SOKA KIJIWENI 3/12/2024 | Mashabiki Simba, Yanga ngoma nzito kusafiri pamoja kwenda Algeria

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @EliyaKudaga-u4q
    @EliyaKudaga-u4q 8 วันที่ผ่านมา

    Nitafurahi sana kama watapanda ndege Moja ❤❤

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 8 วันที่ผ่านมา

    Tarehe 8🇹🇿🦁♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪💪💪🙏🙏

  • @ShabiruMdou
    @ShabiruMdou 8 วันที่ผ่านมา +2

    Ukitaka like hupewi nausipo taka ndo unapewa pamoja sana wanangu wa soka kijiweni🎉🎉

  • @ARROWSTAR2024
    @ARROWSTAR2024 8 วันที่ผ่านมา

    Dodi unazingua mzee si hatuwezi kupanda ndege moja

  • @FootballHM-r5t
    @FootballHM-r5t 9 วันที่ผ่านมา +1

    Ni hivi hata kma tungekuwa tunaenda kucheza nao ndege moja hatupandi

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 9 วันที่ผ่านมา

    UBAYA UBWELA🎉🎉🎉

  • @hassanyassin-ny3qh
    @hassanyassin-ny3qh 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ata samata alishafunga kwa vanndaick.

  • @lamecksebyiga1630
    @lamecksebyiga1630 8 วันที่ผ่านมา

    😄😄😄😄 Leo wazee wamekutana raha saana

  • @ARROWSTAR2024
    @ARROWSTAR2024 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mmh ndege maja kivip kwani kuna ndege moja tu inayosafiri?

  • @ARROWSTAR2024
    @ARROWSTAR2024 8 วันที่ผ่านมา

    Sisi kama wana simba hatutaki kupanda ndege moja

  • @brisillarutaigwa5022
    @brisillarutaigwa5022 8 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂,hawa wazee jamani

  • @ARROWSTAR2024
    @ARROWSTAR2024 8 วันที่ผ่านมา

    Kivipi mzee ofa si wapewe wao hii

  • @fatumasophu5855
    @fatumasophu5855 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona huyo mwamba kavaa rangizote za Simba bluu nyekundu nyeupe

  • @vomoelias5649
    @vomoelias5649 9 วันที่ผ่านมา +1

    Leo nimekuwa wa kwanza nipeni like zangu

  • @OctavianVumilia
    @OctavianVumilia 8 วันที่ผ่านมา

    Ubaya ubwela😂😂😂

  • @AlfaniMichael
    @AlfaniMichael 9 วันที่ผ่านมา

    Hatutaki kupanda ndege Moja na utopolo sisi watatutia gundu hao madunduka

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 8 วันที่ผ่านมา

    ILA DODI WW NI NOMA MZEE ....KIPINDI BORA SANA HICHI CHINI YAKO

  • @MustapherSamson-s6l
    @MustapherSamson-s6l 8 วันที่ผ่านมา

    HAHAHAHAHAHAHAHA