INASIKITISHA! MBASHA ADAI KUKOMBWA KILA KITU NA FLORA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 175

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen. Pole Mbasha. Hao ndiyo walivyo. Wengi wametugeuza atm. Wote tumeumizwa . lakini nilibaki na Mungu. Sikuizi akuna ndoa ni wizi mtupu na tamaa ya mali .(bora kuchangia elim na matibabu na wenye maitaji kuliko harusi)Mungu akupe mwelekeo mpya na moyo wa ushujaa.Mungu akusaidie. Amen.

  • @yussuphmgodoka7142
    @yussuphmgodoka7142 10 ปีที่แล้ว +4

    Pole kaka mbasha, mwenyezi mungu yu pamoja nawe ktk kila jaribu linalokukuta

  • @AnnickMukeriwabo
    @AnnickMukeriwabo 7 หลายเดือนก่อน

    Yooo maskini mbasha nilikwa napenda sanakuskiliza nyimbo zako pole sana na matatizo uliyo pata inaumwa

  • @kidagodbless6001
    @kidagodbless6001 8 ปีที่แล้ว +1

    pole sana brooh..... u show.d much lv 2 her dat y she z doing 4 u dat way jifunze kupenda kiasi and if she doesn't want u just live her god will look upon d.c

  • @andrewmwilungu8419
    @andrewmwilungu8419 10 ปีที่แล้ว +3

    Maandiko yanasema, Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe. Nimeguswa sana na maelezo yako Mbasha. Ple sana lakini Mungu anayaona haya yote na ndiye pekee anaweza akatenda miujiza na maisha yakarudi kama zamani. Shetani hapendi watu wa Mungu waishi kwa upendo furaha na amani, atafanya kila hila kuchafua amani iliyopo. Piga magoti umwambie Mungu atende lile alipendalo juu ya kusalimisha ndoa yako na hasa kuandaa maisha ya baadaye ya motto wenu, ambaye sasa atapata shida ya kukosa upendo wa Baba na Mama aliouzoea tangu azaliwe. Mwombee mkeo na wala usimlaumu kwani sio yeye na wala sio akili yake. Omba toba ili Mungu asafishe pale ulipomkosea na kukusamehe kwani sote tu wenye dhambi, tunahitaji toba kila saa. Mungu akutie nguvu na kulisimamia hili na kwa Jina la Yesu lipitalo majina yote litakwisha. Amen

  • @zuuniece6635
    @zuuniece6635 8 ปีที่แล้ว +4

    pole sana kk mungu akutie nguvu

  • @sammykashama833
    @sammykashama833 10 ปีที่แล้ว +1

    Mg uliye Mtakatifu muumba wa mbingu na inchi na mwanzilishi wa ndoa na wa familia ,Na kusihi nikiomba saidia wana ndoa hawa, warejeshee tena nakwenda kinyume na nguvu za shetani muhusika mkuu katika kvunja ndoa, katika jina la ys kristo na kwa damu yako ya upatanisho naomba nakuamini Amen.

  • @sarahsesa8851
    @sarahsesa8851 ปีที่แล้ว

    Msikin nilikua sijasikiliza hii kitu pole mbasha mwanaume akisema anakupenda paka atoa machozi kwel anakupenda pole mbasha mungu akutie nguvu

  • @stanleyjohn6498
    @stanleyjohn6498 8 ปีที่แล้ว

    brother Mungu ni mwema wakati wote piga goti omba mungu akuoneshe njia kila kitu ninawezekana pole sana

  • @sophiacolman1130
    @sophiacolman1130 10 ปีที่แล้ว +3

    Pole na mitihani maisha ni sawa na miamba mungu yu pamoja nawe ila la muhimu usikate tamaa

  • @emmanuelgilbert7003
    @emmanuelgilbert7003 10 ปีที่แล้ว +2

    pole sana kaka Mungu atakupigania wala usihofu haki ya mtu haipotei kamwe

  • @janethshem5782
    @janethshem5782 10 ปีที่แล้ว +3

    Ana dhiki sana flora mbasha,vitu vtamsaidia nn sasa,kakayangu tulia mungu hachezewi, atakujibia,usilipize lolote,we mshukuru mungu, kumbe mkeo alikuwa mshamba tu na mlia njaa,ndomaana kakomba kila kitu

  • @1464254
    @1464254 10 ปีที่แล้ว +3

    Mnahitaji maombi, kuna roho ya uharibifu imewaandama, Ingia kwenye maombi ya kufunga nakuomba na uombe rehema, Mungu anaweza kukusaidia, mali zinapatikana kaka, ila amani ni kitu cha muhimu. Uwe na amani, na Pole sana.

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana brother mbasha, nimegundua wanawake wa kizazi cha leo ni tatizo. Nimejifunza kwamba anayeweza kutunza au kuvunja ndoa ni mwanamke......biblia inasema mwanamke "mpumbavu" huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว

      Hata wanaume mpo hivo hivo mm nimekuta mwanaume kachukua kila kitu aiseeee ilininiumiza japo nmeshasamehe japo ctak kurudiana naye ck zote

  • @loycegina3970
    @loycegina3970 7 ปีที่แล้ว +10

    umenitoa machozi ....Muombe Mungu atakusimamia kaka

  • @shirowairimu6623
    @shirowairimu6623 10 ปีที่แล้ว +1

    pole sana.labda huyu bb alikuwa amempenda mbasha ju ya dooo.anyway no woman no cry,am a lady but shetani hupitia wanawake::eve,debra,delila na wengi

  • @andrewsailen7628
    @andrewsailen7628 10 ปีที่แล้ว +5

    poleee braza mbasha God b with yu

  • @wenderoserie1538
    @wenderoserie1538 9 ปีที่แล้ว

    Here in London we are praying for you man of God Emmanuel Mbasha. God will protect and restore you. Keep believing . Do go back to your old church the Assemblies of God one.

  • @monicasiardes5819
    @monicasiardes5819 2 ปีที่แล้ว

    Nimechelewa Emma,njoo 🇲🇿 nikupende

  • @manaseh
    @manaseh 10 ปีที่แล้ว +10

    Jamani Tanzania , hata sasa Waandishi wa habari wanatoka hivyo ?huyo Mwandishi wa habari anaonekana kama "omba omba" . Yaani ni aibu tupu !!!!! Hao Global Publishers wawe na misingi ya uvalishaji , siyo usela sela !

  • @millekamafa4110
    @millekamafa4110 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyo Mama Mungu atamjibu

  • @naimashaaban8525
    @naimashaaban8525 10 ปีที่แล้ว +1

    duuu pole xana xana mungu bado yupo nawe uxkate tamaa

  • @grnifamgeni1309
    @grnifamgeni1309 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu mbona watu wanapendwa watu wasio jua dhamani mungu njooo kwangu mbasha

  • @italkitalk2216
    @italkitalk2216 8 ปีที่แล้ว +2

    pole kk mungu yupo nawe

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 3 ปีที่แล้ว +1

    Achana na hizo mali anza moja tu, wala usishindane naye, wala usitafute kitu kwake....anza moja utafika mbali sana.

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว

      Kabsa MTU akikuacha na kuchukua Mali zote muache,japo inaumiza miaka kadhaa,dah.

  • @anjelaluvinga5746
    @anjelaluvinga5746 8 ปีที่แล้ว

    pole sana mbasha,mungu akupiganie

  • @SESYADAMEXPRESS
    @SESYADAMEXPRESS 10 ปีที่แล้ว

    Pole ndugu. Mola atakufungulia njia

  • @arnoldmwenda5971
    @arnoldmwenda5971 10 ปีที่แล้ว +3

    pole sana ndg yangu ni mapito tu yataisha

  • @aspenasmafuru6428
    @aspenasmafuru6428 10 ปีที่แล้ว +4

    japo tunaishi kimwili lakini hatupigani kimwili,hongera kaka kwa moyo wa kusamehe wala machozi yako si bure yatalipwa na mungu wala si muda mrefu mkumbuke ayubu

  • @helpers10
    @helpers10 10 ปีที่แล้ว

    Bob najua umempenda lakini hapo ilipofikia ni afadhali uachane nae. She has already gone na uking'ang'ania atakufa na ukimwi. Watu wanakula mzigo huo we mezea tu bob. Ndio life we jipange tu na iko siku utatoka kivyako. You are still young my brother and I am sure you will make it happen on your own moves. Ukisikiliza mkasa mzima kwa akili ndogo utaona kabisa kuna jamaa wanakula mambo. Sasa mshkaji hata kama mkeo ndio umempenda ndio ato***she wazi wazi eti kisa umempenda??? Babu usipojifunza utafunzwa na kaburi. Angalia dharau anazowafanyia wazazi wako!!! sasa hata akirudi atawaface vipi wakwe zake. Babu we mchane tutazame usawa mwingine. Demu hajatulia wala nini!!!

  • @nathankulola8348
    @nathankulola8348 10 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana bwana shemeji

  • @reachthegoal7624
    @reachthegoal7624 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu hashindwi kutubariki ila anauliza, akitubariki, arudipo, ataikuta imani ingalipo duniani?
    Tukibarikiwa TUSISAHAU AU KUACHA KUOMBA!

  • @dudytgufht6156
    @dudytgufht6156 9 ปีที่แล้ว +1

    Pole kaka mungu yko nawe

  • @erickkishimbo4341
    @erickkishimbo4341 10 ปีที่แล้ว +1

    poleeee mbasha mwanamke mwalimu wake kipofu...usijali

  • @mariachahe7077
    @mariachahe7077 8 ปีที่แล้ว +1

    pole sana Mpendwa

  • @pamelanabokolweojuma1964
    @pamelanabokolweojuma1964 5 ปีที่แล้ว

    mungu akusaidie

  • @angelntandu4648
    @angelntandu4648 5 ปีที่แล้ว +5

    Wewe mbasha ni muongo kwani ullimkosea nini mpaka afikie hapo?utakuwa una makosa na kuna jambo na Flora ahojiwe

    • @fadhililihinda6491
      @fadhililihinda6491 5 ปีที่แล้ว

      Angel Ntandu
      Du, sina hakika kama unaweza kurudia maneno haya tena

  • @zamdahasan6042
    @zamdahasan6042 6 ปีที่แล้ว

    Mhhhhh pole saaan m.mbasha

  • @danielnyantory5132
    @danielnyantory5132 10 ปีที่แล้ว +2

    Kwan kaka nn chanzo hasa mbaka wife wako anakimbia nyumba au wewe ndio una matatizo na mbona ungea sana na wadishi wa udaku hawana lolote zaidi ya kukucholesha wewe we fanya mambo yako kwan mshara wa dhambi ni mauti kama kweli ni kujirudi atarudi na kama karubuniwa itajulikana tu fanya ibada sana omba Mungu sana

  • @angelinaelishachisongela7859
    @angelinaelishachisongela7859 5 ปีที่แล้ว

    Pole mwaya

  • @emmaculatemarataninabwala5635
    @emmaculatemarataninabwala5635 9 ปีที่แล้ว

    Pole sana bwana Mbasha.

  • @yonamunene1372
    @yonamunene1372 6 ปีที่แล้ว

    Wanawake hawachezeeagi nage,usisubutu kusema unampenda kwakua hakueshimu pambana maisha yako

  • @fransiscarwillaasinta6008
    @fransiscarwillaasinta6008 7 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie kakangu daaah huo mtian

  • @azizihamisi8372
    @azizihamisi8372 10 ปีที่แล้ว +1

    Kaka mbasha,pole kwa yote yaliyokusibu hiyo ni mitihani ya maisha, amini itakwisha na maisha yataendelea japo kwa sasa unapaswa kutuliza akili na kutafakari nini ufanye ili uweze kupata hali zako,ila amini haki ya mtu haipotei bure

  • @ashamohammedashamohammed7401
    @ashamohammedashamohammed7401 8 ปีที่แล้ว +4

    aisee mimi hizi habari ndio nazipata, mbona yaniumiza sana jamani

  • @lydiahbhoke2284
    @lydiahbhoke2284 5 ปีที่แล้ว

    Pole ndoa ni ngumu sana

  • @tinagibe5997
    @tinagibe5997 7 ปีที่แล้ว

    kaka mbasha Mungu akutie nguvu

  • @rukiaally9840
    @rukiaally9840 10 ปีที่แล้ว

    Pole sana mbasha

  • @johnhallstrom4577
    @johnhallstrom4577 10 ปีที่แล้ว

    maskini ema,pole mwaya mungu atakusimamie

  • @pudelwanzali955
    @pudelwanzali955 5 ปีที่แล้ว

    Mh hata kama mbasha Ana makosa hawa wameokoka hii ni aibu flora Mungu wetu utamtangazaje tena utapata wap ujasr

  • @dominabyamungu4331
    @dominabyamungu4331 5 ปีที่แล้ว

    Hadi huruma jamani. Pole kaka.

  • @dianaketegwe8147
    @dianaketegwe8147 9 ปีที่แล้ว

    God will make a way relax God is in control

  • @mwalimunanabiinelsonmwakik5542
    @mwalimunanabiinelsonmwakik5542 5 ปีที่แล้ว

    Polemno

  • @rebeccahkathoka9966
    @rebeccahkathoka9966 7 หลายเดือนก่อน

    Loving someone who doesn't love you is a plaque in waiting.

  • @pamelanabokolweojuma1964
    @pamelanabokolweojuma1964 5 ปีที่แล้ว

    my bro ni uchungu sana

  • @jacquelinosmond221
    @jacquelinosmond221 5 ปีที่แล้ว

    Like movie ooohhh,u have to write your history

  • @estherleonard9635
    @estherleonard9635 8 ปีที่แล้ว

    Jamani huyu dada nyimbo zake nilizipenda lkn sasa kanitoka roho, hiv nyimbo zake zitaniongoa kweli! ebu Ona mwanaume anavyolalamika

  • @tinagibe5997
    @tinagibe5997 7 ปีที่แล้ว +2

    flora utadhubutu kuendelea na uimbaji kweli,

  • @everyneelias2449
    @everyneelias2449 7 ปีที่แล้ว

    kaka mbasha pole sana kwa matatizo mungu atakuongoza

  • @bahatymzuri9981
    @bahatymzuri9981 10 ปีที่แล้ว +7

    Jmn dunia imekwisha mume wa ndoa si wakumfanyia ivi hata kdg amefika mbal mwanamke mwenzangu na hapo naisi kuna kitu katikai sio bure

    • @sam2014pin
      @sam2014pin 10 ปีที่แล้ว

      thats true mama

  • @faithfelix7816
    @faithfelix7816 10 ปีที่แล้ว +2

    oooooh challengessssss

  • @jojojo7956
    @jojojo7956 10 ปีที่แล้ว +1

    Mbasha huyo mwandishi wa habari kachoka kushinda wewe. Flora no chill. Dhiki nyingi

  • @fahariecaachinda3099
    @fahariecaachinda3099 10 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @Rgawile
    @Rgawile 10 ปีที่แล้ว +3

    maisha ndivyo yalivyo kaza moyo

  • @johnmacha2194
    @johnmacha2194 10 ปีที่แล้ว +3

    elimu ndogo wewe jamaa you don'nt need to publicize you life there is right to privacy! who care? unachoreka too!

  • @festomatongo
    @festomatongo 9 ปีที่แล้ว +3

    sorry brother

  • @babyyshayo3633
    @babyyshayo3633 6 ปีที่แล้ว

    Jamani mwacheni kaka wa watu,huo ni Mwanzo wa Maisha Siku Moja atavaa smart tu

  • @emmanuelmwamlima1143
    @emmanuelmwamlima1143 9 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka

  • @asnathmwaipopo6877
    @asnathmwaipopo6877 5 ปีที่แล้ว +8

    Hahahahaha jamani wasoma comment kama Mimi mpooooo? Yani Mimi nacheka tu. Kama na wewe msoma coment kama Mimi gonga like

    • @joellarry71
      @joellarry71 3 ปีที่แล้ว

      A trick : you can watch movies on Flixzone. Been using it for watching a lot of movies lately.

    • @wyattmaximus2684
      @wyattmaximus2684 3 ปีที่แล้ว

      @Joel Larry definitely, I have been watching on Flixzone} for since december myself =)

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 7 ปีที่แล้ว

    pole sana mungu ata kusanya machozi yako kungeuza gura.mke mjinga atavuja nyumba yake kwa mikono yake

  • @winnieshiroo1068
    @winnieshiroo1068 9 ปีที่แล้ว

    I'm really sorry derl take hrt

  • @grecehuyukibanishida5595
    @grecehuyukibanishida5595 5 ปีที่แล้ว

    pole kaka

  • @fotinata7181
    @fotinata7181 8 ปีที่แล้ว

    Alishajiandaa sk nyingi eti anaimba nyimbo za dini loo hana ata imani kaka jaribu tu ilo ipo sk litakwisha

  • @yusuphmkapa5302
    @yusuphmkapa5302 4 ปีที่แล้ว

    HAKIKA MIMI NISHAHIDI WENIWATOFAUTI POLE SANA
    WAMAMA HAWA NDIVYOWALIVYO MUNGU ATAKUPA VINGI KAKA

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 10 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mwanamke ni mpumbavu...biblia inasema ' mwanamke mjinga hubomoa nyumba kwa mikono yake mwenyewe'
    Umhim wa.mtu akiwa hayupo.
    Tym ll tel
    Tuone akitoa nyimbo km atauza tena...jamii ipo very sensitive

  • @lucasalickmbila7748
    @lucasalickmbila7748 10 ปีที่แล้ว

    Ukiona ya hawa ndg wewe zama kwa Yesu. Haya ndiyo mambo ya ulimwengu huu. Yesu warehemu hawa vijana watubu na kuendelea na maisha. Vitu si chochote bali maisha yao mbele za Bwana

  • @nicoloustwesamwakalengela9794
    @nicoloustwesamwakalengela9794 7 ปีที่แล้ว

    Hawa akaina hawa ni shida kweli,
    Hawaaminiki,
    Hawapendeki,
    Hawabembelezeki,
    Hawashauriki!!!!!!!!

  • @fransiscarwillaasinta6008
    @fransiscarwillaasinta6008 7 ปีที่แล้ว

    florah Mungu anakuona

  • @isaacsimiyu9621
    @isaacsimiyu9621 9 ปีที่แล้ว

    Pole kaka

  • @pamelahezron8326
    @pamelahezron8326 3 ปีที่แล้ว

    Ila wanaume badilikine utamfanyia vituko mwanamke weeee atavumilia lakini siku akisema Basi hata utie huruma vipi hageuki nyuma mwanamke.

  • @allmightynimore9151
    @allmightynimore9151 10 ปีที่แล้ว

    Sasa tusubiri flora kutoa album take nyingine kumtangaza mungu.

  • @neemamhongole2801
    @neemamhongole2801 6 ปีที่แล้ว

    HAKUNA ASIYEKOSEA,KUSAMEHE NI LAZIMA,MBONA MWANAMKE MWENYEWE ANA MAKOSA???KWENDA KUOLEWA NAWANAUME MWINGINE NI KOSA KUBWA MBELE ZA MUNGU NA WANADAMU

    • @lavuneseliaza81
      @lavuneseliaza81 5 ปีที่แล้ว

      Mjinga kwel flora msamehe mmeo hata kama amekukosea we unamwabudu mungu kwel huna huruma huna utu acha kuimba nyimbo zadin imba mzik bas looo

  • @rechommbaga7910
    @rechommbaga7910 6 ปีที่แล้ว +1

    acha uhuni kuna vitu vywkuvumilia lkn vingine havivumiliki mbasha badilika

  • @allymlagha8384
    @allymlagha8384 10 ปีที่แล้ว

    it pain

  • @patricklorry3404
    @patricklorry3404 5 ปีที่แล้ว

    Daaaah ajabu kweli

  • @ziadasalim8807
    @ziadasalim8807 5 ปีที่แล้ว +2

    radhi ya mume inamuandama

  • @maidamwaipopo7645
    @maidamwaipopo7645 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mtangazaji hilo shati ama limechakaa duu

  • @lameckgerald7010
    @lameckgerald7010 10 ปีที่แล้ว +2

    dini biashara akuna cha kuokoka wala nn wajinga ndo waliwao

  • @newasddong5865
    @newasddong5865 8 ปีที่แล้ว +8

    huyo muandishi wahabar maskini yuasikitisha kwel hata mbasha anaafadhal japo anamatatizo

    • @tatuiddy6206
      @tatuiddy6206 7 ปีที่แล้ว

      Newasd Dong hahaha mbavuzangu

    • @lizybabyface7750
      @lizybabyface7750 6 ปีที่แล้ว

      Newasd Dong Niko na huzuni usinichekeshe

    • @ziadasalim8807
      @ziadasalim8807 5 ปีที่แล้ว

      yaani sijui hana Mke na kama anamke utakuwa huyo Mke hajielewi duh. njoo nioe Mimi nikuweke smart nikupigie pasi uko rafu sana

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 5 ปีที่แล้ว

      Newasd Dong 😂😂😂

    • @gracejohn886
      @gracejohn886 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

  • @sivlestermathias4415
    @sivlestermathias4415 10 ปีที่แล้ว

    wajina pole kwa yaliyo kukuta kwani ujue Mungu ypo pamoja wewe pia umbuka wanawake ni hawa kama yule was kwanza alivyo itwa

  • @saudamlete3045
    @saudamlete3045 9 ปีที่แล้ว

    pole

  • @dominabyamungu4331
    @dominabyamungu4331 5 ปีที่แล้ว

    Frola piga hatua nyuma mkumbuke mmeo.

  • @augustinokaoneka7371
    @augustinokaoneka7371 10 ปีที่แล้ว +4

    kama ndoa ndo hvyo duh.....................!!!!

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 5 ปีที่แล้ว +2

    mwenyezimung awakutanishe haraka na muelewane:

  • @maggymm7302
    @maggymm7302 10 ปีที่แล้ว

    duh

  • @bezestwangu4436
    @bezestwangu4436 10 ปีที่แล้ว

    Jamani anatia huruma, Dada flora msamehe Emma jamani msamehe kashakiri

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 7 ปีที่แล้ว

    malaya huyoooo

  • @jamesdotto5473
    @jamesdotto5473 10 ปีที่แล้ว

    Kwa maana wooote tumefanya dhambi na kupungukiwa na ..... Mungu anajua yeye ni Master Plan wa kila kitu..

  • @BarakaAndrew
    @BarakaAndrew 10 ปีที่แล้ว +4

    em angalia mwandishi wa habari alivochoka, haha! hakukua na sababu yoyote kumuonyesha

  • @charlesfimbo7026
    @charlesfimbo7026 10 ปีที่แล้ว +1

    huyu jamaa ni mhuni miaka mingi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa