Tengenezen SGR mkiunganisha kutoka pwani kuja Tanga adi Arusha kuna pesa nyingi huko na itachochea utalii maana wengin watafanya utalii wakipita huko njian na watalii wengi watazid kumiminika arusha
My honest opinions, sijawahi ielewa serikali katika hili kulikua na haja gani ya kutengeneza kiwanja hiki, walikuwa na uwezo wa kuboresha kiwanja cha KIA to meet the highest standards na kuboreshq barabara ya KIA to Arusha hata kwa bus za mwendokasi ili kuhudumia jiji la Arusha kwa uzuri tu? Anyway wanajua zaidi lakini ukweli ni kua wanakiua kiwanja cha KIA ambacho kiliwekwa kimkakati hata position yake inajieleza ivyo. Yaani kwa mantiki hii sitashangaa kuja kuona pesa zimetengwa kwa ajili ya kiwanja cha ndege cha moshi
Tunakukubali mzee wa kupiga spana 😊😊
Makonda Asante spana zako zinamatunda mengi sana ulichelewa kwenda arisha,uwezo wako makonda niwakuhufumia taifa syo mkoa
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽 mimi pia nimepiga Makofi tunashukuru sana sisi wana Arusha. Mambo ni Fire Arusha. Asante Mama Samia na Mheshimiwa Makonda.
Big brain kiongozi
Kiongozi bora kiongozi makini
Treni ya SGR from dar-kilimanjaro-Arusha-Dodoma
Yani makonda hakuna wa kushindanq nae huyu jamaa ni raisi mtarajiwa
Tengenezen SGR mkiunganisha kutoka pwani kuja Tanga adi Arusha kuna pesa nyingi huko na itachochea utalii maana wengin watafanya utalii wakipita huko njian na watalii wengi watazid kumiminika arusha
Huyu jamaa ameenda kumaliza lema daa
Unahakilii ya urais kabisa. 😅😅.
SGR ya kaskazini ni muhimu sana kwani italinda barabara zetu kutokana na Malory mengi from Tanga to north zone