Shaikh Salim Allah akujaalie safari ya Hajj na Umrah inshaAllah🤲🤲🤲 ww na mashaikh ambao hawajapata nafasi ya kwenda kuzuru....na Allah awajaalie ilmu na subra ya kuendeleza daawa na Allah awajaalie IKHLAS....amiin
RIZIKI MTOAJI NI ALLAH LAKINI WAKATI MWENGINE UNAWEZA KUSEMA RIZIKI INATOKA FROM NO WAY UNAJISHITUKIZIA MDOSI AMEKUPA USAFIRI AU AMEKUPA TIKETI YAKWENDA ULIPOKUA UNATARAJIA KWENDA
Assallam aleikum mashekhe wetu Alhamdullillah tuko pamoja inshaAllah Allah awalinde na jicho la husda Allah watie nguvu mkazidi kufungua wenzetu macho na kuona haki ulipo inshaAllah kazi nzuri sana
Maashaallah baarakallah wakristo wamepata somo na huyu dada alie kwenda makkah mpaka huyu mama mary amesema anaenda kufanya research..bila ushindani alhamdulillah to be a Muslim
Mume sahau kuwa ambia ya kwamba, IBRAHIM na Ismaeel ndio walio anzisha kujenga the KA'ABA! Na HAPO ndio ibada inao fanyiwa PEPONI na Ma MALAIKA, (vile Biblia inavyo elezaa), NDIO ino fanyniwa na BIN ADAM, hapa DUNIANI! TabarakAllah Team na Vijana wanoa support hii Team! WaIslamu, musi sahau ku Changia Dawah! NA the KA'ABA, ilio katika MECCA, (which is between two MOUNTAINS), ndio Biblia ina eleza,: "ni Mahali ilio CHAGULIWA na Bwana Mungu wako"! Biblia, ime kusanywa na Ku TUNGWA na KING JAMES, na Wa Andishi wake 46, in 1611AD, kule ENGLAND!
DADA ATUU YUPO NABAHATI KUINGIA MJI WA WAMANGA WAKATI NIMKRISTO BAHATI KUBWA SANA KUTOKANA NAMATAJIRI ZAKE HAWAKUWA NA ELIMU NAKUMPELEKA MAANEO YA TWAWAF SABABU NIWAISILAMU TU PEKEAKE NDIO WANAKUBALIWA KUINGIA NDANI MAKAA SABABU PIA ALIYEJENGA AKUINGIA NDANI BAADA YAKUMALIZA SABABU AKUWA NA PERMISSION MPAKA ALIPOSILIMU NDIO AKAINGIA NDANI NAKUONA KAZI YAKE ALIYOFANYA
DADA AMEPATA BAHATI SANA KWENDA NA WADOSI WAKE MAAKAH SABABU FUNGU YAKUINGIA PEPONI NI SALAH NISAWA NA FUNGUO YAKUINGIA MAAKAH NI MUISLAM TU SABABU ZAKE KAMA KILA MTU ALIYEKUA NA ASIYEKUA MUISLAM HARUHUSIWE KWENDA SABABU WANGEKWENDA WATU WENGI SANA KAMA UTEMBEZI TU LAKINI MDOSI AU TAJIRI WA DADA AKUWA NAHILIMU NDIO MAANA AKAMCHUKUA DADA MAAKAH NDANI SABABU PIA ALIYEJENGA MAAKAH HAKURUHUSIWA KUINGIA NDANI ALIPOMALIZA KUJENGA AU UKANDARASI WAKE NAKWENDA KUKAGUA AU KUANGALIA KAZI YAKE ALIYOHIFANYA ALIPEWA SHATI KUINGIA NIKWAMUISLAM TU KWAHIO ALISILIMU NDIO AKARUHUSIWA KUINGIA
Yes, that is the one, but it would be too complicated to explain to these brainwashed people! That is why Ustad Salim gave a SIMILAR example of a similar STONE by Joshua, in the Bible! THAT example by Ustad Salim is perfect.
Hapo mnaongelea habari za agano la lake. Baada ya Yesu Kristo kuzaliwa ndipo ufuasi wa Yesu Kristo ukatokea baada ya Kristo kufa Msalabani na kumwaga damu yake iondoayo dhambi za binadamu kwa imani.
Zamani waumini wote walikuwa wanaingia sinagogi yaani msikitini. Kila dini iwe Mwislam awe Mkristo wote walitumia majengo hayo kwa kuabudu kwa mda husika. Ila kwa sasa kila dhehebu wana majengo yao. Makanisa kwa Wakristo na misikiti kwa Waislam. Mariam hakuwa Mwislam.
Maasha Allah.Leo nimefurahi sana ALLAH analeta mashahidi ili watoe ushuhuda kuhusu sehem zake takatifu..Alhamdulillah kwa neema ya uislam.
Shaikh Salim Allah akujaalie safari ya Hajj na Umrah inshaAllah🤲🤲🤲 ww na mashaikh ambao hawajapata nafasi ya kwenda kuzuru....na Allah awajaalie ilmu na subra ya kuendeleza daawa na Allah awajaalie IKHLAS....amiin
Amiin amiin amiin
@@salimdaawah123Amiin ya Rabbi
Masha Allah mungu amuongoze mama aingie Islam ishallah
SHEIKH SALIM MAY ALLAH ONE DAY YOU WILL BE A TIME OF YOU TO GOING MAAKAH
Inn shaa Allah my dream
AMEEEEEN kwa Team mzima!
Allahswt awa wezeshe wao wote.!
RIZIKI MTOAJI NI ALLAH LAKINI WAKATI MWENGINE UNAWEZA KUSEMA RIZIKI INATOKA FROM NO WAY UNAJISHITUKIZIA MDOSI AMEKUPA USAFIRI AU AMEKUPA TIKETI YAKWENDA ULIPOKUA UNATARAJIA KWENDA
MUNGU amjalie Dada etu kuiona haki na aweze kuifata amiin
Assallam aleikum mashekhe wetu Alhamdullillah tuko pamoja inshaAllah Allah awalinde na jicho la husda Allah watie nguvu mkazidi kufungua wenzetu macho na kuona haki ulipo inshaAllah kazi nzuri sana
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
Maashaallah baarakallah wakristo wamepata somo na huyu dada alie kwenda makkah mpaka huyu mama mary amesema anaenda kufanya research..bila ushindani alhamdulillah to be a Muslim
Namuombea dua huyo mama anaeenda kufanya resach,Allah amuoneshe njia ya hakki na aweze kuifata
MashAllah Allah amuongoze mama amekubali kua amepotea
Kabisa huwa anahudhulia daawah hapa ila ameanza kuelewa
Maasha Allah.
SISTER IS SO LUCKY TO GET IN MAAKAH BECAUSE MAAKAH IS NOT PLACE FOR HOLIDAY AND IS NOT PLACE FOR UNKNOW MUISLIM TO ENTER EXCEPT MUSLIM ONLY
She does NOT realise how lucy she is!
She thinks that the MZUNGU CULT calling itself 'christianity', started in 1611AD, will OKOA her!
Amiin ya Rabbi MUNGU awajalie masheikh wetu timu yote ya Da'awah ya salim mtaani ifike makkah
Jazaakallah khayrii ❤❤
Mashaalah
Allah akulete makkah nakuombea ustadh Salim
Aamiin amiin amiin
Mashalla allahmdulilah ❤
Alhamdulillah
Asalamu alakumu mashala mungu amulidi kwakilajabo
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
Mume sahau kuwa ambia ya kwamba, IBRAHIM na Ismaeel ndio walio anzisha kujenga the KA'ABA!
Na HAPO ndio ibada inao fanyiwa PEPONI na Ma MALAIKA, (vile Biblia inavyo elezaa), NDIO ino fanyniwa na BIN ADAM, hapa DUNIANI!
TabarakAllah Team na Vijana wanoa support hii Team!
WaIslamu, musi sahau ku Changia Dawah!
NA the KA'ABA, ilio katika MECCA, (which is between two MOUNTAINS), ndio Biblia ina eleza,: "ni Mahali ilio CHAGULIWA na Bwana Mungu wako"!
Biblia, ime kusanywa na Ku TUNGWA na KING JAMES, na Wa Andishi wake 46, in 1611AD, kule ENGLAND!
Kweli Kabisa! Biblia ni STORYBOOK ya WaZungu wa England!
Subhana Allah wallah hivi nivichekesho vyawakristo walibebewa dhambi natena bado wakonadhambi 😂😂😂
Assalamu waleikum warahmatullahi wabaraqatu sheikh salim ngugi
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
haha hyo kijana amepatkana;hakuna kipya chini ya jua
DADA ATUU YUPO NABAHATI KUINGIA MJI WA WAMANGA WAKATI NIMKRISTO BAHATI KUBWA SANA KUTOKANA NAMATAJIRI ZAKE HAWAKUWA NA ELIMU NAKUMPELEKA MAANEO YA TWAWAF SABABU NIWAISILAMU TU PEKEAKE NDIO WANAKUBALIWA KUINGIA NDANI MAKAA SABABU PIA ALIYEJENGA AKUINGIA NDANI BAADA YAKUMALIZA SABABU AKUWA NA PERMISSION MPAKA ALIPOSILIMU NDIO AKAINGIA NDANI NAKUONA KAZI YAKE ALIYOFANYA
Jennifer leo uko wpi
Masha Allah tabaraka Allah
mashaallah ts been long buh am bak
OSHA kwa sabuni namaji kausha kwa tissues unalizia kutayamam.
Kuosha nn huko jmni?
@@andallaathman3856 unapomali to do your private Essie in toilet.
Maa shaa Allah ❤❤
F❤😂🎉😢😮😮😊
❤😂🎉😢😅😅😊
❤😂🎉😢😮😮😮😅
❤😂🎉🎉😢😢😢😮😅😊
@@ZayyanaBamuni
😂😂😂🤣
Mashallah
DADA AMEPATA BAHATI SANA KWENDA NA WADOSI WAKE MAAKAH SABABU FUNGU YAKUINGIA PEPONI NI SALAH NISAWA NA FUNGUO YAKUINGIA MAAKAH NI MUISLAM TU SABABU ZAKE KAMA KILA MTU ALIYEKUA NA ASIYEKUA MUISLAM HARUHUSIWE KWENDA SABABU WANGEKWENDA WATU WENGI SANA KAMA UTEMBEZI TU LAKINI MDOSI AU TAJIRI WA DADA AKUWA NAHILIMU NDIO MAANA AKAMCHUKUA DADA MAAKAH NDANI SABABU PIA ALIYEJENGA MAAKAH HAKURUHUSIWA KUINGIA NDANI ALIPOMALIZA KUJENGA AU UKANDARASI WAKE NAKWENDA KUKAGUA AU KUANGALIA KAZI YAKE ALIYOHIFANYA ALIPEWA SHATI KUINGIA NIKWAMUISLAM TU KWAHIO ALISILIMU NDIO AKARUHUSIWA KUINGIA
Team sheikh Salim, si hilo jiwe huyu dada alisema ni Hajarul-Aswad the black stone that Allah sent down from Jannah. Ama nimekosea
Yes, that is the one, but it would be too complicated to explain to these brainwashed people!
That is why Ustad Salim gave a SIMILAR example of a similar STONE by Joshua, in the Bible!
THAT example by Ustad Salim is perfect.
Okay noted
@@Sai.Mo69umesema kweli kabisa
@@samxx411 👍👍
Hapo mnaongelea habari za agano la lake. Baada ya Yesu Kristo kuzaliwa ndipo ufuasi wa Yesu Kristo ukatokea baada ya Kristo kufa Msalabani na kumwaga damu yake iondoayo dhambi za binadamu kwa imani.
Ushahidi uko wapi
20:57 20:58 21:09
Zamani waumini wote walikuwa wanaingia sinagogi yaani msikitini. Kila dini iwe Mwislam awe Mkristo wote walitumia majengo hayo kwa kuabudu kwa mda husika.
Ila kwa sasa kila dhehebu wana majengo yao. Makanisa kwa Wakristo na misikiti kwa Waislam.
Mariam hakuwa Mwislam.
Sio kweli
Warabu huko hawajui kiswahili
WAARABU PIA WANAJUA KISWAHILI MBONA NDUGU ZETU WAKENYA WAPO WENGI ARABUNI WANAFANYA KAZI QATAR SAUDIA OMAN NAKADHALIKA KWAHIO WAARABU WANAZUGUMZA KISWAHILI
@@jumahamad9463 sawa ndugu,but yule mschana ndio anasema aliwauliza maana ya Bismillah kwa kiswahili hakujulishawa huko s.arabia.
mombasa waarabu wanaongea Swahili LAKINI uarabuni hawaongei but baaadhi ya maneno yao mengi niya kiswahili
@@sheemaryamswadkta dada👍👍💯💯
Dunia ni yetu sote. Macca si kwa Waislam peke yake . Hata kwa Wakristo pia maana Ibrahim na Hajra waliabudu hapo.
Mbona hamwendi kuhiji?