'SAMIA MUST GO' YAFIKA KWA NCHIMBI, ATOA KAULI - "HILO NI JAMBO LISILOWEZEKANA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 58

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 หลายเดือนก่อน +2

    Ndo ninachompendea Nchimbi ...Kakomaa Kisiasa hua hakurupuki Safi Katibu

  • @salcle9702
    @salcle9702 หลายเดือนก่อน

    Katibu must goooo

  • @FadhiliMakasi-g5m
    @FadhiliMakasi-g5m หลายเดือนก่อน

    Mungu aibariki Tanzania

  • @salhakyande3905
    @salhakyande3905 หลายเดือนก่อน

    Drs SSH❤

  • @lucaskiswizah7097
    @lucaskiswizah7097 หลายเดือนก่อน

    Siyo kauli za CHADEMA Tu.
    Wananchi mitaani pia wanasema She must go

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 หลายเดือนก่อน

    Uyu Jamaa kichwa kweli hapo chadema kwisha kabisa hivi Ulisomea kuongea point mzee mana mbaka mm umeniondoa presha ya kuandamana Kuazia sahizi Samia kwanza.

  • @lucaskiswizah7097
    @lucaskiswizah7097 หลายเดือนก่อน

    Majority of citizens,are no longer in love with samia

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu หลายเดือนก่อน

    Da nchi hii atar

  • @MrKahise
    @MrKahise หลายเดือนก่อน +1

    You have spoken well Nchimbi

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 หลายเดือนก่อน +6

    Sijui nimeingiaje nikafungua hii habari

  • @jacobwarieba5841
    @jacobwarieba5841 หลายเดือนก่อน

    Mama.ulianza vizuryi Sana hizo dowaaa uskubali angalia namuna kaa.na docta nchimbi uhone jinsi ya kuiongoza tanZania achana na wengine

  • @Nadir_Abdullah
    @Nadir_Abdullah หลายเดือนก่อน

    Kwili kabisa❤❤❤

  • @allytv1714
    @allytv1714 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa kama waliombaka yule binti paka leo kesi wanarefusha kutupotezea waachiwe yaan hii nchi kuna watu wameshajimilikisha

  • @rechomathayo-kf7jc
    @rechomathayo-kf7jc หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no หลายเดือนก่อน

    Wew sema usemayo Samia lazima aondoke tu Raia sisi ndo tunaochagua na ndo walewale tunaotaka a gooo

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anatumia vizuri uzee wake

  • @ndaimtambo8845
    @ndaimtambo8845 หลายเดือนก่อน

    We kenge nini 😮 unatufananisha na siasa za marekani 😮

  • @lazymicet
    @lazymicet หลายเดือนก่อน

    Nyie bwana mnajifkiria wenyewe na sio wananhi, hili swala sio kuhusu mboye/siluhu, hii ni tatizo la nchi na sababu nyie mlioko juu mnanguvu,uwezo na haja ya kuendeleza nchi na hamfanyi ivyo haya mengine ni matunda ya uongozi mbovu, get that country in order or one must leave, mi naona unataka kutuliza tuu hasira but kwa wale watakaokubali...that country needs maendeleo na maisha bora kwa watu wake na nyie mnakula tuu nje nje come on maan

  • @msisisimon_98
    @msisisimon_98 หลายเดือนก่อน

    ila Siasa

  • @Vodoochic
    @Vodoochic หลายเดือนก่อน

    We ni mjinga

    • @josephsisa8139
      @josephsisa8139 หลายเดือนก่อน

      Kuwa na adabu mjinga wew usio elewa

    • @Vodoochic
      @Vodoochic หลายเดือนก่อน

      @@josephsisa8139 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @boxdad
    @boxdad หลายเดือนก่อน

    Katiba must go

  • @Paulogitano-rj9rr
    @Paulogitano-rj9rr หลายเดือนก่อน

    Wewe tetea tonge lango ukimaliza jikatae.

  • @LitoDossani
    @LitoDossani หลายเดือนก่อน +2

    Tanzani akuna amani kuna uoga

  • @AlfaSaa-j4h
    @AlfaSaa-j4h หลายเดือนก่อน +1

    Mbona ccm hawatekwi babu vipi ccm ndio serikari

  • @abisaingimbudzi590
    @abisaingimbudzi590 หลายเดือนก่อน

    MZEE HAUKO SAHIHI KUTUMIA MFANO WA MAREKANI! KULE ALIYEMPIGA RISASI ALIPIGWA RISASI PALE PALE.HUKU KWETU TATIZO WATU WANAFANYA UHALIFU NA HAWAPATIKANI.
    MWANZO 9: 6-KUMBUKENI MUNGU YUPO.

  • @HusseinMohammed-gh9rq
    @HusseinMohammed-gh9rq หลายเดือนก่อน

    Ona siasa ilivyo sasa 😂😂

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 หลายเดือนก่อน

    Wazee walisema Kikulacho kimo nguon kupata watu wakusapoti jambo lazima utengeneze njia uongozi balaa kubwa sana lazima lilambe damu kama siyo ya mtu utapata ya myama juu matamanio ya moyo upita zaid mwenyezi mungu atupe mwisho mwema nani mkweli hii ni mpango ya kuchafuana tu na kuwatesa tu raia

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 หลายเดือนก่อน

    inabida tuwe wapole, maana kuna vitu vina siri nyingi saana, kuna watu wapo tayar kufany uovu ili walaumiwe Police, usalamanwetutunafaa kujilinda wenyew na kuwapa ushirikiano Police, maana wao ni wachache sisi ni wengi, so inapotokea mtu umeibiwa kwako jiran yako hajui alafu unasema Police hawalindi Raia na mali zao, kwan Police unataka alale kwa kilamtu, watatoaha kweli??

  • @SwamiMasudi
    @SwamiMasudi หลายเดือนก่อน

    Kwan Nini hao watekaji hawawateki ccm

  • @alhaqq-tv
    @alhaqq-tv หลายเดือนก่อน

    Huyu kwasababu hajawahi kutekwa jamaa yake, wala hajawahi kubakiwa mwanawe.

  • @allytv1714
    @allytv1714 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi siyo ya ccm at nyerere alishasema ipo siku ccm mpinzani atashika nchi na kiongozi atakaye puuza maoni ya wananchi atalia kilio akose wa kumnyamazisha

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 หลายเดือนก่อน +1

    Samia haondoki ila utekaji haufai maandamano ni haki

    • @BarakaOchuu
      @BarakaOchuu หลายเดือนก่อน

      Wew Kama nani

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 หลายเดือนก่อน

      Kaandamane mwenetu utakuja kutumpa mrejesho

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa หลายเดือนก่อน

      il ww unajifanya mfuga kuku ila kumbe ccm mbwa​@@jassonnelly3445

  • @hamissomary6869
    @hamissomary6869 หลายเดือนก่อน

    Hpa kwetu matukuo yamezidi

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa mjanja anaregeza nati za wapizan

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu หลายเดือนก่อน

      Ndio maana wamempa hicho cheo

  • @HamisMussa-j5k
    @HamisMussa-j5k หลายเดือนก่อน

    Hkuna hcho hii sio nchi ya ccm kwamba watu hawawezi kuhoji

  • @PaulMsema
    @PaulMsema หลายเดือนก่อน

    Acha vyama vya upinzani wapige kerere Ccm wanajisahau sana

  • @samorasilayo1268
    @samorasilayo1268 หลายเดือนก่อน +4

    kwako haliwesekani ila kwa wananchi inawesekana mtajua hamjui

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 หลายเดือนก่อน

      Kila lakheri jichanganye utakuja kutupa majibu

    • @jumakhamis226
      @jumakhamis226 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅​@@jassonnelly3445

    • @ErnestJosephat
      @ErnestJosephat หลายเดือนก่อน +1

      @@jassonnelly3445inawezekana tunajua ww ndio wao

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 หลายเดือนก่อน +1

      @@ErnestJosephat aah mimi nafuga kuku babuu sina shobo na siasa wala siwezi betia mwili wng maana hakuna kitakacho change unadhani haya yameanze karne hii?

    • @shabaninayopa-nw9cf
      @shabaninayopa-nw9cf หลายเดือนก่อน

      Mtajua wapenda maandamano na iman na serkal yng sikurupuk

  • @ODENILWILA
    @ODENILWILA หลายเดือนก่อน

    Sasa wewe nchimbi huku sio marekani unakimbia mijadala

  • @googleus4903
    @googleus4903 หลายเดือนก่อน +2

    MBONA NYIE HAMUESHIMU KATIBA, MNAUA WATU BAADA YA KULINDA KAMA KATIBA INAVYOWATAKA.

    • @yusuphmnyamani2199
      @yusuphmnyamani2199 หลายเดือนก่อน

      Peleka ushahidi jeshi la polisi ili kusaidia kwenye upelelezi

  • @onesterabayo1871
    @onesterabayo1871 หลายเดือนก่อน

    Tanzanians are not free

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza หลายเดือนก่อน

    Jmn wakristo ccm Ina miziz ytu hv tuipiganie ccm ytu inalinda ukristo

    • @Abs-tz8dl
      @Abs-tz8dl หลายเดือนก่อน

      Tamzania kuna shida zakutosha usituongeze udini pia

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa หลายเดือนก่อน

      Hili jamaaa shoga la kutupwa senge

    • @warlexnyamba2601
      @warlexnyamba2601 หลายเดือนก่อน

      Mkristo wa ccm mamako

    • @saltechnologiesco.ltd.2377
      @saltechnologiesco.ltd.2377 หลายเดือนก่อน

      Inawezekana ndio maana hamkemei yanayoendelea 😢