RIPOTI YA LEO ZENOBIA VOLUME 04

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @kudratsaburi7386
    @kudratsaburi7386 2 ปีที่แล้ว +4

    Nzuri natamani isiishe 🔥 🔥

  • @johsmoker
    @johsmoker 2 ปีที่แล้ว +2

    My cst mbn mtandao uku tukuyu aushiki najisikia pw Sana nnavopata stories

  • @vailethkemi8097
    @vailethkemi8097 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyo baba jamani ningempata mimi na hizi changamoto zangu za maisha ningewehuka

  • @lilianyabela6773
    @lilianyabela6773 2 ปีที่แล้ว +5

    Umasikini mbaya

  • @neemasamson314
    @neemasamson314 2 ปีที่แล้ว +2

    Pesa pesa kweli sabuni ya roho pia ni shetani vilevile

    • @marialuvinga867
      @marialuvinga867 2 ปีที่แล้ว

      Me hataka vip kwa upendo wa huyu dada nisinge mkubali huyu mwanaume😪

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 2 ปีที่แล้ว +3

    Katika story hii uchawi lazima uhusike na huyo zenobia alitakiwa awe kimya asimshirikishe mtu yoyote katika hili

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 2 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe ndiyo huwa inatokea hivi??

  • @sarahrichard4348
    @sarahrichard4348 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah ni hatari

  • @stellabugingo4071
    @stellabugingo4071 2 ปีที่แล้ว +1

    Yajayo yanafurahisha.

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 2 ปีที่แล้ว +1

    Following 🇰🇪 🇰🇪

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 2 ปีที่แล้ว +12

    Sis Veronica unavyocherewa kutoa episode mapema unaokosa views nyingi maana wapo watu Wana toa mapema story zako then wanapata views ulizotakiwa uzipate so u hv to be seriously sister with it, usichukulie poa ni pesa hii

    • @tayanajade9962
      @tayanajade9962 2 ปีที่แล้ว +2

      Umeongea cha maana mnoo

    • @happykibona2183
      @happykibona2183 2 ปีที่แล้ว +2

      This is true mimi huwa mara nyingi nikiona hajapost the same day naenda zangu mpapai TV na wengine wengi. So my dear sister Vero fata ushauri wa adam

    • @margrethamsechu7088
      @margrethamsechu7088 2 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa anakuwa anafanya kazi bure tuu watu wanted wanaedit wanatuletea kwa wakat kuliko muhusik

  • @cruzjr4467
    @cruzjr4467 2 ปีที่แล้ว

    muendelezo pls

  • @winifridamyeliyeli9331
    @winifridamyeliyeli9331 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @aminafumo9739
    @aminafumo9739 2 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna siri ya watu 2

    • @kakukili6173
      @kakukili6173 2 ปีที่แล้ว +1

      Kuna marafiki wwngine sio kabisa akili za kwako changanya na za kuambiwa ..huyu binti hata kama huyu dada anajiuza na sio mumewe pia hatakiwi kufanya hivyo maana huyu dada kampenda kwa mapenzi sasa ikitokea katemebea na huyo kaka mmh malipo atayapata lazima..ila ndo pesa sasa zishamchanganya

    • @pricillahningah5582
      @pricillahningah5582 2 ปีที่แล้ว

      Umeona eeh😔😂

    • @kemiivani2353
      @kemiivani2353 2 ปีที่แล้ว

      Mim huwa muoga nadhan ningemwambia kuwa ukishanitambulisha tuhame mjin dar moja weee nani anataka kufa kijinga

    • @glorysaimon347
      @glorysaimon347 2 ปีที่แล้ว

      Lazima itam cost tu