni kicha anavuta bangi maneno yake yote niuongo ana chuki za kidini

    • @benco2897.c
      @benco2897.c 6 วันที่ผ่านมา +1

      Akili ndogo haiwezi kumwelewa Lissu

    • @KibachaSalumu-o4n
      @KibachaSalumu-o4n 6 วันที่ผ่านมา

      Hilo jamaa jinga sana

    • @maendeleoleo2594
      @maendeleoleo2594 6 วันที่ผ่านมา

      Kama huna hata D Moja huwezi kumwelewa Lissu