Moja ya company media kubwa ambayo itakuja au imekuja kurudisha imani ya bongo movie ni hii MALI MEDIA ..tunawaomba umoja wenu uendelee hivyo hivyo mafanikio yasiwape kiburi mkasahau sanaa yenu maana mnawakilisha maisha halisi ya kitanzania na kiafrika zaidi .God bless Madebe Lidai and his industry family
*MASHALITI YA KUMILIKI PESA ZA MAJINI/MIZIMU.* 1. Uwe na umri kuanzia miaka 18 n.k 2. Uwe na moyo kutunza siri pindi utakapo kua umemiliki pesa za Majini/Mizimu. 3. Uwe ni wa kusaidia ndugu zako pamoja na kutoa misaada katika vituo wanavyo lelewa watoto yatima au wazee 4. Uwe unavaa nguo nyeupe kila siku ya alhamisi pamoja na kuchinja mnyama kila mwaka Kisha kula pamoja na ndugu zako au jamaa na marafiki. Usinyanyase ndugu eti kwasababu unamiliki pesa hizi. 5. Pia haichagui jinsia uwe mke au mume wote inawezekana kumiliki pesa za Majini.
Ningepata nafasi ya ku edit: Binti kurasa anguingia guest kwa mtindo ule, angekutana ma mpenzi wake waieahidiana, kisha wakakosana pale getini, creating some action, then jamaa anaskia fujo akitoka anamkuta dem anamjua analia, anamsaidia na kuimuingiza ndani kwa lengo la kumfariji,
Bembe to Thé World 🌏💪🇨🇩 Niko kwenye m💥💥ukwaju
Moja ya company media kubwa ambayo itakuja au imekuja kurudisha imani ya bongo movie ni hii MALI MEDIA ..tunawaomba umoja wenu uendelee hivyo hivyo mafanikio yasiwape kiburi mkasahau sanaa yenu maana mnawakilisha maisha halisi ya kitanzania na kiafrika zaidi .God bless Madebe Lidai and his industry family
Yaah n kweli
Kbs
Nice
Hapo umenena anakuja juu kweli madebe
Napenda sana hii movie …. From Kenya 🇰🇪 but lives in usa 🇺🇸
Tunao cheki mkwaju uku tukiwa tuna soma koment 🔥🔥 tujuane hapa kwa like 💥
😅😅😅 yani ww 🤗
Kwa kweli madebe unaelimisha, napenda sana kuifatilia kazi yako mungu awazidishie maisha marefu
Iko pow San zaidi ya San kwanza inafundsha ktu flani from Tanga Tazania nakubali sana flam zako nabih mswahili
Ongereni sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️❤️
Big Up sana Brother pamoja na Team yako, filamu iyi ime ni funza vitu vingi sana kabisa,Amezing🌌
Yani hii hata ikiwa masaa 10 basi nitanunua Mbs maana ni hela yangu mwenyewe, 🔥🔥🙌
😁😁😁
Movie nzuli sana yenye mafinzo na mafumbo love from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Filamu nzuri sana hii. Nimeipenda from Congo Drc but living in Burundi
Salimia Wabujubra...much love from Kenya
Huyu jamaa hajawah kufel big up
nakukubari Sana madebe wew na kazi zako,natamani Sana...
nitakuwa. mchoyo wa.fadhila kama sinta acha comment. hongera sana sana madebe move iko.poa sana n nzuri haina mfano
Kama unamkubali madebe naombeni like hata 10
🔥🔥🔥🔥tamu kolea congratulations team madebe kitu akina mfano mkwaju ,,,nawakilisha 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Mombasa ,,,part 3
Nikiwa likon binafsi nimeikubal
@@samdullah8799 jirani 😂 yetu kumbe likoni yawapi
Kongole nakupa madebe.. ✊✊✊ from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Madebe uko mwandishi mzuri,filamu nzuri sana
Tunaoangalia movi ya mkwaju part 1 ,2 , 3 tujuane weka like
Hii tamu zaidi mkwaju ama kweli umetupiga nao from Qatar
Mashallah movie nzuri yenye magunzo 👍
Naenjoy kuangalia hii move uyo brasius duuuuuh nakuona mbaliii sana
Kazi nzuri from Kenya Malind.... Vp sehemu ya tatu lini
Big up Madebe na team yako
Mungu azidishe vipaji vyenu, kwa hakika kila filamu inayotoka basi inaidi ya iliyotangulia
madebe nimekukubali kishenzi mwanangu sana kazi nzuri sana mimi ni mkongo ila ninaishi sauza Africa ongera sana
Ndugu yangu, abari? Mimi ni mkongo Pia , abari ya afia ?❤️
@@kondeboyjeshi6960 wewe siyo kama wewe mkongo tuongeye lingala mbote boni journe oza bien
@@kondeboyjeshi6960 tindelanga Numero nayo ya wsp mukiswahili nasema ivi nitumiye namba zako za wsp
Madebe ww brother fundi
Nzuri sana shida video sio safi
Ingekuwa vizuri mngwkuwa mnaziachia mbilimbili😂madebe Anajua Anajua Anajua tenaaaaa
Bado naendeleya kufwata kazi njema ya bwana mkubwa #Madebe 🇨🇩🙋🏽♂️
Uyu mwamba namkubali sana anajuwa kufundisha jamii
Madebe huna mbaya tuko pamoja Sana from qatar
Upo Qatar kwel ww
Hongera kwako chanua na madebe nawapenda
Hongera sana kaka made every mungu akubariki sana kazi mzr sana nainamafunzo pia
Filamu Kari xana kbs. Love from Msawa Boy 🇧🇮 🙏👊
Nzuri sana kaka,ongereni sana.ila msitucheleweshi zakufata.maana mtakuwa mmetunyima utamu
Madebe huwa unatuangusha kwenye umaliziaji na kutuwekea youtube ila unafanya kazi nzuri ever mkwaju ni bakora na inachapa kweli kweli
Brave team. Hongerani Madebe na team yako
Daaah Sema Kuna Wana Hawazimi Data Au Cio Nikajua Wa Kwanza Kumbe Kitambo Tu Wana Wamekichafua
Mkwaju ipo juu 🫵😎nimependza team madebe
Wa kwanza naomba like zangu
Shukrani kwa hii movie ambayo inafunza wanandoa
Anae mwamini huyu mwamba kama Navyomwamini mimi gonga like
Hongera sana mate wangu.
Film maker mwenzangu.
Pongezi nyingi sana kutoka
#Golden Media Tz
Mbezi Luis
🤝🤝🤝
Kazi yake nzuri saaaana ila huwa hamalizi
Madebe Hana Kazi Mbovu Big AP Sana Kwenu
😁Ha ha ha...!!! Watu Wanataka Jina La Mama Ake 🙌
An nimetoka kukumbushia part 01 sio mda😂😂 afu mara paap part 02 yake ndo hiii🥰🥰
Hongeraa aisee nimejfunzaa ktu
Mimi Kaka kiukweli na kubali Sana kazi zako
From Congo tokoos
Kazi nzuri nimeipenda
Napenda sn mkwaju from oman❤
Wagapi tumependa haka kanyimbo jamani kama kuna mtu amependa anipe like yangu
Kaka lidai unafanya kaz vyema sana hongera sana kaka.
waaaaaaaaoooooh filamu nzuli sana.big up lidai
Hongera sana kwa utunz ❤❤❤
I ❤️ this move. Recepect sanaa Madebe my friends.
Filamu imeua kiungwana sana.big up!
Aki hii movie nikali Sana 👏👏mkwaju ❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😁😁😁😁😁jamaa ana zari huyu Dem kajitusu
MADEBE IS SO CREATIVE
Hongera Sana madebe na group yako kwa hakika hii movie iko poa sana
Kiufupi wewe brother unajua sana 👍
Jaman alieimba nyimbo Nan mbn tamu saan💥
Wawoo kaka madebe nakukubali san ww na team yako maan hat mm ni msanii natamn ningeungan na nyie
Madebe nakkbali Mzee safii kazi nzuriii
Kitu Safi wapendwa 🤗🤗🇰🇪🇰🇪
Jamaa karudi,bila taarifa
ujawai kuniferisha mabede hongera kazi nzuri
Rudisha tena huu mchezo❤
Madebe nakuelewa sana kiukweli yani una moves za kufundisha
Nakubali sana kazi zako bro mimi ni naishi yombo njiapanda kwa mwinyi
Safi Sana kutoka Znz
Umetisha madebe
From mozambique naomba sehemu ya tatu3
Movie tamu sana hongera sana madebe nagupenda sana 🇸🇦🇧🇮
madebe uko vizury hongera kakaa naangalia nikiwa dubai
KAZI nzuri Sana mubarikiwe nyote
Mbona sehemu ya tatu naona kuchelewa sanaaaaa tuh, bwana madebe weeeee weka mambo bwana
Safi napata picha nikiwa qatari
Nambenda sana artor anaye soma ili kazi yake iwe nzuri
vizuri sana badebe 🇨🇩🇨🇩
Nimeipenda from Nigeria
Hongeleni sana
Woote wanaenda kufanya kitu kimoja kwa cku moja na sehem moja kwa wazo moja kwa mtu mmoja @MKWAJU
All ov you congtrat you did it💪💪🔥🔥
Nataman iendelee ni nzur jaman mashaallah
Hongera madebe na tem yako
movie nzuri sana na inatufandisha sisi vijana🔥🔥. hiyo nyimbo tutaipataje?
Madebe huwa nakufatilia Sana kaka wewe ndio msanii kwenye hii nchi
Kimeumana😂
Ni series Nzuri Sana Aiseee
Madebe unaendelea kunifurahisha
Halafu batani anachekesha sana anavyoongea😂😂😂
Hongera madebe ila weye fundi sana wa movie
Absolutely 🤗💯🇹🇿 from south Africa
Kazi nzuri sana big up mwamba
*MASHALITI YA KUMILIKI PESA ZA MAJINI/MIZIMU.*
1. Uwe na umri kuanzia miaka 18 n.k
2. Uwe na moyo kutunza siri pindi utakapo kua umemiliki pesa za Majini/Mizimu.
3. Uwe ni wa kusaidia ndugu zako pamoja na kutoa misaada katika vituo wanavyo lelewa watoto yatima au wazee
4. Uwe unavaa nguo nyeupe kila siku ya alhamisi pamoja na kuchinja mnyama kila mwaka Kisha kula pamoja na ndugu zako au jamaa na marafiki. Usinyanyase ndugu eti kwasababu unamiliki pesa hizi.
5. Pia haichagui jinsia uwe mke au mume wote inawezekana kumiliki pesa za Majini.
Hongera sana uko vizuri
Jmn part 3 tunaisubilia msilale💥
Ningepata nafasi ya ku edit:
Binti kurasa anguingia guest kwa mtindo ule, angekutana ma mpenzi wake waieahidiana, kisha wakakosana pale getini, creating some action, then jamaa anaskia fujo akitoka anamkuta dem anamjua analia, anamsaidia na kuimuingiza ndani kwa lengo la kumfariji,
Akilini huna..
Best movie ever❤
🔨 mnajuaaa
Good job
Shuklani kaka yangu kwa kazi nzuri 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰