HAMISA MOBETO ALIVYOVALISHWA JEZI NA AZIZ KI, AHAMIA YANGA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 70

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda hiyo

  • @KhadijaAli-e7e
    @KhadijaAli-e7e 2 หลายเดือนก่อน

    What a beautiful girl 😢

  • @AlexJackson-ig2yd
    @AlexJackson-ig2yd 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tamasha sijalielewa

  • @SaidMkome
    @SaidMkome 2 หลายเดือนก่อน +5

    Tamasha la mapenzi

    • @Omar12nyange
      @Omar12nyange 2 หลายเดือนก่อน

      Side Mbona Kama Makasililko

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 kwa kweli

  • @BurhanMajura
    @BurhanMajura 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kashajizalilisha na hafai hata kutangaza tena bidha ya simba

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 2 หลายเดือนก่อน +3

    Uongozi wa Yanga lazima wawe makini sana. Huu uhusiano usiathiri timu ukaleta mfarakano wa wachezaji.. Timu iwe kwanza mahusiano ya watu yawe baadaye. Wachezaji wengi wan mahusiano yao.

    • @AbdulZahoro
      @AbdulZahoro 2 หลายเดือนก่อน

      Point kubwa

  • @RAISONMATINDE
    @RAISONMATINDE 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika Ili ni Tamasha la mapenzi au wapenzi

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dd mbona ana wapenzi wengi yn mwl wake ni biashala mpk wachezaji wadogo

    • @AbdallahSaid-to2wq
      @AbdallahSaid-to2wq 2 หลายเดือนก่อน

      Alokwambia azizi k nimchezaji mdogo nani wewe?

  • @DPW665
    @DPW665 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu Aziz K ana hatari ya kurudi Bukinabe na bukta na T shirt ya Yanga tu

    • @FelistersMejumaa-xi2ge
      @FelistersMejumaa-xi2ge 2 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣 Bukinabe ndio wapi huko

    • @samwa9496
      @samwa9496 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli

  • @eliamirrudy6417
    @eliamirrudy6417 2 หลายเดือนก่อน

    HOME BOY WEW NDO TOP WA NEWZ TZ..HUJAWAHI FELI 😁

  • @iprincetz4637
    @iprincetz4637 2 หลายเดือนก่อน

    Hellow

  • @OmanSohar-d7z
    @OmanSohar-d7z 2 หลายเดือนก่อน +11

    Uzinifu tu kufanya ya mana aaaah 😂😂

    • @aishaomar1845
      @aishaomar1845 2 หลายเดือนก่อน +1

      But boy isn't mine Hahaha he is running 😂😂😂 i

  • @michaelmwikalo971
    @michaelmwikalo971 2 หลายเดือนก่อน

    Ndio maana Magoma anadai katiba og timu imekosa heshima mchezaji anapewa uhuru wa kumtambulisha hawara tena kiruka njia cjawahi ona duniani timu imekua kama genge la kihuni kuna wapenzi na mashabiki ambao ni maustadh na wachungaji leo mnawaweka kwenye nafasi gani hii ni aibu ina maana Mobetto ni muhimu sana kuliko watu wenye akili zao pale Yanga yaan manara katukosea ku entertain na kuukaribisha uzinzi kwenye club

  • @chikualiy8705
    @chikualiy8705 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mobeto day ..😂😂😂😂😂

  • @iprincetz4637
    @iprincetz4637 2 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa me nashida nawewe

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 2 หลายเดือนก่อน +1

    umsifie hamisa kwa kujidhalilisha au??? Kwani mwanzoni alikuwa hivyo uyo....si alijifanya binti wa kiheshima clasic hana mambo mengi leo ikawaje??c atukupangii uishije ila tunakuona chinga

  • @NurdinBakari-t6w
    @NurdinBakari-t6w 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tamasha la kutambulisha WAZINIFU 😂😂😂😂

    • @bennamush4616
      @bennamush4616 2 หลายเดือนก่อน +4

      Wivu tu kuoga aaah

    • @NeemaMushi-wj1zn
      @NeemaMushi-wj1zn 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

    • @KakeSimba
      @KakeSimba 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Wazinifu day

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @samwa9496
      @samwa9496 2 หลายเดือนก่อน

      Ghalib angalia sana huyo Aziz K atashuka dhamani mpira utamshinda wanawake wengi ni wachawi anamnyonya nguvu zake ooohooo

  • @Shabani-uz1sb
    @Shabani-uz1sb 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo, Hamisa, mbuziwaalubadili

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 2 หลายเดือนก่อน +1

    Na ndoa ifate😂tu

  • @MuniraMtoro
    @MuniraMtoro 2 หลายเดือนก่อน

    Hatun r

  • @hawaa341
    @hawaa341 2 หลายเดือนก่อน

    Sehemu muhimu hii Kuna watu wa heshima simu kutabulishana wapezi

    • @walker-96
      @walker-96 2 หลายเดือนก่อน

      Mtu mwenye miaka 27 + kumtambulisha mpenzi kuna ubaya gani

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 2 หลายเดือนก่อน +2

    HUYO AZIZ ATACHUNWA KUANZIA MSHAHARA HAD POSHO ZOTE HAMISHA YUPO KIMASLAH HUYO MTOTO WA TOWN WE ENDELEA KUMUITA MALAYA WAKAT HUMILIK HATA ACOUNT YA M PESA😂😂😂😂

    • @DismasKisamuhalabath
      @DismasKisamuhalabath 2 หลายเดือนก่อน

      Wananchi sanukeni😊😊😊😊

    • @Salma-s1t
      @Salma-s1t 2 หลายเดือนก่อน

      Nyie wanadamu msiokuwa na haya,Mapenzi ya watu yanawahusu nini , nyie waacheni tu na Mapenzi yao ,Yakwenu yenyewe yanawashinda ya wenzenu mtayaweza?Mtashentwa,Weeee! Hauogopi!!!!!👊👊👊👊👊👊😡😡😡😡😡😡😡

    • @dominiccharles4909
      @dominiccharles4909 2 หลายเดือนก่อน

      Ooh

  • @SaidMkome
    @SaidMkome 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ndiyo mana mama dangote akutaki Dem mswahili sana

  • @KalebuMdeka-tv9in
    @KalebuMdeka-tv9in 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaaaaaaaaaaaa🎉 wapewe Maua Yao jaman

  • @abdimohamed9625
    @abdimohamed9625 2 หลายเดือนก่อน

    Wanatumia nguvu kubwa sana kutuibia mwana Simba wetu

    • @Deborahkarebu
      @Deborahkarebu 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mmngetumia na nyiee mmpe ata chamelonee akae naee😂😢

  • @IsaacPhilemon-mt7bk
    @IsaacPhilemon-mt7bk 2 หลายเดือนก่อน

    Mnatambulisha ndoa(au imekuwa Arusi)au tamasha la mpira.

    • @IkoUwasi-it6qy
      @IkoUwasi-it6qy 2 หลายเดือนก่อน

      siyo arusi ni harusi kolo wewe

  • @ashanzenzely3121
    @ashanzenzely3121 2 หลายเดือนก่อน

    Wenye chuki na chuki zao wenye choyo na choyo zao n nan c hao 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @HasinaIbrahim-bu5kq
    @HasinaIbrahim-bu5kq 2 หลายเดือนก่อน

    Siku akipata bwana Simba atahama?madada zetu bongo bhana dah😅😅

  • @jumasaid6073
    @jumasaid6073 2 หลายเดือนก่อน +17

    Tuache wivu wa kitoto,nani asiyejua Hamisa ni mrembo?Apewe maua yake,Mungu ndiy aliyempa zawad hiyo ,tujifunze kumsifia mtu inapobidi,hiyo ndio tabia njema!!

    • @AishaNgoyi-vi2ku
      @AishaNgoyi-vi2ku 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli kabisaa ♥️♥️ aliyepewa kapewa

    • @KalebuMdeka-tv9in
      @KalebuMdeka-tv9in 2 หลายเดือนก่อน

      Kwer kabisaaa

    • @issahamis581
      @issahamis581 2 หลายเดือนก่อน +1

      kweri iyo tim ya kiswairi
      adi ndowa za mkeka anaye ozesha manara
      apo kazi ipo ajiagariye
      manara atammendeya uyo Dem amurize makabira aricho fayhiwa

    • @belindamethod6681
      @belindamethod6681 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@issahamis581 ndo nini hik?jifunze kuandika

    • @richlord22634
      @richlord22634 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mrembo ndiyo ila Malaya, kuwa Malaya Kuna mshusha thamani ya urembo wake, imagine unakuwa na mwanamke eti kisa mzuri lakin rafiki yako nae kapiga, mara cjui Nani kapiga huyo demu wako au takataka inayoonekana nzuri tu machoni.

  • @DismasKisamuhalabath
    @DismasKisamuhalabath 2 หลายเดือนก่อน

    Wana yanga kuweni makini hamisa atamaliza kiwango cha azizi halafu mwisho wa siku atashuka kiwango na hatimayake mtakosa kitu mlichotarajia kutoka kwa azizi

    • @samwa9496
      @samwa9496 2 หลายเดือนก่อน +2

      mwanamke ni shetani ktk mafanikia

    • @DismasKisamuhalabath
      @DismasKisamuhalabath 2 หลายเดือนก่อน

      Hilo liko wazi lakini asijua anaweza ona eti wamuonea wivu wakati hakuletwa na mapenzi

  • @christophermbuga9623
    @christophermbuga9623 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hamisa ni chuma. Kila kitengo chake kiko vizuri.

  • @JafariMkopi-t8p
    @JafariMkopi-t8p 2 หลายเดือนก่อน

    wakiachana analudi simba

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 2 หลายเดือนก่อน

    Wote hao wapuuzi wanazini kabla ya ndoa ati Waislamu gani hao

  • @joycerichard9274
    @joycerichard9274 2 หลายเดือนก่อน

    Huo ni upumbavu mapenzi uwanjani

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 2 หลายเดือนก่อน

    Tuweni makini na ubunifu wa kilopolopo🐷🐷🐷

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huy hata hatusumbui km shepu
    yake isiyoelewek

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 2 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo maana mama hajapiga simu leo😅😅😅😅

    • @FanyJimmy
      @FanyJimmy 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂alipiga

    • @MohammedSaid-tf5qc
      @MohammedSaid-tf5qc 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa mama apige simu kwenye tamasha la mapenzi 😂😂😂 baada ya kutambulisha wachezaji wanatambulisha wapenzi wao 😂😂