SOKA KIJIWENI | Mashabiki Simba na Yanga wacharuana, kisa nani bora zaidi msimu huu (Part 2)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • SOKA KIJIWENI 04/03/2024: Hii ni sehemu ya pili ambapo Dody anaendelea kupiga story na mashabiki wa Simba, Yanga na Azam na leo yuko kwenye moja kati ya vijiwe maarufu vya kahawa jijini Dar es Salaam, ajenda kuu ikiwa ni timu ipi ina uongozi bora zaidi na kwa vigezo vipi kati ya Simba, yanga na Azam.....!!!
    Mashabiki wamelumbana kwa hoja na ishu ya usajili wa wachezaji wazuri imetawala kama kiashiria kikuu cha kupima ubora wa uongozi..
    Kisugu na Mwalimu wa yanga ni sehemu ya kijiwe hiki...
    Enjoy #SokaKijiweni kila Jumatatu saa 3:30 usiku #AzamSports1HD
    Kutazama sehem,u ya kwanza ya kipindi hiki, ingia hapa.... • SOKA KIJIWENI | Mashab...

ความคิดเห็น • 28

  • @khuzaimaswed8162
    @khuzaimaswed8162 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ayoub hakuitwa kwenye kikosi cha Morocco world cup 2022, hakuwa miongoni mwa wachezaji 26 walioshiriki!! Tupunguze uongo

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu wa yanga yupo fresh

  • @msurimtenukila6745
    @msurimtenukila6745 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kisugu woyoooo😂😂😂

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 5 หลายเดือนก่อน

    Kisugu mwaka 1965 haikuwa Simba bali ilikuwa ni Sundaland Club ilikuwa mtaa Congo na Mchikichi nyumba kona ujuwe hivyo

  • @lazaroaloyce6649
    @lazaroaloyce6649 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kisugu the best for me wengine washamba tu

  • @davidndaha9607
    @davidndaha9607 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi simba anamakombe mangapi uliza kisug?. Aliyapataje na team gani!.

  • @user-ku7dl1vo5y
    @user-ku7dl1vo5y 6 หลายเดือนก่อน

    Kwani raisi watu samiya bora kagombeya na nani

  • @alitante4279
    @alitante4279 6 หลายเดือนก่อน

    Iyo miziki mungezima ili tusikie uzr

  • @makoreremakorere4212
    @makoreremakorere4212 6 หลายเดือนก่อน

    Kisugu ni mastar nawatakoma

  • @rogermabirwa
    @rogermabirwa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kisugu nimeani hanapenda vurugu kweli ni mshezi hajuwi mpera kweli

    • @SIMBAYETUTV
      @SIMBAYETUTV 6 หลายเดือนก่อน

      Uwo mpra

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu kisugu anashindana kwa historia ya nchi au timu c kwa uwezo wa mtu.

  • @user-ii3gm5xi3l
    @user-ii3gm5xi3l 6 หลายเดือนก่อน

    Kisugu kajambe uko huna swaga

  • @abrahmanifarouckissa5662
    @abrahmanifarouckissa5662 6 หลายเดือนก่อน

    Kisugu kichwa tenge hamna kituuuu ovyooooo

  • @ramadhanrobin-st6hh
    @ramadhanrobin-st6hh 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kisugu acha uwongo kile kikosi cha morocco Qatar magoli kipa waliitwa watatu Munir,Bono na ahmed reda uyo ayubu unaemsema katoka wapi acheni kudangany watu ckuiz mitandao ipo😂😂😂

  • @user-gb8rj4nk7p
    @user-gb8rj4nk7p 6 หลายเดือนก่อน

    Tim yenye jina kubwa Afrika katika ya Simba nå yanga ni ipi???

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 6 หลายเดือนก่อน +4

    Madunduka tangu tuwale Tano akili hazija Kaa sw

  • @user-me1rk4rs2p
    @user-me1rk4rs2p 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo anaweza kubeba dhambi ya aina yoyote ile kasema bora afe baba yake kuliko mo ndio mna kitu humo

  • @rebekaadorphine8296
    @rebekaadorphine8296 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi uyu kisugu ajuwi kuongea kabisa nivurugu tu

  • @rebekaadorphine8296
    @rebekaadorphine8296 6 หลายเดือนก่อน

    Kisugu mtu mnzima hovyo

  • @user-ze7zq9eq3k
    @user-ze7zq9eq3k 6 หลายเดือนก่อน

    Aende jangwani akaone makombe ajue yamefika au hayajafika..huyo ni tenge tenge tu na kipara chake

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 6 หลายเดือนก่อน

      Sio makombe ya ligi kuu Bara au muungano kwa sababu mengi hawakupatikana baada ya 1965! Msijisifie upumbavu! Binafsi siwezi poteza muda na watu wa yanga! Wanatamani kuwa kama SImba.. ! wanaiga juhudi za Simba kimataifa, lakini bado wanataka Simba idharauliwe wakati hawana cha kuonyesha hadi hii leo!? Ndio maana Simba iko nafasi ya 7 Africa na yanga wapo hukoo! STUPID PEOPLE!

    • @user-ze7zq9eq3k
      @user-ze7zq9eq3k 6 หลายเดือนก่อน

      @@josephgomalo41 muigwe kwa lipi??hamuna chakusema nyinyi ila mutasema tu...na nyinyi ndo ma stupid...huyo tenge tenge mwenyewe ni chawa wa viongozi..ila anajuwa ukweli sembuse wewe?yanga ndo mume wa simba(makolo) mutasema tu